Utabibu;Namba na nyota zinasema Leo man utd anashinda ,wazee wa kubet piteni hapa

Kuelekea Mechi ya chelsea na Man utd

siku ya jumapili hutawaliwa na sayari ya jua na nyota yake ni ya simba,ilhali tarehe 16/04 hutawaliwa na nyota ya kondoo

Chelsea man utd
16

Mechi inachezwa tarehe 16 na namba 16 ni shufaa inagawanyika kwa mbili...Chelsea namba yake kitabibu ni 3,Man utd namba yake kitabibu ni 13,hivo chelsea na man utd wote wana namba witiri

C=3
M=13

C=3+8=11+16=27
M=13+1=14+16=30

Chelsea=27
Man utd =30

NB:Mechi hii Man utd atashinda sababu namba ya siku na tarehe na nyota inambeba na ndivyo inavyosema.tarehe 16 ni namba shufa na mwezi wa 4 pia ni shufa na mahesabu ya kitabibu yanaonyesha namba za Man utd zinaligana


Wekeni mzigo wa laki kesho uamke tajiri
Naomba unitabirie mach ya juv vs barcelona
 
Leicister na Atletico
Namba ya utàbibu Leicister ni shufwa 12 na Atletico ni witiri 1. Leo tarehe 18 ni shufwa mwezi wa 4 ni shufwa.
Kimahesabu
L=12+18=30
A=1+18=19
Tarehe na mwezi unaifeva leicister. Weka leicister win odds 4 kwa laki ule laki 4.
Tahadhari: mtabibu mkuu hata hafatilii thread yake. Mimi nimefanya Kama nilivyoelewa somo
 
Siyo Mara zote inakua kweli unaweza kupiga hesabu ya baadhi ya game na utabiri usitimie
 
Leicister na Atletico
Namba ya utàbibu Leicister ni shufwa 12 na Atletico ni witiri 1. Leo tarehe 18 ni shufwa mwezi wa 4 ni shufwa.
Kimahesabu
L=12+18=30
A=1+18=19
Tarehe na mwezi unaifeva leicister. Weka leicister win odds 4 kwa laki ule laki 4.
Tahadhari: mtabibu mkuu hata hafatilii thread yake. Mimi nimefanya Kama nilivyoelewa somo
f2ea47c9e6c50adc4e7ea2050c4d9317.jpg
 
Jiunge na group la whatsap la betting lenye members zaidi ya watu 130 upate mikeka ya uhakika na ushauri mzuri kuhusu mechi na company za betting. Kujiunga ni bure na ushauri na mikeka yote ni bure. Linki iyo hapo chini.<br /><br /><br /><br />Betting only
 
Back
Top Bottom