Natafuta kazi yoyote, nimesomea Uhasibu

Binti wa miaka 25 elimu stashahada ya uhasibu nipo hapa kuomba ajira kwenu ndugu zangu. Sio lazima kazi nilosomea hapana kazi yoyote halali itakayoniwezesha kujikimu kimaisha. Napatikana Kibaha Mlandizi 0757854660.
Mungu akusaidie dada🙏🙏🤛
 
Binti wa miaka 25 elimu stashahada ya uhasibu nipo hapa kuomba ajira kwenu ndugu zangu. Sio lazima kazi nilosomea hapana kazi yoyote halali itakayoniwezesha kujikimu kimaisha.

Napatikana Kibaha Mlandizi 0757854660.
Baada ya kuwa umeipata hiyo kazi yoyote unayoitafuta kwa muda huu, baadaye tena unatakiwa uanze sasa kutafuta kazi ya Uhasibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom