Lowassa azomewa na vijana wazalendo Morogoro

Lowasa anatisha wewe acha kuzusha sasa hivi yupo hapa ruaha kilombero hadi walimu wameamua kufunga shule maana kila mtu anaacha shughuli zake anaelekea kwa lowasa na bendera za ukawa,kazomewa waaapi?
 
Vijana wazalendo wasema wao ni Magufuli tu
 
Epuka viongozi wanafiki, wanasema Pesa na kuacha misimamo yao, ni wanunuliwaji, haeatufai
 
Attachments

  • 1445590635261.jpg
    1445590635261.jpg
    10.6 KB · Views: 277
  • 1445590739578.jpg
    1445590739578.jpg
    20.5 KB · Views: 280
Naona mnajitekenya na kucheka wenyewe, mimi nimeshinda hapa Nashera hotel tangu saa 12 asubuh na makamanda, ni wapi lowasa kazomewa.

Tupieni clip
kama wewe ni kamanda wa kweli huwezi kuona jamaa akizomewa
 
Akizomewa magufuli huwa naona Video hapa jamvini ila tangu nianze kusikia Lowassa kazomewa sijawahi ona hata picha....WHY?? WHY??WHYYY??
 
Wasema wao ni Magufuli ndo chaguo sahihi
 
Mgombea Urais kupitia CHADEMA,Lowassa kapata wakati mgumu tena Hapa Morogoro baada ya kundi la vijana wanaojiita Wazalendo kutoka CHADEMA kumzomea huku wengine wakibeba mabango yaliyoandika hatudanganyiki. Kelele zimetanda hapa mjini Morogoro vijana wanasema hawatafanya kosa kwa kuchagua mtu aliye na tamaa.

Kama ni kweli weka clip ili kujiridhisha au picha ya maneno ya hao vijana wanaijiita wazalendo, uzalendo siyo kumkataa lowasa ila ni kuukataa mfumo mbaya wa ccm.
 
Mtoa taarifa kwanza huna maadili ya kazi yako chanzo hakieleweki cc tumekaa hapa lakn cha ajabu unaibuka Na taarifa za kipuuzi Tu,au unataka kupma kina cha bahar kwa kina?
 
Mgombea Urais kupitia CHADEMA,Lowassa kapata wakati mgumu tena Hapa Morogoro baada ya kundi la vijana wanaojiita Wazalendo kutoka CHADEMA kumzomea huku wengine wakibeba mabango yaliyoandika hatudanganyiki. Kelele zimetanda hapa mjini Morogoro vijana wanasema hawatafanya kosa kwa kuchagua mtu aliye na tamaa.
12046573_916397881729548_6242467594441882443_n.jpg
 
chadema wajiandae kwenda kuchunga ng'ombe na wengne kulima ndizi moshi watapata kipato. maana ccm tuna mpango wa kuondoa mfumo wa vyama vingi maana tumewahifadhi tu alafu mnatusumbua
 
Mgombea Urais kupitia CHADEMA,Lowassa kapata wakati mgumu tena Hapa Morogoro baada ya kundi la vijana wanaojiita Wazalendo kutoka CHADEMA kumzomea huku wengine wakibeba mabango yaliyoandika hatudanganyiki. Kelele zimetanda hapa mjini Morogoro vijana wanasema hawatafanya kosa kwa kuchagua mtu aliye na tamaa.

Kuzomeana si uzalendo.
Ni siasa mbovu na za kipuuzi.
Nilisema kwa waliomzomea Magufuli hapo Morogoro na ninasema sasa kwa waliomzomea Lowassa
 
Hiyo kazi anayo maana Kilosa, Morogoro mjini na Vijijini, Kilombero, Mvomero, Ulanga na Gairo vijana hawadanganyiki. Wanasema wao kazi tu. Magufuli ndiyo mpango mzima kwao.

Wewe utakuwa umevuta. Mimi nipo hapa kilombero, Magufuli akipata 20% ya kura kwa jimbo hili milimwe ban ya wiki mbili. Invisible plz njoo ui-like hii post
 
Last edited by a moderator:
Mgombea Urais kupitia CHADEMA,Lowassa kapata wakati mgumu tena Hapa Morogoro baada ya kundi la vijana wanaojiita Wazalendo kutoka CHADEMA kumzomea huku wengine wakibeba mabango yaliyoandika hatudanganyiki. Kelele zimetanda hapa mjini Morogoro vijana wanasema hawatafanya kosa kwa kuchagua mtu aliye na tamaa.

Weka video clip kama zinavyowekwa za pombe
 
Mgombea Urais kupitia CHADEMA,Lowassa kapata wakati mgumu tena Hapa Morogoro baada ya kundi la vijana wanaojiita Wazalendo kutoka CHADEMA kumzomea huku wengine wakibeba mabango yaliyoandika hatudanganyiki. Kelele zimetanda hapa mjini Morogoro vijana wanasema hawatafanya kosa kwa kuchagua mtu aliye na tamaa.
Mbona unalialia! Weka hata picha bas ili tukuamini vinginevyo wew utakuwa ndo walewale wanaoimba CCM ni ileile!
 
Back
Top Bottom