Mbongo na kioo..

Jul 16, 2011
26
1
Mbongo mmoja alikuwa akifanya kazi kwa mzungu. Ikafika siku moja mbongo akaomba likizo. Mzungu akawaza ampe nini mfanyakazi wake aliyempenda sana. Basi akafikia uamuzi wa kumpa kio. Akanunua kioo akaifunga vizuri ndani ya bahasha. Akampa mbongo siku ya kuondoka. Mbongo hakufungua zawadi yake had alipofika nyumbani. Kwa haraka na furaha akafungua ile zawadi kwa mapozi. Gafla akakutana na sura ya baba yake maana alifanana sana na baba yake aliyefariki miaka miwili iliyopita. Kwa mshtuko mkubwa mbongo akabwata KUMBE HUYU MZUNGU ALIMFICHA BABA? Akaanza kuita BABAA,KUMBE UPO? Hakujibu kitu,zaidi ya kuona mdomo ukichezacheza. Bas akasema huyu mzungu alimchukua baba msukule na amemkata ulimi ndio maana hawez kuongea. Akaamua kutoenda tena kwa mzungu asijechukuliwa msukule...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom