Benaire
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 1,962
- 312
Usidharau kinywaji chetu cha asili
Sijadharau kinywaji...ila nimekudharau kuwa driven na kinywaji
Usidharau kinywaji chetu cha asili
Ukiona mtu kamuacha mke/demu afu anamtajataja/anamuonea wivu basi jua bado anampenda. Huyu bwana inaonekana yupo CCM kimwili ila nafsi ipo CDM.Lukosi mbona wi-mwafu de!!! Yaani unalinganisha utawala wa Idd Amin na Chadema kwa hayo mepesi hayo, wewe ni CCM njaa sana jaribu kuhoji mambo fulani ndani ya CCM yako uone. Kolimba alitoa mwanga tu kwamba kwa hili CCM inapoteza dira alikufa mbele ya wajumbe wa NEC mbele ya Ally Hassan Mwinyi wewe umezaliwa mwaka gani maana inaelekea "unaanza kujifunza kuwika" Usidhani uko katika mpango wa ukuu wa wilaya haumo ng'ooooooo!!!!!!
mkuu umepatia kabisa, sema mimi nilikua naufananisha na utawala wa dikteta musolin mwenyewe, karibia wamkutie Hitler mwenyewe lakini naona wanaelekea huko, maana washaanza ugaidi taratibu
Mkuu ugonjwa wako umefika pabaya!
mkuu umepatia kabisa, sema mimi nilikua naufananisha na utawala wa dikteta musolin mwenyewe, karibia wamkutie Hitler mwenyewe lakini naona wanaelekea huko, maana washaanza ugaidi taratibu
Boss,
Mimi sio mtu wa kutumwa kama unavyofikiri, mimi najituma mwenyewe.
Ninachoeleza hapa ni kwa faida yako wewe na vijana wengine ambao mko brainwashed hamjui hatima yenu.
Ngoja nikuulize swali.
Umewahi kukopa hela za ruzuku ujikimu mahitaji yako?
Moja ya sifa ya kuwa kamnda wa chadema ni lazima uwe na mdomo mchafu/uwe unajua kutukana kuliko wengine, ndio maana hata ma Dr wanaingia humu badala ya kutoa/kujibu hoja wao wanatukana tu na wengine wanaandika huku wakitetemekaWajukuu zangu mimi huwa nawakemea vijana wasiotoa hoja katika kujibu hoja kama wewe. Mbona unakurupuka tu mjukuu. Kwa kuwa hicho kinachosemwa ni chama chako, tumia jukwaa hili kumwaga hoja ili nasi tuchambue ambao si miongoni mwa nyie mnaochuana.
Kijana angalia usije ukawa unatukana baba yako mzazi,
Kapime DNA kwanza.
Wee shika adabu yakoCHRIS
Wakati wa IDD AMIN ulikuwa ukitembea hata chupi huvai, kweli naweza amini ulikuwa unanyonya ulanzi badala ya maziwa
Nimekaa nimejiuliza maswali mengi kuhusu namna utawala wa CHADEMA ulivyo na nimeshindwa kuelewa.
Ndani ya CHADEMA ni dhambi kuhoji lolote baya likifanywa na wakuu wa chama
Ndani ya CHADEMA mgombea urais anachaguliwa na mtu mmoja tu
Ndani ya CHADEMA kuna kashfa nyingi sana ambazo ni marufuku kuzijadili wala kuhoji na ukuionekana unataka kudadisi basi utaitwa msaliti.
Tukumbuke kuwa kauli mbiu ya CHADEMA ni demokrasia huru na haki, Hivi wanelewa kweli maana ya demokrasia au wanaimba tu kama nyimbo za kizaire?
CHADEMA wananikumbusha Idd Amin wakati wa utawala wake Uganda, ilikuwa ukisema lolote baya dhidi yake basi hautachukua raundi kesho yake watatkukuta kama sio kwenye friji basi kando kando ya barabara umekufa.
Chadema wao wanapenda kuwanyooshea vidole CCM na kuwahimiza wafuasi wao ambao wame wa brainwash kuandamana kila kukicha na kufanya vurugu pale wanapopata cha kuongea wakati wao yakitokea kwao husema wamesingiziwa
Pia kuna jambo moja linalonitia mashaka hapa.
Hawa CHADEMA kila kukicha wanajenga chuki kati ya wananchi na polisi. Hii ina maana kuwa kama CHADEMA wakipewa dola basi polisi wote itabidi wafukuzwe na wataunda polisi mpya. unaandaa kuwafukuza walinzi wa usalama wenye mafunzo ya kijeshi matokeo yake unayajua???
Hii ni hatari sana kwani hawa watu wanweza kuja kuwa hatari kuliko hata Amin kwani sasa hawana dola ni huwezi kuwahoji, jee wakichukua nchi tutapona kweli?
Kama huna cha kuandika humu jaani,wengine muwe wasomaji tu!mnatukatisha tama great thinkers!
Ni wakati muafaka kwa dr. Slaa KUWAJIBIKA kwa kushindwa kutunza siri za ofisi...