Recent content by MC babuu

  1. MC babuu

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata ajira?kwa kuwa na cheti kwenye masomo ya account?

    Habari za jioni wana jf.naomba msaada wenu wa mawazo kuhusu kozi ninayosoma ya account hofu yangu ni kwamba naweza naweza kupata ajira kwa ngazi ya cheti?.natarajia majibu mazuri kutoka kwenu kwani naamini wengi tulio hapa tuna busara.AHSANTE
  2. MC babuu

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wana jf

    Nashkuru sana king kong ila nimesha google mara kibao link zikija nadownload adi 100% nikija kuangalia baada ya kukamilika nakuta ni empty ni kichwa cha habari pekee ndo kipo.
  3. MC babuu

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wana jf

    Kwanza nitangulize shukrani zangu kwa wote mliopitia uzi huu na wote watakaotoa msaada ahsanteni.naomba yeyote mwenye link za kuweza ku-download katiba ya jamuhuri ya muungano wa tanzania.najua jf ni jukwaa la wastaarabu nategemea majibu mazuri.naomba kuwasilisha
  4. MC babuu

    JamiiForums Tanzania JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida jana jumatatu vipeperushi vya kugomea sensa vimesambazwa maeneo yote ya moshi mjini kila anayejulikana kwamba ni muislamu anapewa na kuambiwa akimaliza kusoma ampe muislamu mwenzake cha kushangaza ni kwamba wanazungumzia kugomea sensa ya watu na makazi...
  5. MC babuu

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa DIGITALI wa kienyeji...

    Kweli huo ubunifu kamanda wangu wilb embu nifafanulie vifaa ulivyotumia na inafanyaje kazi hii.naomba kuwasilisha
  6. MC babuu

    JamiiForums Tanzania Naomba mnipokee.HODIII.....

    Ahsanten wote mlionipokea
  7. MC babuu

    JamiiForums Tanzania Itv na uchomaji wa makanisa vs ajali za meli

    Hovyo sijui umeingiaje umu kichwa hakifikirii kabisa na ukifikiri unawaza ujingaujinga tu jitu zima kichwa box mbona mim hizo habar nilizijua kwenye vyombo vya IPP? Na usipende kulinganisha kazi za miguu na mikono swala la ajali si uvunjifu wa aman bali kuchoma kanisa inaweza kuleta madhara...
  8. MC babuu

    JamiiForums Tanzania Naomba mnipokee.HODIII.....

    Habarin wana jamvi niliingia bila hodi sababu sikuona mlango ila naomba radhi naamini ni waelewa na ninaomba mnipokee na niwe miongini mwenu asanteni
  9. MC babuu

    JamiiForums Tanzania Biashara Jamani.

    Jaribu hii mkuu kutokana na mtaji wako bado ni mdogo na bado haujakomaa kibiashara(uzoefu) unaweza kufanya biashara ya mahindi kutoa vijijin na kwenda kuuza maeneo ambayo bei ni kubwa,au mayai unanunua kwa jumla kijijin na upeleke mjin au matunda ni ww tu kuangalia ipi inalipa haraka ila...
  10. MC babuu

    JamiiForums Tanzania Nape asema CHADEMA ni chama cha Kigaidi

    Umekosa wajinga wa kuwadanganya nenda kwa magamba wenzako kawadanganye zaifu mkubwa jitu zima hovyo ni ww napay
  11. MC babuu

    JamiiForums Tanzania StarTV Live: Mjadala Bungeni Kielelezo cha kukomaa Demokrasia?

    Demokrasia inaminywa sana na hawa wabunge wanaotetea maslahi ya chama (ccm) kwa mfano walipomnyima mnyika kutoa sababu za kumkashfu mh rais wa jmt wangemuacha aeleze pengine asingetolewa nje ata hivyo nataka kumuuliza ndugai komba alivyosema cdm ni vichaa na hakuchukuliwa hatua yeyote kwa maana...
  12. MC babuu

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa hesabu na Mwanafunzi

    Kwenye hesabu siwezi sema lolote
  13. MC babuu

    JamiiForums Tanzania Toka lini umejiunga na Magereza

    Mchezo umekata askarmagereza itabidi amsubiri pai arudi
  14. MC babuu

    JamiiForums Tanzania mhogo umekwama kooni

    Hahahaa umetisha mkuu
  15. MC babuu

    JamiiForums Tanzania nani mtoto

    Hiyo dawa wasipewe wanawake tunatakiwa wanaume pekee
Back
Top Bottom