Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Kwamhuzi

JF-Expert Member
Nov 15, 2014
1,767
1,250
Mimi sijamkubali,naomba usinisemee.
Hii ni mara baada ya mh, John Pombe Magfuli kuhaidi kufanyia mabadiliko mishahara ya wafanyakazi wote nchini ni kauli aliyoitoa jana kwenye mikutano yake. Hili ni jambo jema na halijawai kutokea katika taifa letu, kwakweli wewe ni Nyerere wa pili Baba Magufuli.
 

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Oct 14, 2015
5,113
2,000
mi nashangaa sana kuona mpka leo watu mnabishana na kuwaita watu maraisi, hebu tusubili bhna siku imeshafka nyie vp
 

njiwa

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
11,871
2,000
haiitaji tapeli kama TB JOSHUA kujua kwamba CCM itashinda ..... ni sawa na kuuliza 1+1= ?
 

Mtingaji

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
1,209
1,225
Nilifikiri ni utabiri wa T.B. Joshua kumbe T.B. Joshwa!!!
Akolezee kwa kuweka clip tuone.
 

lackg

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
641
250
.......acha kuwasemea watanzania.......watu hawaitaki ccm wewe unaleta siasa nyepesi hapa jukwaani peleka facebook
 

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Nov 21, 2007
2,949
2,000
Huu ni unabiii unaotimia: -

Akizungumza na wasaidizi wake jana jioni nyumbani kwake Lagos Nigeria, Nabii T. B. Joshwa anasema

"Naiona nchi ya africa mashariki ikipata rais mpya kutoka ndani yha chama kikongwe barani afrika mwaka huu 2015. Lakini atakuwa ni rais atakayekuja kupendwa na watu wa nchi yake, mwenye uwezo mkubwa wa kiutawala na atakaebadilisha maisha ya watu wake".

Kutoka kwa mtu wa karibu na SCON Lagos Nigeria.

My take : UKAWA tulieni mnyolewe.
Baba Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka na Mungu wa Yakobo, watanzania kwa unyenyekevu mkubwa tunakuomba umwangushie angamizo zito huyu mwanamitandao Mwamba Usemao Kweli adahabu na laana kali itakayokuwa fundusho kwa wanafiki wote wanaowasingizia watumishi wa MUNGU T B Joshua kwamba ametoa kauri kuhusu uchaguzi wa Tanzania. Tunaomba haya yote kupitia jina lako tukufu lipitalo majina yote!! Amen
 

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,511
1,195
Huyo joshwa ni sahihi kabisa kwa ccm,Mtumishi wa Mungu Tb Joshua ni mtumishi sahihi wa Mungu.
Hata mimi naona yupo sahihi kwani aliyetoka chama tawala ni LOWASAH YUPO SAHIHI TB JUSHUA. !

LOWA FOR 2015!!!
 
Top Bottom