Recent content by Mch.A.Mwasapile

  1. Mch.A.Mwasapile

    Makamba: Msifadhaike!

    Makamba = Magamba
  2. Mch.A.Mwasapile

    UDOM hapakaliki; wanafunzi kumi wamefukuzwa bila kosa

    sichangii hii sredi imekaa kitotototo sana
  3. Mch.A.Mwasapile

    Magari yote ya kwenda kaskazini yamekwama wami muda huu

    Mbona mikumi wameweka, inamaana swala wanaumuhimu sana kuliko binadamu eeh??
  4. Mch.A.Mwasapile

    Chuo Kikuu bora TZ ni kipi kwa kusomea Uhasibu au Biashara? - ni UDSM, Mzumbe au IFM?

    Tumaini iringa...ila kama ndugu yako ni msichana mwambie awe makini na jamaa mmoja anaitwa mdegelah ni kiwembe balaa
  5. Mch.A.Mwasapile

    Muda wa tendo la ndoa

    Siku hiyo anayojifungua mwache apumzike lisaa limoja...omba mzigo
  6. Mch.A.Mwasapile

    Yu wapi Dkt. Masumbuko Lamwai?

    Zama zake zimekwisha...imebaki historia saivi tumsahau tu tuwajadili kina Lema, Msigwa, Mnyika Lissu na Mdee
  7. Mch.A.Mwasapile

    Askofu Mwigira hii 10,000 ya Ubatizo ni ya Nini??

    Kama hutaki kutoa huo mpunga si uhame? Mnalialia nini jamvini? Nyie ndo mnaopiga kelele daily Mzee six na Sumaye wahame kwa kutopendezwa na hali ya mambo kwenye CCM huku nje na nyie mnayasema vibaya makanisa yenu, HAMIA SABATO.
  8. Mch.A.Mwasapile

    Kumbe tunaibiwa kiasi hiki? ufafanuzi tafadhari!!!!

    Mi mwenyewe ni Mchungaji lakn andiko hilo limenipiga chenga ya maudhi
  9. Mch.A.Mwasapile

    How to use JamiiForums effectively

    Mwambie aje Loliondo anione
  10. Mch.A.Mwasapile

    Kakobe aongoza wimbo wa kumpongeza Rostam Aziz

    Acha ushangingi wewe..... Msanii baba yako
  11. Mch.A.Mwasapile

    Kakobe aongoza wimbo wa kumpongeza Rostam Aziz

    Uhusiano uliopo kati ya Mmiliki wa Msemakweli na Kakobe hauna tofauti na Uhusiano uliopo kati ya mmiliki wa Tanzania Daima na Jamba leo
  12. Mch.A.Mwasapile

    Chadema ya gonga mwamba udom,jitihada za kuitisha mgomo na maandamano yashindikana!

    Kwa jinsi ulivyolibandika bandiko lako, hata Yesu akiniambia wewe sio Mtatiro nitambishia.
Back
Top Bottom