Unajua maana ya unachookiita "technical English" ?
Technical language/English ipo kwenye kila profession(area of study). Mwalimu ana technical language yake ambapo akiitumia kwenye kazi zake kama wewe ni daktari hutamuelewa, vivyo hivyo kwa Mwanasheria, Mwanafalsafa, Mwanatheolojia...
Yaani mzee mzima kwenye mji wako unanyanyaswa na beki tatu na unakuja kulialia humu??!!Maajabu ya mwaka 2020, ama hakika mwaka mpya na mambo mapya!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Baadhi ya Wazanzibar (ambako ni ka kikundi fulani kadogo tu ka vibaraka wa mabeberu) wanakuwa kama mwanamke ukimuonesha unampenda ndo anaongeza kudai akuache akiamini kuwa akikuacha utateseka sana. Dawa ya mtu kama huyo ni kumuacha na siku umesema kuanzia leo sikutaki kesho yake tu au hata kabla...
FRANCIS DA DON, Lengo la presumption of marriage liko hasa kwa ajili ya kutetea haki za mwanamke ( ambaye huchukuliwa kama mhanga wa unyanyasaji na unyonywaji na wanaume) za kindoa ambazo zinaweza kupokwa na mwanaume aliyeishi na mwanamke huyo kwa muda huo wa 2 years or 2+ na sasa mwanaume huyo...
Wanasheria wake wamezembea kutetea trademark yake! Lengo la trademark ni kuonesha origin(source) not necessarily itofautishe bidhaa. Jina "Mo" Cleansoft liko wazi linaonesha source ya bidhaa. Kuna maamuzi ya mahakama yako wazi juu ya hilo.
Wale wengine watakuwa wame-rely on aspects of dilution...
Why are you challenging the lawful authority of Police? Do you have any evidence to the contrary in liue of Police's? Will you be readily available should Police summon you to adduce your evidence to the contrary?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kwa mganga wa kienyeji!
Anyway
1. Karipoti polisi juu ya upotevu, wizi na mwizi mwenyewe. Hii itakusaidia wewe pale ambapo kompyuta yako itakapotumika kutenda uhalifu itajulikana kuwa wewe hauhusiki. Pia utapata RP ya polisi.
2. Mtafute jamaa bila jasho mdogomdogo utampata tu na jinai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.