Askofu Mwigira hii 10,000 ya Ubatizo ni ya Nini?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askofu Mwigira hii 10,000 ya Ubatizo ni ya Nini??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Mar 29, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,433
  Likes Received: 5,688
  Trophy Points: 280
  Ndugu wapendwa imefika wakati si kuhama hama makanisa just kumkimbia mtu ni wakati muafaka kama mna sehemu za kutuma shida zenu makanisan tuleteen hapa tusaidie kuwaelekeza watumishi wanaowangoza

  Mh Mwingira nimesoma gazeti moja leo babu yetu wa loliondo ni tapeli na ukanukuu mistari ya baibo

  ""umeepewa bure toeni bure""""

  na leo nikaja kuulizia kuna hii michango makanisan ukiacha SADAKA/ZAKA ambazo ni hali yako kuhesabu na mama pembeni

  1))KUNA HILI LA SH 5000 KILA MWEZI NA LINAWAFANYA HATA WATUMISHI WAKO WA VITONGOJI KUSUMBUA WATU MAJUMBAN KISA 5000 YA MWEZI..NA MPAKA MTU KUTISHIWA KUFUKUZWA UANACHAMA ..WAPI WANATOA KADI ZA EFATHA ?TUPATE UANACHAMA,,NINACHOJUA KAMA N UANACHAMA WA SIMBA YANGA UNATOA KADHAA...MWANZONI ..UKIPENDA NDIO KAAMA WAKINA MANJI,AZIM NK
  NAOMBA KUULIZA JE UKIKOSA HII 5000 AURUHUSIWI KUWA MSHARIKA KUNA MTU ALINFIKA KWANGU NIKAMWAMBI SINA NIKIPATA NTALETA AKAFIUKIA KUNIAMBIA MUNGU ATAZIMA HUKO UNAKOPATA..DUH IKABDI NIANZE KUMPIGA MAOMBI YA KUUFNGA KUARIBU MAELEZO YAKE

  2)KUNA HILI SWLA LA KULIPA H 10000 WAKATI WA UBATIZO...NA NILIPOFWATILIA DADANGU ANASEMA WALIPOTOKA BICHI SIKU YA KUBATIZWA WAKAENDA KWAKO WAKALISHWA PILAU KADHAA...VYEMA NA MUNGU AKUBARIKI KWA HILI

  SWALI LANGU NAULIZA UNSAIDIE NINACHOJUA BAIBO INASEMA WAZI NA ALAANIWE APOKEAE BURE ..NA HILI KUSEMA BABU WA LOLIONDO TAPELI KWA 500 NAULIZA

  JE HIZI 5000, NA 10000 ZA UBATIZO WANAPELEKEWA YATIMA??

  YOH 17:17 INASEMA NENO LA MUNGU N LA KWELI

  ISAYA 55:11,YER 32:27
  NAMEGINEYO PAMOJA NA HII YER 23:21--NK

  TUMWOMBE MUNGU ATUSAIDIE SANA BABA MPENDWA NILISHASEMA SITOHAMA TENA KANSANI ILA NIKIONA WRONG NTAOMBA MSAADA HATA UN IKIWA JF SITOPATA MAJIBU NA KWA KUANZA NILIONA MAJIBU JUMAPILI ILIOPITA KUPITIA YALIOANDIKWA NA MTU MMOJA KUTOKA JF
  UBARIKIWE SANA

  WASALAM
  EFATHA OYEE!!
   
 2. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mkuu malalamiko yako ni muhimu sana, kama Askofu Mwingira anapitia hapa na kusoma kilichomo, zaidi ya hivyo ni bora kuwasiliana naye ana kwa ana ili uwasilishe malalamiko yako...!

  Nachelea kuwa hapa si mahala muwafaka, na hata ili jukwaa ulilo tumia si sahihi, mambo ya imani ni very sensitive...! Uangalifu unaitajika sana unapotaka kutoa malalamiko...! Ni maoni tu.
   
 3. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2011
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  MWINGIRA KWA SASA NI MFA MAJI... MAKANISA YAO WALIKUA WANAJAA WAGONJWA KWENDA KUOMBEWA KWA HIZO NGUVU ZA GIZA LA KANISA LAKE..

  NA SASA WAGONJWA WOTE WAPO LOLIONDO, MAPATO YAMEPUNGUA SANA KANSANI KWAKE.. Hivyo anatapatapa
   
 4. DON KILLUMINATI

  DON KILLUMINATI Senior Member

  #4
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0


  Mimi na CHAgua DEmu MApema wewe je??

  :peace::peace::peace:
  ___________________
  MIMI NI CHUKUA CHA MASKINI

   
 5. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Nasadiki kwa Mungu mmoja.......nasadiki kwa kanisa atoliki...ushirika wa mitume.......
  Yesu alipanda punda at this time ni sawa sawa na bito combi so won't belive pasta au fada anaetembelea vogi au hama. Mwingira kakobe rekatale mzee wa upako ni MATAPELI plus getrude lwakatale mrembo toka mahenge kijiji cha Mlungu chibidu. WATOTO WA KANISA ATUNA MAHAPIZO.
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Ina uhusiano na ishu hii ya Mwingira?
   
 7. DON KILLUMINATI

  DON KILLUMINATI Senior Member

  #7
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  chukua cha masikini

  a.k.a wajinga ndio waliwao
   
 8. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Nasadiki kwa Mungu mmoja.......nasadiki kwa kanisa atoliki...ushirika wa mitume.......
  Yesu alipanda punda at this time ni sawa sawa na bito combi so won't belive pasta au fadha anaetembelea vogi au hama. Mwingira kakobe rewkatale mzee wa upako ni MATAPELI plus getrude lwakatale mrembo toka mahenge kijiji cha Mlungu chibidu. WATOTO WA KANISA ATUNA MAHAPIZO. .**** those who use the name of JESUS kwa ajili ya matumbo yako ****
   
 9. Mtumiabusara

  Mtumiabusara JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 473
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Unajua haya makanisa mengi ya kiroho mkuu yapo kibiashara zaidi. Ukimuuliza mwingira kuhusu hiyo 5000 au 10000 atakwambia kwamba humchangii yeye bali unachangia kanisa. Swali litabaki kuhusu muundo wa kanisa au uongozi wake ukoje, au unapatikanaje na taratibu za matumizi ya fedha za kanisa zikoje
   
 10. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  CCM kama Gadafi na Fidel Castor wewe umeona wapi mtoto (uvcc) atamtukana baba na Riz 1 ndani. Wamekishwa CCM ni tambara la deki
   
 11. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,009
  Trophy Points: 280
  Ooh pdidy, molar'er'e mowicho ko mndu o Ruwa.
  Ngakur'icha monopapa. Shauri yapho!!
  .
   
 12. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2011
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kaka sio wote unaowaona memba humu ndani ni greater thinkers..
   
 13. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2011
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
   
 14. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #14
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mh kweli dini na siasa ni chumvi na mboga.mnaacha kumdiskass mwingiraa mnadiskass vyama vyenu.loh.poleni.
  Mwingira ni chadema ndio maana hataki watu waende loliondo ili wafanya maandamano jimbo la kawe kule..nawasilisha
   
 15. Mch.A.Mwasapile

  Mch.A.Mwasapile Member

  #15
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama hutaki kutoa huo mpunga si uhame? Mnalialia nini jamvini? Nyie ndo mnaopiga kelele daily Mzee six na Sumaye wahame kwa kutopendezwa na hali ya mambo kwenye CCM huku nje na nyie mnayasema vibaya makanisa yenu, HAMIA SABATO.
   
 16. A

  Anold JF-Expert Member

  #16
  Mar 30, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Mwingira ni balaa!! kwanza nataka niwahakikishie kuwa ni rahisi sana kumuona Mheshimiwa rais kuliko kumuona mwingira kwa shida za kiofisi.
  Ni mtu anayejiinua kupita kiasi, ni moja ya watu wakorofi na washari ambao wanaishi kwa sasa.

  Mwingira kwa sasa yupo kibiashara zaidi, ndiyo maana ni nadra sana kuona amefanya hata mkutano wa nje na kuwaita watu waokoke. Mwaka jana aliwapa waumini wake miaka nafikiri mitatu wawe "matajiri" maana yake ni kuwa hataki watu duni wasiotoa fedha kanisani, yeye anataka watu wenye uwezo wa kutoa hela sio wanaotafuta uwezekano wa kupata mafundisho ili waweze kufika mbinguni.

  Mwingira hapatani na viongozi wengine wenzake wa makanisa yanayojiita ya kiroho, hata siku moja huwezi kukuta anashirikiana nao kwa lolote lile kutokana nadharau na kujiweka katika nafasi ambayo ni ya utakatifu zaidi.

  Nashangaa sana aina ya wakristo ambao hawana mafunuo kutambua lengo la watumishi wanowaongoza, watumishi ambao kila senti inayopatikana kwenye ibada na huduma nyingine ni zao kwa maana ya kuwa wao ndiyo wenye sauti ya mwisho kwenye hiyo huduma.

  Nawasikitikia sana na sina budi kuwaambia Poleni - Nasema hivi kwakuwa nimepitia huko ila niliondoshwa na mambo ya kisanii sanii.
   
 17. A

  Anold JF-Expert Member

  #17
  Mar 30, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  wapeee!!! wengi hawajafunguka. Hela za EFATHA ni za kununulia mashamba huko mkoa wa rukwa na mashamba hayo ni mali yake pamoja ukweli kuwa waumini ndiyo wanachangia uwekezaji huo kwa kila kitu. Nampongeza sana chidumule kwa kumtimulia vumbi Nabii maana wengi hawawezi kutokana na kufungwa na na minyororo ya huduma ya EFATHA
   
 18. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #18
  Mar 30, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,009
  Trophy Points: 280
  .
  Siku moja jioni nilikuwa naangalia trinity Tv na familia, kwa macho yangu na kwa masikio yangu nikamwona na kumsikia mwingira akiwaambia waumini wake wanawake wawe wanawasachi waume zao mifukoni wakati zimetundikwa na kuzikomba pesa zilizopo ndani, hakuishia hapo kwani aliendelea kwa kuwaambia kinamama hataki kusikia malalamishi ya mke kulalamika eti kachukuliwa mme na mfanyakazi wa ndani. Aliwashauri kama kuna mwenye mfanyakazi wa ndani mwenye mchezo wa kummendea mmewe, basi achukue kitu kizito na kumponda nacho mahali pakumuumiza.
  Nikiwa katika hali hiyo ya mshangao mkuu huku yeye akiwatizama waumini wake, kwa kujigamba aliwaambia wasiogope kufanya hivyo kwani watakapofika mbinguni watamkuta yeye Mwingira na Yesu, hivyo atamwelekeza Yesu kwamba hawana shida hawa ni mimi niliwaagiza wafanye vile.
  KWA HASIRA NILILAZIMISHA CHANEL IBADILISHWE KABLA YA MIMI KUTENDA DHAMBI ZA KUJITAKIA. Tukaendelea na futuhi star tv na ikatupa furaha kuliko ule upuuzi wa awali yake.
  .
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Mar 30, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Na mm nitaoteshwa nianzishe kanisa langu.

  Dili la kanisa siku hizi linalipa sana watu wengi wanahitaji faraja ni timing tu unatoka kwenye gemu.

  Nasikia kizizi kinapatikana Nigeria nikipata nauli tu nikapaa mpaka Lagos nikirudi Bongo hapa nimeukata.
   
 20. l

  lumimwandelile Senior Member

  #20
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  hivi hamjui kuwa mwingira yuko kifedha zaidi. jiulizeni huo uaskofu kasomea wapi. wajinga ndio waliwaoooo, endeleeni kuliwa
   
Loading...