Recent content by Mbyshiiii

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mawazo mazuri ndio yanayoweza kujengenga sio blaa blaa kama za Nape.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mawazo mazuri ndio yanayoweza kujengenga sio blaa blaa kama za Nape.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Helen Kijo Bisimba wa LHRC apata ajali

    Siasa inaua hatare,Mungu amponje namkubali sana yule mama
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaman ivi nitafanyaje ili niache kupiga master ushauri plz

    Kuna watu wanaleta utani ila mi nimemwelewa sana mtoa mada.Huyu jamaa anatatizo kubwa,ninavyomwelewa ni kwamba huyu jamaa anamwenza ila huyu mwenza wake hamridhishi hivyo anaamua kujichua ili kupoza hamu huu ndio msingi wa tatizo lake. Mimi nakushauri kwamba tafuta kujua kwanini mwenzi wako...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Songea wakienda kuizika UKAWA

    Hata Yesu alitenda wema kuwaponya wagonjwa na kuwasaidia watu wenye matatizo mbalimbali lakini walimtesa na kumtundika msalabani,ila alipopaa mbinguni ndio walijua kuwa yule alikuwa ni masihi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Iringa - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Mbona hamtoi updates sasa?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Jijini Mwanza: Mkutano wa kuhitimisha kampeni za mgombea Urais wa CCM, Magufuli

    Yaani nakuonea huruma sana pamoja na kupoteza muda wako kutengeneza hotuba yoote hii lakini watu tumeshaamua kuwa rais wetu ni EDWARD NGOYAI LOWASSA. Labda ujairibu tena mwaka 2025
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa kufunga kampeni za CHADEMA - Jangwani, Dar - Okt 24, 2015

    Lowassa ndio rais hilo liko wazi kabisaa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli akacha Mahojiano ya BBC

    HA HA HA HA....Kwani unadhani yeye haogopi?
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

    Unabii huwa haubadilishwi kijinga wadanganyeni wapagani wasiojua unabii
  11. M

    JamiiForums Tanzania My CCM, NEVER do that again!

    Hizi sio nyakati za ccm tena msijidanganye
  12. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa azomewa na vijana wazalendo Morogoro

    Lowasa anatisha wewe acha kuzusha sasa hivi yupo hapa ruaha kilombero hadi walimu wameamua kufunga shule maana kila mtu anaacha shughuli zake anaelekea kwa lowasa na bendera za ukawa,kazomewa waaapi?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Soma hapa ujue kwanini wananchi wanataka kuiadhibu CCM jumapili

    Uko sawa kabisa mtoa mada
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye apata ajali Kilwa, alikuwa akitokea Dar kuelekea Lindi

    Aaaah.!! Kwa bahati mbaya amenusurika
  15. M

    JamiiForums Tanzania System aliyoitegemea Lowassa ilivurugwa na Kikwete!

    We ngoja tu utaelewa kwamba lowasa ni nani anapoahapishwa kuwa prezidaah
Back
Top Bottom