Muda wa tendo la ndoa

Sex after baby: When can you make love again after giving birth?


When I first started practicing midwifery in the 1970s, the six-week rule was in effect. Although we recognized that many women had already had intercourse before their six-week checkup and suffered no consequences, the main concern was the possibility of infection.

Research has demonstrated that the cervix is closed by two weeks postpartum, and normal episiotomy incisions and lacerations are well-healed. As a result, I now tell women to have intercourse whenever they feel ready -- as long as the red bleeding has stopped. This generally occurs around two weeks postpartum.

There are exceptions: Women who have had significant blood loss, postpartum fever or infection, and women who had extensive extensions of their episiotomies or severe lacerations would probably do best to wait four to six weeks before intercourse.

Mothers who are bottle feeding or breastfeeding with supplementation may be fertile again at two weeks, so I recommend that they use a good method of contraception. If you are at risk for sexually transmitted infections, a condom and gel or foam are recommended.

Women are generally a bit apprehensive the first few times that they make love after giving birth. Extra lubrication, such as Astro Glide or Slippery Stuff, can make lovemaking more comfortable.

Peg Plumbo CNM
Peg Plumbo has been a certified nurse-midwife (CNM) since 1976. She has assisted at over 1,000 births
 
Usually six weeks.... but
I heard C section is a bit longer up to 10 weeks..

Recommend= JF doctor ..
 
Nimejifunza na naendelea kujifunza zaidi kupitia mawazo na ushauri wenu ma-great thinkers wa hili jamvi. Thanx to all contributed on this thread.
 
Usually six weeks.... but
I heard C section is a bit longer up to 10 weeks..

Recommend= JF doctor ..

Mmmh!! , Nijuavyo you can do anytime after 10th day, ili mradi usitoneshe mmshono na kama ameanza kukauka, pia usifanye kwa nguvu saaaaaaaana na mastaili yale no, gently n u'll enjoy
 
Mimi niliambiwa baada ya yeye kujifungua siku inayofuata kitu na box sasa sijui walinidanganya lol
 
Inahitaji uvumilivu coz bila hivyo waweza kutafuta nyumba ndogo, ki ukweli mama anahitaji kurudisha afya kwanza ata miezi 6 kama ni wavumilivu itakuwa nzuri sana.

Mchana mwema...
 
Miezi sita duh!!! hii nayo kali. Ngoja nimuulize mamusapu tulianza alivyofikisha muda gani..
 
Nasikia Jaruo wao mila yao mama akifungua tuu lazima siku hiyohiyo alale na mumewe.. nimesikia na sina uhakika!! maana unaweza geuka reference hapa. KWa mwenye taarifa zaidi aweza kutujuza.
 
kuna siku niliweka tatizo la my wife wangu kule jukwaa la jf dokta.........baadae nikaamua kwenda hospital mimi na wife........nilimuliiza dokta swali hili maana tuliongea mengi sana juu ya uzazi........akasema kama hakuna tatizo kwa mama baada ya kujifungua mwezi mmoja unatosha sana..........


 
Kwa kawaida kama amejifungua salama ni siku 40,kama ni kwa upasuaji inategemea na maelekezo ya daktari,ila kwa ushauri zaidi nenda kwa daktari atakueleleza kitaalam zaidi
 
Namshukuru aliyeuliza kwani nami swali hili nilikuwa najiuliza sana. :nerd:

Duh,

Pole mkuu. Sikujua kuwa wahanga wa haya mambo wako mengi. Ila mbona tumeshalijadili sana hapa hapa kwenye ukumbi wa MMU?

Kusema kweli mimi sikuwahi kuisubiri siku ya 40. Nilikuwa nafutatilia mambo ya usafi na usawi wa mdau (afya ya ma wife wangu) basi. Mambo yakishakuwa mswano hata siku ya 20 tunaanza biashara.

Mzee DC
 
Kwa kawaida kama amejifungua salama ni siku 40,kama ni kwa upasuaji inategemea na maelekezo ya daktari,ila kwa ushauri zaidi nenda kwa daktari atakueleleza kitaalam zaidi

Ahsante Eiyer kwa ushauri wako!
 
Dah! darasa zuri....mi nakumbuka wakati mamsap yuko preg nilikuwa mpaka naogopa kugusanae lakini daktari akashauri nilie mzigo kama kawaida provided hana complications zozote, kudadadeki jibaba nilikamua mpaka 3 days before delivery......Hiyo kunyonyesha only after 40 days kitu mwake mwake na yeye atakuwa ameshaanza kuitamani..:nerd:
 
Kikawaida ni siku 40, mama anakuwa salama ku do. Kikubwa zingatia afya yake na lishe. Pia style ziwe zile soft sio unagonga tu na masarakasi. Kwa ushauri zaidi nenda RCH clinics ya karibu watakujuza kila kitu. All the best.

Mmh kiukweli mama mjamzito hapo kwenye bold umenivunja mbavu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom