Msaada wenu wana jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wenu wana jf

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MC babuu, Aug 10, 2012.

 1. MC babuu

  MC babuu Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanza nitangulize shukrani zangu kwa wote mliopitia uzi huu na wote watakaotoa msaada ahsanteni.naomba yeyote mwenye link za kuweza ku-download katiba ya jamuhuri ya muungano wa tanzania.najua jf ni jukwaa la wastaarabu nategemea majibu mazuri.naomba kuwasilisha
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Google andika Katiba ya Jamhuri ya muungano wa tanzania zitakuja links zake!
   
 3. MC babuu

  MC babuu Member

  #3
  Aug 11, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashkuru sana king kong ila nimesha google mara kibao link zikija nadownload adi 100% nikija kuangalia baada ya kukamilika nakuta ni empty ni kichwa cha habari pekee ndo kipo.
   
 4. J

  JPM605 Senior Member

  #4
  Aug 11, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 186
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
Loading...