JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

Kiukweli mimi nimewasikikiza mashekh na nimewaelewa vizuri. Anae waonakua wanatafuta maslahi katu ajitambui na nimuhanga wa propaganda za ccm. Watakao shiriki ni bakwata tu.
 
Uzuri wa serikali ya Kingkwete haiwezi kukubali kushinda, hata mkihesabiwa matokeo yatakayo tangazwa ni wakristo kua wengi, then mbona ndugu zenu wameomba ukarani? NB: Akili ndogo inajaribu kuitawala akili kubwa.
 
sidhani kama watagomea....kama ndivyo basi wale wote waliochaguliwa kuwa mawakala ama makarani wa
sensa kama ni waislamu wajitoe wenyewe kwani si vema ukagoma kuhesabiwa then ukawahesabu wenzako...
 
Watalegea tu siku zinavyokwenda, mimi ningeshawishika kama wangekuwa wanagomea hilo zoezi kwa data, yaani waseme wao wamejihesabu na wamejua wapo asilimia fulani hapo ningeona wapo makini lakini wao hawajijui wapo wangapi halafu wanapiga kelele, wanataka wajijui kwa msaada wa serikali ambayo hawaiamini, mbona sisi wakristo tunajijua idadi yetu mpaka kwa majina na sensa hii imeshafanyika, na ukitaka kujua mahudhurio ya kila ibada kwa tarehe yeyote na kwa majina hizo data zipo. Vile vile kuna waislamu wenzao ambao hawaafiki hilo suala la kugomea sensa. Mimi nimeshuhudia waislamu kibao wanalalamika kwamba waliomba dili ya kuhesabu sensa wamekosa sasa sijui hawajui msimamo wa wenzao.
 
Wakati serikali imeshakamilisha mipango ya kuanza zoezi la kuhesabu watu yaani sensa, waislamu nao kwa upande mwingine wamejianda a kufanya maandamo makubwa nchi nzima kuzuia waislamu wasishiriki sensa. sababu zinazotolewa ni serikali imeondoa kipengele cha udini. mtu mmoja anajiita mwanaharakati wa kutetea haki za waislamu ndugu PONDA ndiye mratibu wa maandamo hayo. Gazeti la annur nalo ni moja ya chombo muhimu cha kuhamasisha waislamu kugomea sensa. Rais wa nchi, wataalamu wa takwimu na viongozi wa juu wa bakwata wameshatoa tamko kuwa kipengele cha udini kisiwepo kwa sababu serikali yetu haina dini. watu wachache kama kina ponda na mhariri wa annur wanapopingana na viongozi halali ni dhahiri watu hawa haitakii mema nchi yetu. ndugu ponda amezoea kumwaga damu za watu kwa sababu ndiye huyu huyu aliyehamasisha vurugu za mwembechai kwa kuvunja mabucha ya nguruwe na watu wakauana. PONDA anapaswa kuelewa kuwa nchi hii inawaumini wa dini nyingi , mkristo anapokula nguruwe ni mionzi gani inayomchoma mwislamu.?
 
ni wazi ponda na wenzake wana chembe chembe za ugaidi kama boko haramu wanawaua wakristo kule nigeria. ponda si mwanaharakati wa kutetea haki za waislamu bali ni anayetafuta umaarufu bila ya kuwa na vigezo sahihi, hivyo hivyo mhariri wa annur hafai kwa sababu ya makala zake za uchochezi na mada zisizo na mashiko. ponda na rafiki yake mhariri wa gazeti la annur wangejikita zaidi kuwa wanaharakati wa kuwakomboa waislamu kuboresha mfumo wa elimu unaoendana na sayansi na teknolojia. lastly but not least vague and irrerevant complain which are raised by muslimus leader like mr ponda and others justfies the code of their weakness and ignorance.
 
Ni uelewa wao, sensa ya dini yao wafanye wao wenyewe wasitegemee serikali. Pia dini nyingine zina utaratibu wa kuhesabu waumini wake kupitia utaratibu wao waliojiwekea wenyewe. Utaratibu wa wao kutaka kuhesabiwa kupitia mgongo wa serikali haupo. Pia dini ni kitu cha kuja tu wametuletea haya maitikadi wageni na sio vitu vya kushadidia sana na kutufanya tupotezo upendo wetu wa asili. Wakisema kuwe na kipengele cha ukabila kinaweza kuwa na maana zaidi kuliko dini sababu dini unaweza kubadili lakini sio kabila. Kabila ni kitu cha asili kabisa lakini dini ni wageni tena wahuni sababu wamedharau kila kitu cha asili yetu na badala yake ni kufuata tamaduni za Kiarabu au Kizungu. Upuuzi mtupu
 
ni wazi ponda na wenzake wana chembe chembe za ugaidi kama boko haramu wanawaua wakristo kule nigeria. ponda si mwanaharakati wa kutetea haki za waislamu bali ni anayetafuta umaarufu bila ya kuwa na vigezo sahihi, hivyo hivyo mhariri wa annur hafai kwa sababu ya makala zake za uchochezi na mada zisizo na mashiko. ponda na rafiki yake mhariri wa gazeti la annur wangejikita zaidi kuwa wanaharakati wa kuwakomboa waislamu kuboresha mfumo wa elimu unaoendana na sayansi na teknolojia. lastly but not least vague and irrerevant complain which are raised by muslimus leader like mr ponda and others justfies the code of their weakness and ignorance.

dedam,
umewauliza kwa nini wanapinga hiyo sensa au unakurupuka tu? hebu wasikilize hoja zao ndio uje na porojo lako hapa. kwa taarifa yako hizi ndio ishara tosha kuwa kuna dhulma ya waislamu katika nchi hii. serikali mwaka huu itakula hasara kubwa kwa kupoteza fedha nyingi za walala hoi na wafadhili kwa kuendesha zoezi lisilo na uhalisia.lakini kwa vile madai haya yanaletwa na waislamu hawajali hata nchi ikifilisika poa tu, waislamu wasipate.
 
Suala la Ponda na mhariri wa gazeti la Annur kuipinga serikali na viongozi wake ndo unaona uchochezi? Ila Mwanahalisi na CDM kuikosoa serikali ni Sawa?mbona CDM huwa wanakiuka amri halali? Basi tuwaache na Waislam wafanye lile wanaloona ni sahihi hata Kama litakiuka Sheria, ambazo nyie msipokubali mnaziita Sheria kandamizi... Mwacheni Ponda na wenzake wafanye wanachokiamini this is a free country. KWANZA SENSA NI UFREEMASON
 
huyu jamaa anaye semaPonda ni gaidi nahisi uelewa wake si mkubwa,kwani sensa inakusaidian nini wewe,ukihesabiwa unapewa maisha bora ama unapata nini ,mara ngapi umehesabiwa umepata faida gani zaidi ya wao kula pesa zetu za kodi ,tumia jukwaa kwa manufaa si kupinga tu bila kutafakari kwa kina
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida jana jumatatu vipeperushi vya kugomea sensa vimesambazwa maeneo yote ya moshi mjini kila anayejulikana kwamba ni muislamu anapewa na kuambiwa akimaliza kusoma ampe muislamu mwenzake cha kushangaza ni kwamba wanazungumzia kugomea sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika mwezi huu mwishoni vipeperushi hivyo vimeandikwa hivi:UJUMBE WA RAMADHANI-WAISLAMU HAWASHIRIKI SENSA(kichwa cha habari) {juu kulia} DIRA YETU HUTOLEWA NA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAMU TANZANIA 0715631183 (Toleo Na.1) TUNAZO SABABU ZA KUGOMA KUHESABIWA.
.Moja ya njia kuu zinazotumika kuwadhulumu na kuwakandamiza waislamu ni upotoshaji wa idadi ya waislamu na wakristo tanzania.Tokea utawala wa wajerumani,waingereza na hata miaka ya mwanzo wa uhuru sensa zote zilionesha waislamu ni zaidi ya 60% ya raia wote.lakini mwaka 1967 Nyerere aliondosha kipengele cha dini katika sensa halafu baadhi ya wizara za serikali na makanisa zikapewa{kinyemela} jukumu hilo na sasa zinatoa takwimu kwamba wakristo Tanzania ni wengi kuliko waislamu.0fisi ya waziri mkuu inadai wakristo ni 45%-waislamu 35%. TBC1, imetangaza wakristo ni 52%-waislamu 32%.Bodi ya utalii inaonesha wakristo ni 45%- waislamu 40%.wakatoliki tovuti yao (www.rc.net) wanadai waislamu ni 34%- na wao ni 44%.Takwimu hizi za uongo zimekuwa zikitumiwa katika uteuzi na maamuzi kama ilivyo elezwa kuwa Tanzania haiwezi kujiunga na jumuiya ya kiislamu ya OIC kwa sababu raia wakristo ni wengi kuliko waislamu.Hivi karibuni Rais ameteua wakuu wa wilaya 133,waislamu 42-wakristo 91.Mawaziri waislamu 9- wakristo 21.Manaibu waislamu 8- wakristo 17.Uongozi wa Baraza la mitihani la Taifa kwa miaka yote watendaji na viongozi 90% ni wakristo jambo ambalo limepelekea watoto wa kiislamu kufelishwa kwa idadi kubwa.Waislamu wa kenya,A.Kusini ni wachache lakini wanaheshimika kwa sababu hawakubali kuchezewa nasi tunasema hapa tulipofikishwa BASI.
MSIMAMO WA WAISLAMU ILI WASHIRIKI SENSA
1.Kwanza tume huru itakayoendesha sensa.
2.wawakilishi wa Dini 2 (kubwa) washirikishwe kwenye ukusanyaji wa takwimu & majumuisho
3.kipengele cha Dini kirejeshwe kwenye Dodoso la sensa
Bila ya mambo haya 3 ni haramu tena haramu kwa muislamu kushiriki katika sensa hii iliyoandaliwa kuimarisha mfumo kristo.


Mwisho wa ku-copy kutoka kwenye kipeperushi hicho kwa mtazamo wako waislamu watafaulu kwenye zoezi lao la kutoshiriki sensa? Na je,nikweli kwamba sensa hii ni kuimarisha "mfumo kristo"?na ni kwanini wameenda kinyume na maagizo ya shehk wao mkuu? Ni maswali ambayo nimejiuliza baada ya kusoma kipeperushi hiki.ni kwanini watanzania wa leo tunazungumzia udini,tetengane kwa ajili ya udini? Niwaombe tu serikali iwe macho dhidi ya misimamo ya watu wachache wanaotumia mwamvuli wa udini kwa malengo ya kutugawa kwa imani zetu.naomba kuwasilisha
 
Suala la Ponda na mhariri wa gazeti la Annur kuipinga serikali na viongozi wake ndo unaona uchochezi? Ila Mwanahalisi na CDM kuikosoa serikali ni Sawa?mbona CDM huwa wanakiuka amri halali? Basi tuwaache na Waislam wafanye lile wanaloona ni sahihi hata Kama litakiuka Sheria, ambazo nyie msipokubali mnaziita Sheria kandamizi... Mwacheni Ponda na wenzake wafanye wanachokiamini this is a free country. KWANZA SENSA NI UFREEMASON

kumbe sensa freemasons? sasa kwanini waislamu wanakomalia kipengele cha dini, mbona wakristo hawako hivyo? inavyoonekana waislamu wanaosali msikiti mmoja hawajijui wako wangapi?
 
Katika hali isiyokuwa ya
kawaida jana jumatatu vipeperushi vya kugomea sensa vimesambazwa maeneo
yote ya moshi mjini kila anayejulikana kwamba ni muislamu anapewa na
kuambiwa akimaliza kusoma ampe muislamu mwenzake cha kushangaza ni
kwamba wanazungumzia kugomea sensa ya watu na makazi inayotarajiwa
kufanyika mwezi huu mwishoni vipeperushi hivyo vimeandikwa hivi:UJUMBE
WA RAMADHANI-WAISLAMU HAWASHIRIKI SENSA(kichwa cha habari) {juu kulia}
DIRA YETU HUTOLEWA NA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAMU TANZANIA 0715631183
(Toleo Na.1) TUNAZO SABABU ZA KUGOMA KUHESABIWA.
.Moja ya njia kuu zinazotumika kuwadhulumu na kuwakandamiza waislamu ni
upotoshaji wa idadi ya waislamu na wakristo tanzania.Tokea utawala wa
wajerumani,waingereza na hata miaka ya mwanzo wa uhuru sensa zote
zilionesha waislamu ni zaidi ya 60% ya raia wote.lakini mwaka 1967
Nyerere aliondosha kipengele cha dini katika sensa halafu baadhi ya
wizara za serikali na makanisa zikapewa{kinyemela} jukumu hilo na sasa
zinatoa takwimu kwamba wakristo Tanzania ni wengi kuliko waislamu.0fisi
ya waziri mkuu inadai wakristo ni 45%-waislamu 35%. TBC1, imetangaza
wakristo ni 52%-waislamu 32%.Bodi ya utalii inaonesha wakristo ni 45%-
waislamu 40%.wakatoliki tovuti yao (www.rc.net) wanadai waislamu ni 34%-
na wao ni 44%.Takwimu hizi za uongo zimekuwa zikitumiwa katika uteuzi
na maamuzi kama ilivyo elezwa kuwa Tanzania haiwezi kujiunga na jumuiya
ya kiislamu ya OIC kwa sababu raia wakristo ni wengi kuliko
waislamu.Hivi karibuni Rais ameteua wakuu wa wilaya 133,waislamu
42-wakristo 91.Mawaziri waislamu 9- wakristo 21.Manaibu waislamu 8-
wakristo 17.Uongozi wa Baraza la mitihani la Taifa kwa miaka yote
watendaji na viongozi 90% ni wakristo jambo ambalo limepelekea watoto wa
kiislamu kufelishwa kwa idadi kubwa.Waislamu wa kenya,A.Kusini ni
wachache lakini wanaheshimika kwa sababu hawakubali kuchezewa nasi
tunasema hapa tulipofikishwa BASI.
MSIMAMO WA WAISLAMU ILI WASHIRIKI SENSA
1.Kwanza tume huru itakayoendesha sensa.
2.wawakilishi wa Dini 2 (kubwa) washirikishwe kwenye ukusanyaji wa
takwimu & majumuisho
3.kipengele cha Dini kirejeshwe kwenye Dodoso la sensa
Bila ya mambo haya 3 ni haramu tena haramu kwa muislamu kushiriki katika
sensa hii iliyoandaliwa kuimarisha mfumo kristo.


Mwisho wa ku-copy kutoka kwenye kipeperushi hicho kwa mtazamo wako
waislamu watafaulu kwenye zoezi lao la kutoshiriki sensa? Na je,nikweli
kwamba sensa hii ni kuimarisha "mfumo kristo"?na ni kwanini wameenda
kinyume na maagizo ya shehk wao mkuu? Ni maswali ambayo nimejiuliza
baada ya kusoma kipeperushi hiki.ni kwanini watanzania wa leo
tunazungumzia udini,tetengane kwa ajili ya udini? Niwaombe tu serikali
iwe macho dhidi ya misimamo ya watu wachache wanaotumia mwamvuli wa
udini kwa malengo ya kutugawa kwa imani zetu.naomba kuwasilisha

*dini umeletwa na baba yenu wa taifa aloutandaza ukristo na kuwalinda ktk ruzuku bl kujali waislam na bado uo mwnz2 hatushiriki hata damu imwagike.
 
Mbona unatoka mapovu? Hakuna sensa hadi kieleweke! We kama hutaki ngoja ushuhudie siku ikifika.Si mnawatumia bakwata? Mtaprove failure na bakwata yenu. No sensa hadi kieleweke.
 
MSIMAMO WA WAISLAMU ILI WASHIRIKI SENSA
1.Kwanza tume huru itakayoendesha sensa.
2.wawakilishi wa Dini 2 (kubwa) washirikishwe kwenye ukusanyaji wa takwimu & majumuisho
3.kipengele cha Dini kirejeshwe kwenye Dodoso la sensa
Bila ya mambo haya 3 ni haramu tena haramu kwa muislamu kushiriki katika sensa hii iliyoandaliwa kuimarisha mfumo kristo.


Mwisho wa ku-copy kutoka kwenye kipeperushi hicho kwa mtazamo wako waislamu watafaulu kwenye zoezi lao la kutoshiriki sensa? Na je,nikweli kwamba sensa hii ni kuimarisha "mfumo kristo"?na ni kwanini wameenda kinyume na maagizo ya shehk wao mkuu? Ni maswali ambayo nimejiuliza baada ya kusoma kipeperushi hiki.ni kwanini watanzania wa leo tunazungumzia udini,tetengane kwa ajili ya udini? Niwaombe tu serikali iwe macho dhidi ya misimamo ya watu wachache wanaotumia mwamvuli wa udini kwa malengo ya kutugawa kwa imani zetu.naomba kuwasilisha

Hapo kwenye red, ningewashauri waislamu wasishirikishe dini nyingine, wawe wao tu kwenye kukusanya takwimu kwakuwa kwa mujibu wao wenyewe ni kwamba wao ndio wengi, sasa hiyo dini nyingine ambao ni wachache ya nini? Halafu siku ya Ijumaa habari zilizoko kwenye kipeperushi hicho ndio itakuwa leading story kwenye gazeti la Al Noor.
Waislamu hawana msemaji maalum wao, kila muislam anaweza kuwasemea wote.
 
Shehe Ponda, shehe Ponda, hatuangalii dini utaburuzwa mahakani muda si mrefu kwa kuwa sheria ya sensa inataka watu wote waliolala Tanzania wahesabiwe siku ya sensa. Unadhani udini wako utawezekana kipindi hiki. Futari ya kitimoto inachemka, kaa tayari
 
wangetumia hizo pesa kufanya mambo ya maana ningewaona wana akili
 
Waisilamu badala ya kutatua masuala yenu ya msingi mnadhani mkiwa idadi kubwa ni deal. Mkasome kwanza elimu dunia ndo mambo yenu yatakua safi
 
Hivyo vinasambazwa na wajinga wachache wanaojiita waislam, waislam kwa ujumla wetu tunaunga mkono sensa. Ila hawa wapumbav wanaojidai kuwa waislam tuwapuuze kwa kuwa hamna wanachojua kuhusu uislam na sensa
 
Back
Top Bottom