OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,344
Punguza jaziba padri hata kama hukutaja majina lakini sio vizuri kusema vijana wapumbavu tafadhari tumia lugha mbadala kufikisha ujumbe.
Tupe basi neno mbadala ya mpumbavu!!

.
Mkuu Jasusi, nimeisoma makala na kuielewa!, japo siijua profesional rasmi ya Padri Privatus Karugendo, ila ni mimi ndie niliyeisimami makala fulani kwenye Gazeti la Mtanzania, kutoka kwa Askofu aliyemfuta sacrament ya upadirisho huyu Padri Karugendo kutoka na kwenda kinyume cha mafundisho ya Ukatoliki kwa maneno na matendo, ndio maana mmemshuhudia anavyitushuhudia humu kuwa watu fulani, hawawezi kupanga kufanya jambo fulani!.
Nasema salini na kuomba watu wasiconfess, vinginevyo watu kama kina Karugendo, watatafuta pa kutokea!.
Kuna watu wanaabudu watu, na nikasema hata shetani mwanzo alikuwa malaika!, na kuna watu mpaka kesho, wanamtumikia shetani disguised as God, wakijua wanamtumikia Mungu!, kumbe wanamtumikia Shetani, bila wao kujijua!. Kuna watu hawana moral authority kuzungumzia baadhi ya issues za morality za wenzao!.
With 15 years kwenye AV Production, naweza kabisa kutumika kama "amicus curiae" kwenye determination ya authenticity ya ile video kuwa "bonafide genuine!". Ila genuinity yake sio determinant ya "admissibility as evidence" before the court of law!.
Ila pia la rushwa kwenye media, nimeisha lizungumza sana hapa!-Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni Rushwa ...
Pasco.

Makala ya Karugendo imenitia hofu na mshangao kwamba sasa Tanzania si mahali salama sana tena kuishi kama wewe ni mwandishi wa habari.
Tupe basi neno mbadala ya mpumbavu!!
jokaKuu,
Mkuu ni ukweli, tumefika pabaya, mpaka wengine tunaogopa hata kurudi nyumbani, sasa la msingi tujiulize TUFANYE NINI ILI TURUDI PALE TULIPOKUWA AMBAPO TULIAMINIANA, TULIPENDANA, TULISHIRIKISHANA, NA UMOJA ULIKUWA NI NGUVU KUJENGA TANZANIA MOJA, PIA TUJIULIZE NI NINI KIMETUFIKISHA HAPA? Hakika ni giza tunakoelekea. Nimepita tu, nitarudi baadaye!Ya huo ndio ukweli,ccm imetufikisha pabaya,tumekuwa TAIFA la waoga,hofu zimetujaa hadi kufikia kuogopa kusema kweli,watu hatuaminiani tena kwa kuogopa vibaka,wezi,majambazi na sasa watesaji wa ccm waliojawa na hila.UKWELI TUMEPOTEA NA TUNAIZAMISHA NCHI YETU TUKIONA KWA AJILI YA KU-FAIL KWA CCM.
Huo ni uharisia, si mahali salama, matukio yanatosha kuonyesha hilo, naogopa wakati wa msimu wa utalii unafika ni lazima tujisafishe katika matukio ya hovyo ili tusiharibu chanzo hiki cha mapato. Jirani zetu wanafuatilia kwa karibu sana jambo hili ili kuvuna pale tutakapoonekana vingine.Makala ya Karugendo imenitia hofu na mshangao kwamba sasa Tanzania si mahali salama sana tena kuishi kama wewe ni mwandishi wa habari.
Pasco, naogopa juu ya hapo nilipo-bold. Leo hii ukiitwa kutoa ushahidi utakukwa tayari? Kumbuka katika nyakati hizi za teknolojia ya mawasiliano lolote laweza fanywaa na kufanyika, kumbe mpaka kuwa na uwezo wa kusema "bonafide genuine" ni kujihakikishia nafasi ambayo inaweza kuwa kinyume pia. Tusubiri tuone kama kutakuwa na hatua ya kuchukua kiteknolojia kuhakikisha hilo..
Mkuu Jasusi, nimeisoma makala na kuielewa!, japo siijua profesional rasmi ya Padri Privatus Karugendo, ila ni mimi ndie niliyeisimami makala fulani kwenye Gazeti la Mtanzania, kutoka kwa Askofu aliyemfuta sacrament ya upadirisho huyu Padri Karugendo kutoka na kwenda kinyume cha mafundisho ya Ukatoliki kwa maneno na matendo, ndio maana mmemshuhudia anavyitushuhudia humu kuwa watu fulani, hawawezi kupanga kufanya jambo fulani!.
Nasema salini na kuomba watu wasiconfess, vinginevyo watu kama kina Karugendo, watatafuta pa kutokea!.
Kuna watu wanaabudu watu, na nikasema hata shetani mwanzo alikuwa malaika!, na kuna watu mpaka kesho, wanamtumikia shetani disguised as God, wakijua wanamtumikia Mungu!, kumbe wanamtumikia Shetani, bila wao kujijua!. Kuna watu hawana moral authority kuzungumzia baadhi ya issues za morality za wenzao!.
With 15 years kwenye AV Production, naweza kabisa kutumika kama "amicus curiae" kwenye determination ya authenticity ya ile video kuwa "bonafide genuine!". Ila genuinity yake sio determinant ya "admissibility as evidence" before the court of law!.
Ila pia la rushwa kwenye media, nimeisha lizungumza sana hapa!-Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni Rushwa ...
Pasco.
Neno mbadala ni lugha yoyote isiyokua na maudhuhi ya kuuzi au kumuhuzi mtu hivyo. Hivyo sina neno mbadala la mpumbavu samahani ndugu sokoni
Hata mmeo Jamani!,,,,,,Nadhani wataalamu wa multimedia wanaweza kutuhabarisha ukweli wa video anayozungumzia.Kwa sasa usimwamini mtu tilia shaka kila kitu ikwezekana hata mkeo mtilie shaka.
mimi naona Padri yuko sahihi kabisa kuwaita washenzi na wapumbavu,
suala la kusema awasamehe haina mashika maana msamaha ni mpaka pale mtu anapokiri analotenda si sahihi and not otherwise!
upumbavu sio tusi ni cheo stahiki kwa anayekifiti,mwanafunzi gani mwenye uchu wa elimu atakataa maandishi kisha alazimishe sauti.hao ni wapumbavu mno.Punguza jaziba padri hata kama hukutaja majina lakini sio vizuri kusema vijana wapumbavu tafadhari tumia lugha mbadala kufikisha ujumbe.