Mgogoro mkubwa wafukuta TBC

Mgogoro mkubwa wafukuta TBC

So far kuusema ukweli, TBC ndio the best TV Station in Tanzania kwa vifaa,
manpower na majengo, kinachohitajika ni Mshana ku open up a bit kuruhusu outside productions ku boost up their limited creativity!.

Ila pia whoever aliyeleta hii kitu humu jf, huyo hafai kabisa kuendelea kuwa mtumishi wa umma!. Mambo kama haya yalipaswa kuwa siri za ndani za serikali!.

Mimi nimefanya kazi TBC na kuna mengi ya hovyo na ya ajabu nimeyashuhudia lakini hakuna hata siku moja nimewahi kusema humu TBC hivi au TBC vile!. Hawa watakuwa ni hawa vijana wapya walio ajiriwa juzi juzi wasio na uvumilivu wa kiserikali wanataka kutuaibishia shirika letu!.

Hawa ni wa kutafutwa na kuadabishwa!.

Pasco.
arrrg una kiherehere kama cha kwanza....una wivu na vijana.kama ulicheza ujana wako liv them alone vijana wale maisha....endelea kukumbatia ccm yako....
 
So far kuusema ukweli, TBC ndio the best TV Station in Tanzania kwa vifaa,
manpower na majengo, kinachohitajika ni Mshana ku open up a bit kuruhusu outside productions ku boost up their limited creativity!.

Ila pia whoever aliyeleta hii kitu humu jf, huyo hafai kabisa kuendelea kuwa mtumishi wa umma!. Mambo kama haya yalipaswa kuwa siri za ndani za serikali!.

Mimi nimefanya kazi TBC na kuna mengi ya hovyo na ya ajabu nimeyashuhudia lakini hakuna hata siku moja nimewahi kusema humu TBC hivi au TBC vile!. Hawa watakuwa ni hawa vijana wapya walio ajiriwa juzi juzi wasio na uvumilivu wa kiserikali wanataka kutuaibishia shirika letu!.

Hawa ni wa kutafutwa na kuadabishwa!.

Pasco.
Mkuu Pasco kwa mtanzania wa kawaida atakwambia ITV ndio The best TV station kwa sababu ya
1/Big Coverage
2/Persistance
3/A bit balance news.
4/Kujaribu kuwapa kile watu wanachokitaka.

But kwa sababu zako ni kweli TBC ilifikia Ubora huo lakini kwa sababu wanarudi nyuma
kwa kasi kubwa.

*Japokuwa madai hayo sio siri kwa watumishi wa tbc Mtonyaji wa habari hii sio kijana wa juzi ni mtu mzima aliyefikia umri wa kustaafu, imebidi afikie kusema haya kwa sababu hataki kuwa kama wale wazee wa jumuiya ya East Africa iliyovunjika, anataka apate haki zake sasa na sio akishaacha kazi au kufa.
 
Last edited by a moderator:

Pasco,hivi kweli unalipa kodi wewe?Ungekuwa unalipa kodi ungejua how far mlipa kodi ana haki ya kujua kinachoendelea pale TBC.
 
Last edited by a moderator:
Mshana hawezi fukuzwa, yupo pale kwa maslahi ya CCM na serkali maana yeye ni bonge la TISS
 
Tena hiyo TBC ivunjwe haina mashiko mnapoteza pesa za walipa kodi kulipa mishahara!! Hakika watanzania wanaoagalia TBC ni wachache sana na TBC Taifa ndiyo kabisa kiama. Aise safi sana, baba dhaifu na wanawe wa kuzaa dhaifu!! Ulegelegeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
iyo ni dhambi ya kumuondoa TIDO inawatafuna sasa.
 
Chadema wamehusika kwa kupandikiza chuki tido aliwabeba sanaaa sasa wana hali mbaya Hakuna wa kuwabebe tena
 
napendekeza ivunjwe yale majengo zijengwe bar
Mjukuu wangu, unapotoa hoja wenzako wanaipima ili waitekeleze kwa nia nia ya kuboresha mapungufu yaliyojitokeza. Kwa hoja yako hii unawapa shida wenzako na pia hujamtendea haki aliyekupeleka shule, hoja zako zinaonyesha uwezo wako. Ngoja niachane na wewe.Wajukuu zangu, mtoa habari anaonyesha wazi anaegemea upande wa wanaopinga menejiment, ndiyo maana hata jina la dhihaka la kiongozi wake amelitaja. Lakini ukisoma kwa kina unaona kuwa kuna vita kati ya watu wa EL na wa mtoto wa mkulima kama mtoa mada alivyodai. Kama ndivyo hivyo, hapo pana hujuma ya hali ya juu kati ya kundi moja dhidi ya lingine.Nimekuwa nikufuatilia sana wamiliki wa TV binafsi walivyo na chuki na TBC, inawezekana hicho kilichoandikwa ni mpango tu wa kuwataka wenye uwezo mdogo wa kufikiri kama mjukuu wangu YOYO wakimbilie kuropoka. Katika sakata hili unahitajika utulivu, kuchunguza kwa kina na kutoa maamuzi yenye tija na wala siyo ya jazba. Wajukuu zangu si mnajua tena Bunge ndo hilo linaanza, wajanja wanatanguliza hoja ili watu wa mjengoni waidake na kuitolea maamuzi ambayo yanaweza yakawa mazuri au vinginevyo. No research no right to speak.
 
Hapo kuna magaidi wa CDM ... plz CDM iacheni TBC ipumue jamani
 
So far kuusema ukweli, TBC ndio the best TV Station in Tanzania kwa vifaa,
manpower na majengo, kinachohitajika ni Mshana ku open up a bit kuruhusu outside productions ku boost up their limited creativity!.

Ila pia whoever aliyeleta hii kitu humu jf, huyo hafai kabisa kuendelea kuwa mtumishi wa umma!. Mambo kama haya yalipaswa kuwa siri za ndani za serikali!.

Mimi nimefanya kazi TBC na kuna mengi ya hovyo na ya ajabu nimeyashuhudia lakini hakuna hata siku moja nimewahi kusema humu TBC hivi au TBC vile!
. Hawa watakuwa ni hawa vijana wapya walio ajiriwa juzi juzi wasio na uvumilivu wa kiserikali wanataka kutuaibishia shirika letu!.

Hawa ni wa kutafutwa na kuadabishwa!.

Pasco.

..Dah! Mkuu Pasco kuna wakati huwa Unaniangusha kweli!
Huu ni Mmoja wapo.

Hebu nisiseme mengi lakini turudi shule zetu zilee zilizokuwa shule halafu tukumbushane maana ya Misemo na Methali hizi:

1. Mficha Uchi, Hazai.
2. Mficha Ugonjwa Kifo Kitamuumbua.
3. Kufa na Tai Shingoni.
4. Msema Kweli ni Mpenzi wa Mungu.
5. Kufagia na kusumiza Uchafu chini ya Zulia badala ya Kuutupa Nje.
6.
7.

....Ngoja niwapishe na wenzangu waje kuongezea hapa......:yo:

Haya yanayotokea Star Times yananikumbusha GTV, ngoja tusubiri tuone hii filamu itakapoishia.

Ndio maana wadogo zangu wa Komedi Original wameanza kujiandaa kustaafu mapema, wasije wakachekwa wao kama wanavyocheka wenzao, "Waliofuliaaaaaaaaaa".

Maana nasikia wengine wako Chuo cha Biblia wanataka wawe Wachungaji, wengine wameingia Bongo Fleva bila kupenda wakati kuimba hawajui maskini, wengine wameingia Bongo Movies nk.
 
Mkuu Pasco kwa mtanzania wa kawaida atakwambia ITV ndio The best TV station kwa sababu ya
1/Big Coverage
2/Persistance
3/A bit balance news.
4/Kujaribu kuwapa kile watu wanachokitaka.

But kwa sababu zako ni kweli TBC ilifikia Ubora huo lakini kwa sababu wanarudi nyuma
kwa kasi kubwa.

*Japokuwa madai hayo sio siri kwa watumishi wa tbc Mtonyaji wa habari hii sio kijana wa juzi ni mtu mzima aliyefikia umri wa kustaafu, imebidi afikie kusema haya kwa sababu hataki kuwa kama wale wazee wa jumuiya ya East Africa iliyovunjika, anataka apate haki zake sasa na sio akishaacha kazi au kufa.

Umenena vyema mkuu! UKweli ndio utakaotuweka huru,kuna vitu havifichiki ni kama picha hata asiyejua kusoma anaona!
 
Last edited by a moderator:
Tido mhando, tido mhando........ Shujaa ninayemkubali katika tasnia ya habari. Nilikuwa naipenda tbc wakati wa uongozi wake tido mhando maana ilikuwa inapanda chati hadi nikajikuta automatically naitizama tbc baada ya kuiboresha kutoka iliyokuwa ikiitwa tvt. Baada ya kuondoka tido mhando ikaingia ccm kwa kweli tbc haina mvuto kabisa kabisa. Kikiwa chombo huru cha umma nitakipenda sana ila kwa sasa hivi nakatishwa sana tamaa na tbc. Naipenda sana tanzania ila tbc inaiangusha sana tanzania kwa kuwa biased. Namwomba mungu uhuru upatikane tanzania na tbc iwe chombo huru cha umma ambacho si biased. Mungu ibariki tanzania - mungu ipe uhuru tanzania.
 
Pasco,hivi kweli unalipa kodi wewe?Ungekuwa unalipa kodi ungejua how far mlipa kodi ana haki ya kujua kinachoendelea pale TBC.
Mkuu Mrimi, Kumbe ni mpaka uwe unalipa kodi ndipo ujue how far mlipa kodi ana haki kujua kinachoendelea pale TBC?!. Kwa mtaji huo, mimi sina haki hiyo, kwa sababu naishi kwa kuzitegemea zile bahasha, na bahati nzuri, hazikatwi kodi!.
Pasco.
 
..Dah! Mkuu Pasco kuna wakati huwa Unaniangusha kweli!
Huu ni Mmoja wapo.

Hebu nisiseme mengi lakini turudi shule zetu zilee zilizokuwa shule halafu tukumbushane maana ya Misemo na Methali hizi:

1. Mficha Uchi, Hazai.
2. Mficha Ugonjwa Kifo Kitamuumbua.
3. Kufa na Tai Shingoni.
4. Msema Kweli ni Mpenzi wa Mungu.
5. Kufagia na kusumiza Uchafu chini ya Zulia badala ya Kuutupa Nje.
6.
7....Ngoja niwapishe na wenzangu waje kuongezea hapa......:yo:

Sifa kuu ya kwanza kwa mtumishi wa umma ni kutunza siri za serikali!.
Whoever aliyezitoa taarifa hizo nje, amekiuka masharti yake ya ajira na akipatikana ni summary dismissal!.
Pasco.
 
Nakubaliana na udini kwaya na matukio ya kanisa wanayafanya ya kitaifa wabaguzi sana utafikiri ni TV ya kanisa
 
Back
Top Bottom