Slaa, Zitto, Mbowe, Mnyika; someni hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Slaa, Zitto, Mbowe, Mnyika; someni hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JikeDume, May 19, 2011.

 1. J

  JikeDume Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi chadema inatumia nguvu kiasi hicho kufanya maandamano na kuwavutia watu wengi, halafu kije kifie njiani kwa sababu za kina bavicha ni aibu ya kilo ngapi hiyo?
  Tazama makundi yanayozuiwa yanavyojengeka kila siku humu chamani.
  Mbunge lema anaapa hadharani kuwa atahakikisha heche anashinda, huku mdee na ester matiko wakikoleza kachumbari hiyo.
  Kumbe sababu kubwa ni mchange
  wakati wa kura za maoni za wabunge viti maalum, mchange alipewa mifedha na mh.ndesambulo na zitto, akazunguka nchi nzima kuwaua akina mdee na akina grace kiwelu( mtalaka wa mtoto wa ndesambulo) na alifanikiwa kuwamaliza.
  Sasa hii ndiyo sababu kubwa ya kuwafanya akina mdee wavae viatu vizito (heche)asiyeuzika, ili wafanikiwe kumzuuia mchange asipenye.
  Heche anapigiwa chapuo na akina lema na mdee na hata mch.msigwa wa iringa mjini
  wote hawa ni wajumbe wa kamati kuu,hatujui kama haki itatendeka hapa kwa wagombea wasio na mtandao humo, yani hata jamaa anayeitwa mrema...ameapa kummaliza mchange kwenye kikao cha kamati kuu tarehe 26 mwezi huu
  sijui hata lema kama anajua madhara ya kuwa kimbembele katka suala hili
  kwani wagombea wengine hata siwajui majina vizuri ila nimesikia kuwa heche na mchange ndio wataweza kuleta vurugu.
  Ushauri wangu ni bora hawa waondolewe tu, kwani ni makundi tupu wala sidhani kama madhara ya kuwaondoa mapema ni madogo zaidi ya yatakayotokea ikiwa wataruhusiwa wazame kwenye kinyanganyiro.
  Heche pole, mchange poleni.
  Kwani heche akitangazwa mshindi lazima mgawanyiko wa vijana utakuwa mkubwa kwa jinsi wasivyompenda na majungu yake na anajitangaza kuwa yeye ni chaguo la mbowe.
  Mchange kosa lake kubwa ni bango la udini alilolibeba, hata akitangazwa bado hatapata ushirikiano mzuri, kwani akina grace wanakinyongo nae na ninajua tu makundi yatadumu
  heche amesikika akitamba kuwa wagombea watakatwa ili wasimpunguzie kura za tanga na arusha, hapa sijui arusha anatishwa na sa8 tanga anatishwa na kisandu.
  Hawa sio viongozi she...zi zao;. Watatuharibia chama.
   
 2. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Mimi ni mwanachama wa CCM,ila dada unachemsha!!....just let it go,it's gonna be alright.
   
 3. k

  kilombero yetu JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,007
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wewe unaeamini cdm nichama chakisiasa kwa maendeleo ya watu,zindukaaaaaaaaaa shauri yako achana na kampuni ya mbowe
   
 4. k

  kilombero yetu JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,007
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Bibi unajua mada,,,,,,?acha kuropoka
   
 5. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Total schlock!:suspicious:
   
 6. M

  Mbwazoba Member

  #6
  May 19, 2011
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!mwaka huuu!!!!!
   
 7. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  DOgo acha kutuharibia chama, hivi wewe unadhani Chadema ni wajinga kiasi hicho? kwa siasa za leo tunahitaji mtu kama heche, kukosekana kwake tu kulisababisha tukakosa jimbo la tarime, bila heche mnyika angeporwa ushindi na bila heche mbowe alikuwa na tabu sana hai, sasa mtu aliyeonyesha juhudi kubwa kama hiyo kwa nini tusimpe uenyekiti Tiafa bavicha
  Kinachokusumbua wewe ni wivu tena wa kike kama siyo wa ki barmaid , wewe wote tunajuwa kila unachoanzisha humu ni juu ya heche na mchange wagombea wako wengi, kuna mwampmba, kuna silinde na wewe mwenyewe au unataka tukutaje jina......., tunakuhifadhi for future use , ila nakuapia kwa jina la yesu aliye hai ukirudia kuleta huu ujinga humu nakulipua haki ya nani?
  acha siasa za kijinga this is a new generation hatudanganywi na ujinga , muulize mwenzio wa magamba
  acheni maji taka CDM siyo NCCR mageuzi au CCM, nasikia umeapa ukishindwa bavicha unahamia TLP, go for good kwanza huna mvuto
   
 8. Nyami2010

  Nyami2010 JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kama ni haya: bora CCM kuliko CHADEMA. Au kutokuwa na chama kabisaaaaaaaaaaaaa na nikaendelea na kilimo changu cha mpunga Ifakara!
   
 9. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Usikimbie mawimbi, pambana nayo utavuka salama, vinginevyo utaendelea kunyanyaswa na mafisadi kwa kupewa bei ndogo ya mpunga mpaka ukome!
   
 10. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Mweeee muda muafaka wa viongozi wa jf kuanzisha subforum ya taarabu .Naona comment zingine zimekaaa kimipasho mipasho
   
 11. g

  gnm Member

  #11
  May 19, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  yap yap hii ndio demokrasia tunayoitaka kumbuka miaka 10 tu ya nyuma watu waliweza kufanya ya sasa then nafikiri huu ni mwelekeo mzuri ili viongozi wanaokuja waweze kuwajibika kwa waliwaweka.
   
 12. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 180
  Mkuu maneno mazito sana haya. Huyu Jikedume sijui si kajiunga leo sasa hizo kila post zinatoka wapi? Au amekuja kwa jina lingine kama Malaria Sugu?
   
 13. J

  JikeDume Member

  #13
  May 19, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  zaidi sana nitakusaidia kanda za mzee yusufu, ili ujifunze taarabu oohoooo!!!!!!!!!, elezea heche alivyomsaidia mnyika kutoporwa ubunge, au ndo mlivyojipanga kuwadanganya watu, kule hai nitakubali kuwa alipeleka watu wa tarime ohohhhooo!!!
  hebu nilipue nikuone, maana watu msiojua kujenga hoja, au ww ni mchange/heche...haya endelea tu na unafiki wako.
  yaani mimi siwezi kukuwanga mkono wassss.......zi, kama ww
  unaleta ushuzi wako hapa.
  kavue mashati na upigane huko.
  nani kakudnganya mm ni mgombea,umesikia mgombea wa kike mwenyekti
   
 14. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  I support SILINDE if he is there. Huyo ndiye mashine ya kutupeleka mbele BAVICHA.
   
 15. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #15
  May 19, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Huu ndio ukweli wenyewe CHADEMA si chama kilichotoka mbinguni kama wenyewe mnavyotaka watu waelewe. Siasa ni biashara ya wanasiasa hivyo yalioko CCM yako pia CDM, CUF na vyengine. Isipokuwa kila chama kina wakati wake wa kuadhirika!
   
 16. F

  Froida JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Duh umejiandikisha leo kwenye jamvi kuja kutpa upupu ngojeeni basi muone mwisho wa uchaguzi ndio muje museme
   
 17. J

  JikeDume Member

  #17
  May 19, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sijui wewe ni nani hasa usiyejua maana ya taarifa na tahadhari..............naona upungufu uliokichwani mwako ndo unakusumbua.....ushamba wako wa teknologia ndo unakuhangaisha, na bila shaka ww umeijua intaneti hapa jf, yani unadhani ww kuwahi kujiunga kabla yangu ndo sababu ya ww kujua chochote zaidi yangu..? kweli ushamba huu wa mitandao, nadhani hata fb huijui ww ulijiunga kwa ajili ya ushabiki tu waa siasa,...kama ww ni dada mwenzangu basi jiandae kwa ndoa za kuachika na kama n mkaka basi jiweke tobo pale komakoma wapige kiboger...mm naongea mambo kwa ajili ya chama chetu ww unaleta ushabiki, hebu kama una jeuri ni pm kwa jina lako halisi ili nami nikwambie n nani, ili tuje tuonane uso kwa uso.
   
Loading...