Nashukuru, nimeweza kujiunga na forum hii kwa haraka kutokana na ufanisi wenu.
Nahidi tutakwa pamoja kuona mambo yanaendaje hapa Tanzania na duaniani kwa ujumla.
Sasa hivi natafakari kwamba CHADEMA WAKO SAHIHI KABISA katika siasa wanazoendesha,hasa za maandamano.Wanaopinga siasa hizo naona wanafanya hivyo kwa maslai yao binafsi au hawajui walitendalo.
Mfano halisi mnaweza kuona jinsi UVCCMM wanayozungumza, ni yaleyale CHADEMA na wananchi wanalalamikia,ingawa wao wamesahau kwamba hao wazee wao ndio wako serikalini na ndiko wanakoboronga kushida hata huko CCM.
Hata wale mawaziri :aliyepinga maandamano kwa vitisho na yule elimu wakumbuke UWAJIBIKAJI WAO MBOVU NDIO NGAZI YA TULIPOFIKA SASA.