Recent content by Mbwazoba

  1. M

    JamiiForums Tanzania KWAKO JK a.k.a MJOMBA! SOMA USHAIRI HUU ILI TUONE UTAAMUA NINI!!!

    bonge la shairi nakupa thanks la kutosha mkuu, usalama wa taifa wataiprint na kumpelekea usihofu ujumbe utampata
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nape ni mwanzilishi wa CCJ

    halow!!!!! mbona umemvua nguo hivyo? muwekee japo vimistari ajue basi, ila hayo mawe yako sio kabisa kila poat mawe tu?!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nape ni mwanzilishi wa CCJ

    Weka mistari basi aone mfano , mipost yako mirefu sana Dogo!!!!!but safi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Slaa, Zitto, Mbowe, Mnyika; someni hii

    mh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!mwaka huuu!!!!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Chacha Wangwe (Rasta) yupo hai

    nyakarungu, navutiwa na hiyo misemo yako, nimependa hii ya mawe basi wewe na vijana wenzako mnatakiwa muonyeshe njia, mungu awape nguvu na uzima tuioe kesho yenu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Chacha Wangwe (Rasta) yupo hai

    Hujaeleweka kabisaaa MURAAH!!!!!!!!!! hebu njoo tarime ufanye mkutano pale town na utoe kahotuba kako, labda watakuelewa!!!!1
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa TARIME apigwa na wananchi

    na unabahati sana, yani ulete za kuleta kwa limuraa la tarime aroooooooo!!!!!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Chacha Wangwe (Rasta) yupo hai

    Kwani huyu nyamabri amelazwa wpi na huyu ndiye ugonjwa wa kuhara eegh? Au ndiye yule magahambuni........>????
  9. M

    JamiiForums Tanzania Balozi Seif Iddi na Waziri Nahodha jibuni hoja hizi za Uamsho

    ujinga kabisa huu, eti sio 70 ni 29 tu, nyooo hiyo sio kitu kwako wewe mjinga kabisaaaaaaaaaaaa...yaani unataka kuhalarisha uhalifu huo wa waislamu wa kuijchukulia sheria mkononi? pum.....vu kabisa wewe, au ndio mnatetea wazenji wenzenu wa bara...yaani tukianzisha sisi huku mtaisoma tu, mm...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Toa maoni yako juu ya wagombea hawa wa BAVICHA (Chadema) taifa

    hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hii nayo loooooooooooo KISANDU, JIPANGE UPYA AISEEEEEEEEE
  11. M

    JamiiForums Tanzania Shibuda: Achaneni na ‘Agano la Kale’

    hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!! sio ushabiki, ila nilikuwa nakutamani sana tangu ukiwa chama cha magamba, mzee SHIBUDA umiza sana mzeee, ila nitakutembelea huko shy nijifunze ngano na misemo yako, maana inakufanya uwe na mvuto kwenye hotuba zako mzeee, sasa ccm wana nn cha kuwadanganya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

    hallow moderator!!!!!!!!! uko wapi? huoni kinachoendelea?
  13. M

    JamiiForums Tanzania JK Kutangaza wakuu wapya wa Mikoa?

    kuna walio wekwa na lowasa weeengi tu, awatimulie huko haraka kabla lowasa hajammaliza jamani.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dk. Mwakyembe amrushia Sugu kijembe

    PhD= Poor Hair Distribution, sasa watazame wote wenye hizo phd uone nywele zao
  15. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanani dissapoint kwa kweli

    watu wengi tu walishasema kuhusu chadema kujibadilisha kisera, kimtazamo na ki-organisation, naona ujumbe unazidi kuwaingia , tusubiri wamalize hii ngwe, tuone kinachofuata. siku moja niliuliza, hivi ikitokea, jk akajifanya kichaa, awafunge akina mapacha watatu, je cdm itakuwa na hoja gani ya...
Back
Top Bottom