Kuna watu wanaleta utani ila mi nimemwelewa sana mtoa mada.Huyu jamaa anatatizo kubwa,ninavyomwelewa ni kwamba huyu jamaa anamwenza ila huyu mwenza wake hamridhishi hivyo anaamua kujichua ili kupoza hamu huu ndio msingi wa tatizo lake.
Mimi nakushauri kwamba tafuta kujua kwanini mwenzi wako hakuridhishi yawezekana humwandai vizuri hivyo anapata maumivu wakati wa tendo,au anamatatizo ya kuwa na maji machache ukeni.
Hivyo tafuta namna ya kupata ufumbuzi wa tatizo la mwenzio.
Kama nimekuelewa vizuri nadhani hii itakusaidia