Nape asema CHADEMA ni chama cha Kigaidi

[h=2]Nape asema CHADEMA ni chama cha Kigaidi.[/h]
Kwa kile kilichoonekana kuwa ni mfululizo wa matukio ya uvunjifu wa Amani kunakoandamana na umwagaji wa damu ambako siku zote Chadema wamekuwa wakiyafanya, Nape awashukia na kusema kuwa chama chao kina mlegwa wa kigaidi.
matukio hayo ambayo yanazidi kshamiri siku hadi siku, yamekuwa yakifanywa na wafusi wa CHADEMA kwa amri ama maelekezo ya viongozi wao, kwa mfano; katika mkutano wa ndani wa viongozi wa chadema ambao ulipanga mkakati mpya wa kusabotage serikali iliofanyika nyumbani kwa Mbowe mikocheni pamoja na mambo mengine ulimuagiza Rwakatare kuelekea Iramba ili kuandaa kikosi kazi na kuendesha zoezi la kumchafua Mwigulu, Rwakatare alisafiri tarehe 11 kuelekea Singida kusimamia zoezi hilo ambalo tayari limeshasababisha maafa. Ambapo tayari wafuasi wa CCM na MWIGULU wameshapata madhira makubwa kwani Kijana mmoja wa CCM ameuawa na wengine ni majeruhi tangu kuanza kwa zoezi hilo chini ya Rwakatare.

Ifuatayo ni VIDEO ya NAPE akioanisha matukio ya CHADEMA na UGAIDI.

NNAUYE::CHAMA CHA KIGAIDI..................... - YouTube
 
Madaktar wanaitafuta ndoano kwenye mwili wa chadema haionekani lakini usaha unazidi kutunga tumboni,,,,,,,,,,,,,,,,nape endela na operesheni bandua plasta ukutani
mkiona hamjibiwi siyo hatuna majibu ila tunawaheshimu. kwani tunajua mnajitahidi kupost ili muingize siku endeleeni usije mkakosa mshahara bure.
 
Ugaidi ni suala linaloitesa dunia, na linanamna ya kushughulikiwa na Dola ambayo inashikiliwa na chama Chako. Kama una data namna hiyo na unataka tuamini ni za kweli, kwa nini wahusika wasikamatwe na kfikishwa mbele ya vyombo vya sheria?!

Wauaji wa Singida wamekamatwa na watafungwa, hilo wala lisikupe shaka.
 
Nape asema CHADEMA ni chama cha Kigaidi.

Kwa kile kilichoonekana kuwa ni mfululizo wa matukio ya uvunjifu wa Amani kunakoandamana na umwagaji wa damu ambako siku zote Chadema wamekuwa wakiyafanya, Nape awashukia na kusema kuwa chama chao kina mlegwa wa kigaidi.
matukio hayo ambayo yanazidi kshamiri siku hadi siku, yamekuwa yakifanywa na wafusi wa CHADEMA kwa amri ama maelekezo ya viongozi wao, kwa mfano; katika mkutano wa ndani wa viongozi wa chadema ambao ulipanga mkakati mpya wa kusabotage serikali iliofanyika nyumbani kwa Mbowe mikocheni pamoja na mambo mengine ulimuagiza Rwakatare kuelekea Iramba ili kuandaa kikosi kazi na kuendesha zoezi la kumchafua Mwigulu, Rwakatare alisafiri tarehe 11 kuelekea Singida kusimamia zoezi hilo ambalo tayari limeshasababisha maafa. Ambapo tayari wafuasi wa CCM na MWIGULU wameshapata madhira makubwa kwani Kijana mmoja wa CCM ameuawa na wengine ni majeruhi tangu kuanza kwa zoezi hilo chini ya Rwakatare.

Ifuatayo ni VIDEO ya NAPE akioanisha matukio ya CHADEMA na UGAIDI.

NNAUYE::CHAMA CHA KIGAIDI..................... - YouTube

Mnamsikiliza nepi? jamaa kachanganyikiwa hajui anachofanya hajui anacho ongea. anasubiri arudi zake ccj
 
Umekosa wajinga wa kuwadanganya nenda kwa magamba wenzako kawadanganye zaifu mkubwa jitu zima hovyo ni ww napay
 
chdema itakufa gafla
Join Date : 13th July 2012
Posts : 8
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given0

karibu jf ,mbona umekuja kwa kasi hivyo? pole sana. Kwataarifa yako watanzania waleo siyo wa miaka ya 1970. tunajua kuchambua mbichi na mbivu hivyo sera dhaifu kutoka kwa watu dhaifu na serikali dhaifu tumeshauzoea.
 
Ugaidi ni suala linaloitesa dunia, na linanamna ya kushughulikiwa na Dola ambayo inashikiliwa na chama Chako. Kama una data namna hiyo na unataka tuamini ni za kweli, kwa nini wahusika wasikamatwe na kfikishwa mbele ya vyombo vya sheria? Kushindwa kufanya haya kuna maana mbili kwa mtazamo wangu:
1. Hizi ni propaganda za kisiasa hasa za wanasiasa waliofilisika kisiasa wanaoamini katika matusi na uongo kama nyenzo ya kuwavusha! Waliijaribu Arumeru Mashariki ikawashinda! Wanataka kuipeleka na Sumbawanga!
2. Hizi ni jitihada mpya za kujaribu kuwarejesha wanachama walioamua kujivua magamba na kuvaa magwanda, kwa kukichafua chama walikokwenda kujiunga.
Tuhuma hizi zinzotolewa ni nzito mno kusemwa kwenye majukwaa ya kisiasa. Kwa Serikali makini watuhumiwa katika jambo hili hivi sasa wangekuwa wanavunda!!

like.like * 10000
 
Toa akili zako za kuazima hapa, waliofanya fujo ni ccm sio CHADEMA.

Kwa kile kilichoonekana kuwa ni mfululizo wa matukio ya uvunjifu wa Amani kunakoandamana na umwagaji wa damu ambako siku zote Chadema wamekuwa wakiyafanya, Nape awashukia na kusema kuwa chama chao kina mlegwa wa kigaidi.
matukio hayo ambayo yanazidi kshamiri siku hadi siku, yamekuwa yakifanywa na wafusi wa CHADEMA kwa amri ama maelekezo ya viongozi wao, kwa mfano; katika mkutano wa ndani wa viongozi wa chadema ambao ulipanga mkakati mpya wa kusabotage serikali iliofanyika nyumbani kwa Mbowe mikocheni pamoja na mambo mengine ulimuagiza Rwakatare kuelekea Iramba ili kuandaa kikosi kazi na kuendesha zoezi la kumchafua Mwigulu, Rwakatare alisafiri tarehe 11 kuelekea Singida kusimamia zoezi hilo ambalo tayari limeshasababisha maafa. Ambapo tayari wafuasi wa CCM na MWIGULU wameshapata madhira makubwa kwani Kijana mmoja wa CCM ameuawa na wengine ni majeruhi tangu kuanza kwa zoezi hilo chini ya Rwakatare.

Ifuatayo ni VIDEO ya NAPE akioanisha matukio ya CHADEMA na UGAIDI.

NNAUYE::CHAMA CHA KIGAIDI..................... - YouTube
 
hata hawa chadema, hawaoneshi kupigana kimaneno vita vya kujenga uchumi na CCM, je huu ni upinzani wa kuimarisha chama au nani ni bora kutujengea maisha bora? Chadema, tueleze una foreign policy gani nzuri za ku atract western europe investors? au na wewe bado una kasumba ya kuichukia marekani na Israel ukipata kiti cha agano?
Hii homa ya western investors itatuacha lini watanzania? kwanini tunaamini kuwa maendeleo yataletwa na foreign investors? Kama ukoloni mkongwe haukutuletea maendeleo, iweje leo tuamini ukoloni mamboleo utuletee maendeleo? Haya hiyo mitaji iliyowekezwa kwenye migodi ya dhahabu Geita, Kahama, Nyamongo n.k. imetusaidiaje zaidi ya kuleta maradhi na vifo vya wananchi wasio na hatia? Kwanini hatutumii elimu zetu kutatua matatizo na kujiletea maendeleo, badala ya kuimba nyimbo za makuadi?
 
quote_icon.png
By Josephine

Nape ,najua unaongea haya kwa makusudi,,nachofurahi unazungumza uwongo na taarifa hizo hazitakuwa na kibali popote.

Mbona nilikuwa huko sikuyaona hayo zaidi ya kukutana na vijana ambao Mwigulu amewatumia pesa wafanye vurugu.

Binaadam ambae hana maadili hata ya kufata maelekezo ya vitabu vitakatifu na kama haviamini hivyo basi hana hata maadili ya kibinaadam ya kwenda mahakamani au wilayani tu na kula kiapo cha ndoa, leo ana mdomo wa kushutumu wengine eti ni waongo!

Hiyo ndio kuelekea "Nchi ya Ahadi"?

Eeeh Mungu wetu tulinde na hii kaumu iliyojaa kuvunja kanuni ulizoziweka. Na uilinde nchi hii isije kuingizwa na hawa wachuma dhambi kwenye lindi la dhambi. Mungu ibariki Tanzania kwa halali na si haramu.
 
Waraka mlioandaa baada ya kuandaa mikakati ya mauaji; waraka mlioandaa kuhalalisha mauaji!!. Haitawasaidia! Damu ya watu inayomwagika itawahukumu.
Mungu mwenye haki anawajua wenye haki wake.
CCM die now; let my people live.

Kama ungeuona ule waraka ungeelewa kila kitu, umafia upandikizaji sumu, na chuki ndani ya jimbo la Iramba pamoja na uovu mwingine nchini ulikua umeadhimiwa kwa pamoja na viongozi wa CHADEMA, kwenye kikao cha ndani kilichafanyika nyumbani kwa Mbowe Mikocheni na Rwakatare ndiye aliyepewa jukumu hilo na aliitekeleza kwa Kadri walivyokubaliana yaani kuhakikisha watu wanajeruhiwa na wengine wanakufa kama ilivyotokea jana, bahati mbaya sana MODs waliupuuza na kuundoa ule waraka ulioasisi mkakati huo.

CHADEMA Mnatupeleka wapi? Msituvurugie amani yetu kwa tamaa ya madaraka
 
mm nadhan si swala la busara kwa ccm kuendesha siasa za namna hii kwasababu ni chama chenye dola ingewapasa kufanya kwa vitendo kuleta maendeleo kama vile kuboresha miundo mbinu vijijini(zahanati,madawa,wahudumu wa afya,barabara et al) kuibua miradi mbalimbali ya maendeleo(matendo yanaongea zaidi ya maneno-actions speak louder than words) niko Kilosa kwa sasa najionea hali halisi huku vijijini kwakweli hali si nzuri zahanati hakuna vijijini mpaka mtu aende Kilosa mjini au Mikumi sasa haya ndio ccm walitakiwa waonyeshe juhudi zao katika kuyatatua na sio kupiga siasa kama wapinzani,Kilosa ni tajiri kwa ardhi yenye rutuba lakini hakuna mashamba ya kueleweka ambayo yangetengeneza ajira kwa rika tofauti
 
Ironically adhabu ya kupigwa mawe hadi ufe anastahili mwanamke aliyeolewa akaenda kuzini nje ya ndoa.

Akome,na hao ndugu zake wamfuate mwigulu aliyewapa hela wafanye fujo......tena ni wajinga,ningekuwa mimi hela ningechukua nakula na fujo cfanyi na hana cha kunifanya
 
Binaadam ambae hana maadili hata ya kufata maelekezo ya vitabu vitakatifu na kama haviamini hivyo basi hana hata maadili ya kibinaadam ya kwenda mahakamani au wilayani tu na kula kiapo cha ndoa, leo ana mdomo wa kushutumu wengine eti ni waongo!

Hiyo ndio kuelekea "Nchi ya Ahadi"?

Eeeh Mungu wetu tulinde na hii kaumu iliyojaa kuvunja kanuni ulizoziweka. Na uilinde nchi hii isije kuingizwa na hawa wachuma dhambi kwenye lindi la dhambi. Mungu ibariki Tanzania kwa halali na si haramu.

Ameeeeeen
 
Yan policcm hawana pakukimbilia la ulimboka hawana wa kumtupia wamebaki kumtupia mzigo ngwajima!
 
Kama ungeuona ule waraka ungeelewa kila kitu, umafia upandikizaji sumu, na chuki ndani ya jimbo la Iramba pamoja na uovu mwingine nchini ulikua umeadhimiwa kwa pamoja na viongozi wa CHADEMA, kwenye kikao cha ndani kilichafanyika nyumbani kwa Mbowe Mikocheni na Rwakatare ndiye aliyepewa jukumu hilo na aliitekeleza kwa Kadri walivyokubaliana yaani kuhakikisha watu wanajeruhiwa na wengine wanakufa kama ilivyotokea jana, bahati mbaya sana MODs waliupuuza na kuundoa ule waraka ulioasisi mkakati huo.

CHADEMA Mnatupeleka wapi? Msituvurugie amani yetu kwa tamaa ya madaraka

Inashindikana vipi ninyi CCM kuandaa mikakati ya mauaji kwa lengo la kuichafua CHADEMA?
Na kwa sababu mmeandaa nyie hiyo mikakati, mnatangulia kuitangaza kwa umma kupitia waraka feki wa CHADEMA ili ionekane mlinasa waraka wa CHADEMA. Siasa za kuua watu acheni enyi CCM mliolaaniwa!!
CHADEMA wakaue watu Iramba ili iweje???!!!!. CCM wanaua watu katika kipindi ambacho CHADEMA inafanya mikutano yake huko ili kuvuruga jina zuri la CHADEMA. CCM mmefikia pabaya sana, maisha ya watu yana thamani kuliko madaraka-naomba mfahamu hivyo!
Ndani ya moyo wangu, kwa moyo wa dhati, naomba CCM ife ili watu wasiendelee kuuawa kinyama namna hii kwa maslahi ya kisiasa. Nimesononeka sana. Why these political deaths to my people???!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom