mchaichai_dawa
Member
- Apr 1, 2013
- 18
- 4
Wasukuma na sisi tunaanza mkakati wa kumeng'enyua Wangoni
Hiyo avatar yako inanikumbusha mbali sana kuhusu huyo mzee Alfred Polisi. Yupo wapi siku hizi baada ya kukosa ubunge huko nyumbani bukoba.
Wasukuma na sisi tunaanza mkakati wa kumeng'enyua Wangoni
sasa itakuwaje kama hiyo hybrid itakuwa tofauti na ulivotegemea? yaani akawa na reception ya kihaya halafu akawa na miguu ya kichaga...hapo itakuwaje Ta Muganyizi?
Kichekesho ni pale mtoto atakapopata miguu ya bibi yake ambaye ni Mchagga na uso wa mama ambaye ni Mhaya...
tatizo lipo kitandani wachaga hawana swaga kitandani. Ukimuweka analala mpaka umpindue utadhani unachincha mbuzi.
Wakilia hawatoi sauti wanagugumia ndani kwa ndani utadhani kameza chura mwishowe utasikia yesuuu na mariaaa.
Wasukuma na sisi tunaanza mkakati wa kumeng'enyua Wangoni
Na sisi wakukurya tugegedane na wa kabila gani?
Kwani mna tofauti ya kimaumbo.
Naona mnajitahidi sana kuwaoa hawa wachaga, good kumbe mna agenda yenu. Ila mkumbuke wachaga bila pesa ni ngumu kuwapata,wao hawana mapenzi ya kweli zaidi ya cash money.All the best Ta Muganyizi
Amdharauye masikini amsuta muumba wake.......hawakupenda wawe na mapungufu kazi ya Mungu haina makosa.....heri unaosema wa miguu gani sijui je waliokuwa na miguu mizuri sasa wana mguu mmoja vipi? hujafa hujaumbika acha kubeza uumbaji wa Mungu,wewe kama umejaliwa vyote shukuru Mungu acha kubeza wengine.......aliyekupa wewe ndo kawanyima wao.....Mungu hufanya kitu kama apendavyo yeye nani aweza kumtia Mungu hatiani??????
Best topic ever! Nimecheka sina mbavu. Seems you are so familiar with these two ethnic groups!
Mchaga ni kabila la kuchapa tu na kuacha. You can never be serious na mwanamke then uende oa mchagga, unless unataka kujiua na pressure mapema. Wachagga (wengi wao) ni wagawaji sana na hawana mapenzi ya ukweli. Karibia ya machangu wengi hapa Dar ni wachagga, nani anabisha?
Perry hujui? Ninyi mgegedane na Wamandebele.