nani mtoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nani mtoto

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by magdarena, Jul 13, 2012.

 1. magdarena

  magdarena Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Familia moja walimpekeka mtoto wao marekani kusoma,yule kijama alipomaliza shule kwabahati akapata kazi kule kwahiyo akaendelea kuishi kule kwamiaka mingi akiwa anaongea nawazazi wake ktk simu tuu. Jamaa akaomba likizo aje kuwaona wazazi wake. Alipokubaliwa akwa anapita madukani kutafuta zawadi zakuwaletea wazazi wake. Ktk pitapita madukani akakuta dawa yakupunguza uzee. Jamaa akaona bora awanunulie wazazi wake ambao walishaanza kuzeeka.kwabahati kunamtanzania alikua anarudi huku siku yapili yule jamaa akaamua ampe ile dawa atangulie nayo ili atapofika awakute wamebadilika. Siku ikafika yule jamaa akasafiri kuja tanzania. Alipofika uwanja wandege akategemea mapokezi yanguvu. Lakini jamaa hakuwaona wazazi wake. Akawa anaangaza huku nahuko bila kuwaona. Pembeni akamwona binti anambadilisha mtoto nepi. Akamwambi"binti hujambo?" Binti akajibu. Jamaa akamwambia hujawaona wazee wawili maeneo haya? Yule binti akamwuliza kwani weunawatafuta wakinanani? Kijana akamwambia wazazi wangu mr na mrs fulani. Yule binti akahamaki "jamani mwanangu waoooo" yule jamaa akamwambia binti umechanganyikiwa? Yulebinti akamjibu hapana mimama yako. Ile dawa uliotuletea tulipotumia tukawa vijana ila baba yako kazidisha dozi ndohuyu karudi utoto nilikua nambadili nepi kajisaidia" jamaa akapigwa namshangao akazimia.
   
 2. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ha ha ha ha ha ha ha ha ha
   
 3. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  I knw dis bt am hapy to c it once again..teh teh!
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Aliyepewa dawa toka America yuko wapi?
  Ama walikuwa wanandugu nini?
   
 5. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #5
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  Hahahaha hiyo dawa inamfaa bi cheka mana anaonekana kuutaman sana ujana lol
   
 6. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Iyo dawa, ni nouma inaitwa grow young!!
   
 7. Bebz

  Bebz Member

  #7
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  hahahahahahhh hiyo dawa noma..
   
 8. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Kipeso kwa sana mpaka basi
   
 9. manumbu1

  manumbu1 JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 572
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  nimecheka sana
   
 10. MC babuu

  MC babuu Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo dawa wasipewe wanawake tunatakiwa wanaume pekee
   
Loading...