Uji wa maziwa...

Jul 16, 2011
26
1
Enzi hizo jamaa mmoja alikua akisoma shule moja ya advance maarufu sana jijin Tanga. Akatumiwa hela kupitia Express Money oder. Alipopewa taarifa,akaomba ruhusa ya kwenda town kuteka hela,si unajua tena maisha ya skonga! Alipochukua tu zile hela akakumbuka ni muda wa UJI shulen tena wa maziwa. Alichofikiria kwa haraka nikuuwahi uji. Akaamua kuchukua tax,si ana hela? Akaenda kwa haraka hadi kituo cha tax na kuingia kwenye tax mojawapo. Alimwamuru dreva aendeshe speed maana anatakiwa kuwah. Dereva akataka kuuliza bei,akakatishwa na amri,we twende hela yoyote utakayo utapata. Dereva aliondoa gari hadi shulen,akadai sh.12000. Jamaa akahesabu hela 15000,hakutaka hata chenji tax ikaondoka. Alipofika jikon akakumbuka kumbe alipokea sh. 20000 tu. Jamaa akawa amenunua uji sh.15000 akabakiwa na sh.5000 tu... Yaan uji tu!!!
 
umenikumbusha namna siku za kula wali na nyama ilivyokuwa sikukuu....siku hiyo hakuna kuomba ruhusa kwenda mjini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom