Sijawahi kuona professor wa aina hii koz kwa ninachojua mm mtu akiwa professor kwanza ni mtu wa utaratibu na sio kufanya vitu kama mlevi kwa hiyo huyo jamaa sidhani kama anatumia akili yake ya uprofessor vizuri mana ata mwanafunzi wa Form four hawez kuwa na akili kama hizo ata kama ni siasa...
Kwanza kabla ya yote napenda kuwasalim ndugu zangu wote wa JamiiForums wakubwa kwa wadogo,
Nasema itifaki imezingatiwa, shida yangu ni kwamba nataka kujiunga rasmi na siasa kwa maana naipenda sana toka moyoni.
Sasa basi naomba unishauri nini cha kufanya na je unapenda nijiunge na chama gani...
Tatizo yy ni mwongeaji sana na sio mtendaji inabidi awe ni mtu wa kiasi ktk kuongea kwa sababu inapelekea anaongea vitu vng ambavyo hana uhakika navyo akizani kuwa anajisafisha kwa mh Rais kumbe anajifunga
Nampongeza sana Prf Ndalichako kwa kuliona hili kwa sababu lilikua linashusha hadhi ya Joho na ingeendelea hvo ata wahitimu wa darasa la saba wangevaa ss ingekua wap hadhi ya joho kwa watu wa degree?
Alta continue, ila pole sana ndg maana huo si mwisho wa maisha kuna maisha bada ya kukosa mkopo chuoni, so jikaze kisabuni mwanaume kwan mafanikio si lazma uwe na elimu ya chuo kikuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.