open anasomaje tuanze hapo wanadahili kupitia tcu haabar ya direct ilisha futwaHata mimi na mdogo wangu nimemshauri asome Open japo hataki lakini hakuna namna.
open anasomaje tuanze hapo wanadahili kupitia tcu haabar ya direct ilisha futwaHata mimi na mdogo wangu nimemshauri asome Open japo hataki lakini hakuna namna.
hapana ni degree.kwanini utake ajira wakati ujamaliza chuo ama una diploma ndugu tuanzie hapo kwanza
Pole sana kijana..usikate tamaa ya kusoma mapema kiasi hicho.kwani hata sisi wengine tulikosa mkopo wa serikali huku hali za kifedha kwa wazazi zikiwa mbaya sana.sikukata tamaa,nilipambana mtaani baada ya miaka kadhaa nikaanza chuo.kwa hiyo usikate tamaa kabisaHabari wadau!
Mimi ni mwanafunzi ambaye mwaka huu nilitarajiwa kuwa chuo mwaka wa kwanza TEKU ila kwa hali ilivyokuwa kusoma basi.
Mikopo 0 basi hata hali ya uchumi kwa wazazi basi iwe nzur but nimbovu kabisa hivo kuanzia sasa nimeamua kusubiri ajira nac kusoma tena labda miaka 4 mbele.
Kama una ushauri ntaupokea ahsanteni.