Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Halafu mida mibaya sana. Walale pale nafsi zao zinastahili

Sana mkuu mida mbaya kuna msaada ambao ingetokea mchana wangeweza saidiwa lakini wal e ndugu zetu usiku sijui kama wanaamka

Jamani nimepigiwa simu kuna ajali mbaya imetokea minaki lori limelalia

dalaldala watu watano wameshatolewa maiti na wengine wamelaliwa

juhudi za polisi kunasua waliobakia ama maiti watarajiwa bado zinaendelea

kama una ndug ajarudi mpaka usiku huu na yuko mitaa ya kisarawe msanga

embu jaribu kucheki nae kwa kubofya kama jamaa awajamsaidia kumzimia

basi asiache kwenda kushukuru mungu siku ya kesho jamani....

Poleni wafiwa na majjeruhi 20 wameshatolewa hali zao sio nzuri sana

Poleni wafiwa na majeruhi.

Poleni sana wafiwa na majeruhi na watanzania kwa ujumla kwa kupoteza nguvu kazi.

Mungu awape pumziko la milele nakuwafariji wafiwa

Minaki sehemu gani hasa? ni kinyanyiko? kuna mwanafunzi yeyote naye ameptatwa na hilo?

Jaman watanzania tunakwisha. Leo mida ya asubuhi basi la campuni ya Muhamed trans la ARUSHA-MWANZA Limepata ajali maeneo ya MAKUYUNI. Watu wengi wamejeruhiwa vibaya na wengine wamefariki. Kwa macho yangu nimeshuhudia majeruh walipoletwa hospitali ya mko Arusha(mount meru hospital). Hata kama una roho ya namna gani ni lazima mtu utokwe na machozi kwa hali waliyokuwa nayo. Chondechonde watanzania,tuombee majeruhi.

Miundombinu ya mwaka 1961 inawezaje kukidhi mahitaji ya 21 century. Mimi wala sishangai tena kwa sababu nilisema hapa nikaonekana mbaya wakati wabaya ni kina JK, Mkapa, Mwinyi, RA, Chenge, na grroup lao la kifisadi ambalo linakula kodi za wananchi bila huruma ya kuweka mazingara na miundo mbinu bora. Si Jairo yuko free wakati anahonga pesa mchana kweupe then wanasema hakuna ushahidi.

n chi haina utawala wa kisheria! mabasi ya mikoani matairi vipara, dereva anaongea na simu wakati wote! abiria nao hawataki kufunga mikanda kama ipo! barabara mbovu, trafick ni mashosti wa madereva! agghhhrr!

Serikalai ya tanzania ishitakiwe kwa kuendeleza vitendo vya mauaji kwa raia wasio na hatia

sitaki kuwaza hali ya gari (kuanzia uchakavu na maintainance). insurance ni kizungumkuti, hapo aliyekufa ndo kaponea madhali ya ulemavu kuliko aliyepona!

mmmh

chanzo nini tena jamani!! SERIKARI (Barabara) au MWANANCHI (Dereva).??

Ila uendeshaji wa Tanzania ni mbovu sana na hii ni moja ya sababu kubwa ya hizi ajali. Watu huendesha kama vile hawathamini uhai wao.

Kila kwa nafasi yake hawajibiki..tuanze uwajibikaj sis kwanza co kulalama kila kitu.dereva anaongea na cm,gar mwendokas hakuna anayemuonya(abiria),tunaishia kulalama tuuu.pole kwa walopata ajali..

Sina uhakika je ile ban safari za usiku inachangia overspeeding na msongamano wa magari mchana?

Back
Top Bottom