Recent content by Mchaga wa ukwel

  1. M

    Waziri Nchimbi akimbia na sanduku la kura wakati madiwani wakigombana

    Hivi ni Emmanuel Nchimbi au ni John Nchimbi? Anastahili pole.
  2. M

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Jaman watanzania tunakwisha. Leo mida ya asubuhi basi la campuni ya Muhamed trans la ARUSHA-MWANZA Limepata ajali maeneo ya MAKUYUNI. Watu wengi wamejeruhiwa vibaya na wengine wamefariki. Kwa macho yangu nimeshuhudia majeruh walipoletwa hospitali ya mko Arusha(mount meru hospital). Hata kama una...
  3. M

    But Why? Everything has reasons

    Good observations! Bip up man..
  4. M

    Mimi nataga!!!!

    Baada ya madaktari bingwa wa akili kushughulika na wagonjwa wao kwa mda mrefu,hatimae wakapata nafuu. Siku moja madaktari wakawakuta wako nje wanawika kama jogoo...kokolikoooh.., lakin mmoja wao alikua kimya madaktari wakadhan yeye ndo kapona. Wakamuuliza mbona hufanyi kama wenzako...
  5. M

    Uozo huu hauvumiliki SUA

    Watoto wa wakulima Tanzania wamekua wakighilibiwa haki zao za msingi katika chuo kikuu maarufu nchini cha SUA. Moja ya haki hizo ni AFYA.Wanafunzi hua wanalipishwa shiling laki moja kwa ajil ya afya. Haijalishi mwanafunzi huyu kaumwa au la ni lazima hela hii ilipwe kwa kila mwaka. Chakushangaza...
  6. M

    ''Wazo mbadala''

    <br /> <br /> Asume wewe ndio baba,mwanao anaenda shule ya boarding. Utampa condom ili akajikinge huko shulen au utamshauri ajihadhari na madhara ya ngono?
  7. M

    7 ways How to be Real everyday hero without super powers!

    Cjaelewa!! Rudia tena kwa ufasaha zaidi
  8. M

    ''Wazo mbadala''

    Naomba tuongelee maadili kidogo. Katika taasisi zetu kuna maboksi yamewekwa kwa ajili ya kuwekea condom. Kwa maana ya kwamba wanasogeza huduma karibu na watu. Inawezekana ipo maana na lengo zuri kwa jamii. Lakini katika upande mwingine nadhan tunaruhusu ngono,yaani kuhalalisha amri ya 6. Je,hii...
  9. M

    Bia ni bora kuliko mwanamke

    <br /> <br /> SIO WABUNGE TU WANAOHITAJI KUPIMWA AKILI,HATA HUMU JF KUNA WAGONJWA WENGI WANAOHITAJI KUPIMWA. Tuandike proposal kuomba huduma hiyo!!
  10. M

    A foolish guy

    Wengne hatujaelewa,maana umetumia complex language. Si unajua sie wabongo,english ni moja kati ya magonjwa ya kitaifa? Siku nyingine jarib kurahisisha.
  11. M

    Mbunge anayetoa kauli kama hii tumweleweje na kwa nini aliuomba Ubunge !

    Tuanze kilio na maombolezo ya kifo cha ccm,mazish yake 2 015. Polen sana wanaccm
  12. M

    Bunge lawaka moto: Lissu, Msigwa na Lema watolewa nje!

    Duh! Haya bwana!! Mnyonge mnyongeleeni mbali,mwenye magamba mpendeleen...maskin tupotezeee..
  13. M

    Vitoto vingne bana!

    HIYO NOMA. Sikia na hii., Wakat baba anafika golini, akatoa nje maana hakutaka kutengeneza mtoto,sasa mtoto akawa amelala,akataman kunyonya. Akashangaa majimaji matam yanamwagikia mdomon,akadhan ni maziwa. Kesho yake alivyonyonya akamuuliza mama yake. Mama mbona maziwa yako si matam kama ya...
  14. M

    Uji wa maziwa...

    Enzi hizo jamaa mmoja alikua akisoma shule moja ya advance maarufu sana jijin Tanga. Akatumiwa hela kupitia Express Money oder. Alipopewa taarifa,akaomba ruhusa ya kwenda town kuteka hela,si unajua tena maisha ya skonga! Alipochukua tu zile hela akakumbuka ni muda wa UJI shulen tena wa maziwa...
  15. M

    Mbongo na kioo..

    Mbongo mmoja alikuwa akifanya kazi kwa mzungu. Ikafika siku moja mbongo akaomba likizo. Mzungu akawaza ampe nini mfanyakazi wake aliyempenda sana. Basi akafikia uamuzi wa kumpa kio. Akanunua kioo akaifunga vizuri ndani ya bahasha. Akampa mbongo siku ya kuondoka. Mbongo hakufungua zawadi yake had...
Back
Top Bottom