Kakobe aongoza wimbo wa kumpongeza Rostam Aziz

Who is he anyway!
  1. Aliwahi kusema Mreama atakuwa Rais...na hakuwa
  2. Alisema umeme wa TANESCO hautapita mbele ya kanisa lake....na ukupita
  3. Anadai kutibu waumini wake.......hawatibiki na sasa wamekimbilia kwa babau

ndugu yangu mbona umekaa kishabiki zaidi? nani kakuambia umeme unaflow pale? kaulize mpaka leo umegoma. afu ujue umeme sio waya! kampeni na unabii ni vi2 viwili tofauti. alipiga kampen lakin kumbukumbu haisemi kuwa alitamka utabiri ka sheik yahaya! si mara moja watu walio pona wameweka vyeti hewani. sasa ww habari za mtaani usije kuhadithia hapa!
 
Pia hawajatubu na kujutia dhambi ya ufisadi.

nani kakuambia wanaopona wanakuwa hawana dhambi? unataka kuniambia razaro alikuwa masikini na mgonjwa sababu ya dhambi. acha ushabiki. think in 3d. ebo.
 
ndio kampeni za raisi wetu MKRISTO LOWASA ZIMEANZA hivyo, kaza buti RA
lazima lowasa aweraisi, mtake msitake
 
Kakobe yuko kama sigara nyota, unaweza kuiwasha kokote, huyu ni mganga nja tu kwani waumini wengi walishamkimbia kwa jinsi alivyokuwa anakamua fungu la kumi na riba juu yake kama hana akili nzuri vile.Huyu tunamjua sana huyu ni ndumula kuwili, sehemu nyingine anajulikana kwa jina la Zahor Kakobe.
 
hata mm nngeimba pia! Kwn alchkosea RA ni nn? Km ndguze hawajpona kwl aseme wmepna? Co wte wanaoknyw dawa ya babu wanapona! Huo ndo ukwel!

Problem yako ni kuwa ujapata concept. Dont get excited with the floor. Kwa babu sio hospitalini huduma yake ni ya kiroho ambayo inahitaji ushirikiano ktk swala la imani. Get it. Ndio maana wengine wanadaiwa kupona na wengine la. The difference is clear kwamba kuna dimention ya imani. Ukienda kwa babu wakati huna imani au unamashaka kuwa huenda usipone chances ni kwamba hautapona kweli kama unavyotarajia. Kumbuka kuwa kitendo cha kunywa maji ya mti aliyochemsha babu ni symbolic kkt ulimwengu wa kiroho.
 
Kupona ni imani 'imani yako itakuponya' hawa jamaa wa RA walitaka kujaribu ili kama inawafaa waingie mkataba naye ili zile jero jero wakusanye wao.

Kakobe, mtumishi mwenye kanisa lake ana lake jambo na ninamuunga mkono PJ
 
Jamani wana JF na watanzania wenzangu, Ujumbe kwa wanaompinga Babu

Mbona inakuwa vigumu kuwaelewa kuhusu dawa ya Babu? Tanzania tuna uhuru wa kuamua na kufanya jambo lolote ambalo halipingani na sheria au la kumdhuru mwenzako, sasa dawa za mitishamba "herbal" hazijaanzia kwa Babu na sio uchawi, ila kuombea dawa kwa jina la Yesu ni kuiongezea nguvu ya kufanya kazi, Mbona kila siku wakati wa chakula hata kwa wengine kabla na baada ya chakula au kinywaji huwa tunaomba na kushukuru resp, sasa kuna tatizo gani katika kuombea dawa na kuwagawia watu na kisha wagonjwa kutoa ushuhuda kwamba wamepona na wanajisikia vizuri.

Tatizo ukipinga, pinga kwa nafsi yako mwenyewe na waachie wengine wanaoamini wenye uwezo wakupata dawa wapate dawa na it won't cost you any thing hata baada ya maisha yako hapa duniani.
 
Ulitegemea Mafisadi wapone????, Babu aliweka wazi wasioenenda sawa hawatapona...

kweli ufalme wa Mungu unasukwasukwa ..kinachofuata ni Ufalme wa pesa,Katortoise analalama kwa vle anaona mavuno yanazidi kupungua.. ...ole wao!
 
Uhusiano uliopo kati ya Mmiliki wa Msemakweli na Kakobe hauna tofauti na Uhusiano uliopo kati ya mmiliki wa Tanzania Daima na Jamba leo
 
Kakobe ana utapia mlo wa KIROHO
Kuna habari kuwa kwenye ibada ya jumapili iliyopita Askofu Kakobe aliwaongoza waumini wake kuimba 'Rostam oyee!Rostam oyee! Hii nikwasababu Rostam Aziz alijitokeza wazi wazi kupinga dawa ya babu wa LOliondo; Source msemekweli la jumapili hii
 
ndugu yangu mbona umekaa kishabiki zaidi? nani kakuambia umeme unaflow pale? kaulize mpaka leo umegoma. afu ujue umeme sio waya! kampeni na unabii ni vi2 viwili tofauti. alipiga kampen lakin kumbukumbu haisemi kuwa alitamka utabiri ka sheik yahaya! si mara moja watu walio pona wameweka vyeti hewani. sasa ww habari za mtaani usije kuhadithia hapa!

Sasa na wewe bana hapa unatudanganya! Yaani umeme hauwaki pale! Yaani Zakaria ni nabii! Acha hizo bana. Nabii gani hapendi zahabu bana anaita za majini. Nabii gani akisafiri huacha kanda za maubiri kisha waumini wanatolea sadaka bana! Acha hizo bana. Kipindi cha low season lazima mkubali bana! Nabii asiwe na hasira na watu wake! awaombeee warudi salama toka kwa babu na wakiamua kuendelea kusali pale kwake ni hiari yao pia.
 
Back
Top Bottom