Wanawake wa Kiiraki wananipagawisha sana

Wanawake wa Kiiraki wananipagawisha sana

Ni kweli kabisa@Rhegia. .Wairaki ni wazuri lkn ni wabinafsi sana sana sana.
 
Nilipewa fununu kwenye kijiwe cha kahawa na wengi walisapoti..

1.Madereva wa magari makubwa wanashobokewa sana na hawa waIraki yani wanatafunwa sana na madereva,wakimuona dereva wa mabasi haya basi kiurahis wanachukuliwa


2.huwa wanapeana kikabila,ukimuoa mu-Iraki na siku akikutana na mu-Iraki mwenzie basi hawi mchoyo anampa ..ukimuoa mu-Iraki basi umewaolea kabila ..

Sijui kwa hawa wasomi..
Tatizo unasikia tu kwa watu nenda kafanye utafiti ndo utajua ukweli uko wapi.....
 
Nimewala sana hawa viumbe tatizo lao ni moja hawasettle na mtu mmoja halafu pia akitongozwa hakatai njoo arusha utaambiwa sifa zao nyingi zaidi ya hapo
 
Wengi wao wamekeketwa. Ila kwa kiwaangali wanaleta raha. Figure nzuri, sura na hata nywele. Fanya hima.si wagumu kuwapata. Walotokea Ethiopia walikuwa wachungaji wang"ombe na walifika Tanzania kupitia bonde la ufa wakitafuta malisho ya ng'ombe na baadae wakawa wakazi. Ndiyo maana huwezi watofautisha na wahabeshi.
Acha kuandika uwongo. Mabinti wa ki-Iraqwi hawakeketwi miaka hii hiyo ilikuwa zamani kama ilivyo kwa makabila yote hapa Tz na Afrika. Kwanza unajua hata aina za ukeketaji au unaropoka tu?

Kuhusu history ya wa-Iraqwi kwanza kabisa si wafugaji wa-Iraqwi ni bingwa katika kilimo na kama hufahamu wa-Iraqwi ni moja ya makabila ya kwanza kabisa kufika eneo hili ambalo leo tunaita Tanzania. Walifika tangu karne ya 4 eneo linaitwa Maagwatay. Sasa hivi panaitwa Engaruka ambapo Maasai walivamia karne ya 11 - 14 walipotia timu kaskazini mwa Tz wakitokea maeneo ya Sudan.

Wairaqwi ni kushitis. Ukichunguza lugha, maumbo ya miili, pia historia inashibitisha hili wazi. Iraqwi ni watu wazuri kama walivyo watu wazuri toka makabila yote ya Tanzania.

Mwisho : Mimi siamini sana kwenye Mambo ya makabila naona watu fotautitofauti wanauzi tofauti....see? Mzee wangu ni Mwiraqwi mama Kikuyu from Kenya kwayiyo nafahamu kuhusu Iraqwi people japo lugha aaagh najitahidi nifahamu.
 
Beauty,intelligence and principle are some of the traits of these people
 
hili kabila lina watoto wa kali sana kama wametoka mbinguni vile
 
Beauty,intelligence and principle are some of the traits of these people
Pia mabinti waki-Iraqwi wanavutiwa sana na watu smart up-stairs. Wewe kama haupo vizuri halafu hupendi kukazania katika mambo ya elimu rahisi sana kukimbiwa akitokea anayependa kujiendeleza kielimu/maarifa.
 
Hawajui kukataa
Hawajui kukataa ndiyo nini sasa? Wewe unaelewa maana ya "choice"? Kama wewe umemfuata binti ukamweleza haja zako na yeye akakubali tatizo lipo wapi?

Ujinga unaanzia moyoni mwako mwenyewe. Kama vile uongo. Ukifanya zinaa na unayemuita "mchafu" na wewe ni mchafu tu haupo tofauti.....see?
 
Back
Top Bottom