Toka lini umejiunga na Magereza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toka lini umejiunga na Magereza

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mbimbinho, May 25, 2012.

 1. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 5,583
  Likes Received: 2,157
  Trophy Points: 280
  Mpolisi karudi home usiku, ili asimuamashe mkewe hakuwasha taa ya chumbani kwake akaaanza kuvua unifom zake, ghafla mkewe akamwambia kwa sauti ya usingizi,
  MKE: Mpenzi usiwashe taa kichwa kinanigonga vibaya, naomba uende hapo jirani kwa kaduka ka Mangi kaniletee panadol. Mpolisi akavaa chapchap na kukimbia kwa Mangi.
  MPOLISI: Mangi nipe panadol.
  MANGI: Hii hapa afande. He afande toka lini umejiunga na Magereza, naona leo umetwanga unifom ya Magereza
   
 2. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,042
  Likes Received: 574
  Trophy Points: 280
  Dah!!Mpolisi kazidiwa ujanja na vijana wa mabasi ya kijani!!!
   
 3. Azipa

  Azipa JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 1,070
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mke ameona mziki wa polisi mdogo ajaribu na wa magereza!
   
 4. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,140
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Searching...100%
  Loading...30%
   
 5. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,349
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  Du! Mke kaliwa
   
 6. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #6
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,755
  Likes Received: 683
  Trophy Points: 280
  Mangi nae!
   
 7. kapolo

  kapolo JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 274
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ukiona manyoya ujue kaliwaaaa
   
 8. John locke

  John locke JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 346
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Mpolisi stuka mpo wangapi??? kwi kwi kwi kwi kwi
   
 9. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 6,906
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Umeona eeh! Anaweza vunja ndoa za watu bora angeuchuna tu, unafikiri ni nini kinafuata baada ya hapo
   
 10. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,755
  Likes Received: 683
  Trophy Points: 280
  Bi shost kama kichwa kinauma kitapasuka
   
 11. MC babuu

  MC babuu Member

  #11
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mchezo umekata askarmagereza itabidi amsubiri pai arudi
   
 12. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,487
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  anawashwa na pilipili asoila..
   
 13. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,506
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Hapo MMAGEREZA nae akurupuke kwa kitete avae uniform atastukia kwake anapoulizwa na mkewe "umehamishiwa kwenye UPOLISI leo!??"
   
Loading...