Baba Clara
Member
- May 10, 2011
- 94
- 27
sina maana ya kumchafua kisandu kama mnavyofikiri ikiwezekana ajitokeze kama anachafuliwa
we si umetumwa thats why mnafanana joining date lakini wewe ushafikisha posts 45,unawazidi hata wakongwe. kirusi mwenyewe bana.
</p>WAKATI WENGINE WANATUPIANA MADONGO UCHAGUZI WA BAVICHA <b><font size="3">Deogratius Kisandu</font></b> NDO MGOMBEA PEKEE WA NAFASI YA MWENYEKITI ANAYESTAHILI KUTUNUKIWA NAFASI HIYO KWANI HANA SKENDO KABISA ...........HUYU NDO WA KWELI...........mimi mpiganaji toka MTWARA
WAKATI WENGINE WANATUPIANA MADONGO UCHAGUZI WA BAVICHA Deogratius Kisandu NDO MGOMBEA PEKEE WA NAFASI YA MWENYEKITI ANAYESTAHILI KUTUNUKIWA NAFASI HIYO KWANI HANA SKENDO KABISA ...........HUYU NDO WA KWELI...........mimi mpiganaji toka MTWARA
Jamani hebu watu wawe makini.Mambo mengine yanachekesha na kuudhi at the same time
Mtu anamtumia Zitto ili kupata attention.Hawa attention seekers huku JF ni tatizo.Inawezekana si Mgombea ila kuna mtu anataka kumchafua huyo mgombea.Kuna mambo mengi sana huku JF
As for you Baba Clara,There is nothing logical in what you have posted so far. To yourself perhaps you make sense but, seriously, nothing logical in your post
Lakini tukumbuke kuwa kampeni hazijaruhusiwa bado.Let us be Objective .People are funny sha
jf inaonekana kuwa ya watu fulani kisandu anasahauliwa namuwasilisha kwenu mgombea wa nafasi ya mwenyekiti bavicha kijana deogratius kisandu.........
Mkuu wewe ni mgombea pia. Ukiongea hapa inaonekana kama vile na wewe umeanza kampeni vile...Usikute wewe ndo baba clara. Ni mawazo tu.

Mkeshaji,
Mimi najiamini.Sina ID mbili na sitawahi kuwa nazo.ID yangu ni hii tangu mwaka 2007.Mods kama nina ID mbili naomba mniumbue hadharani
Halafu naomba unitake radhi,I cant be low kiasi hiki katika kuanzisha thread za kijinga kama hizi.Pia nipo concerned na kampeni za kuchafuana kama hizi kwa sababu mimi nataka tufanye kampeni safi.Sijawahi kumchafua na sitawahi kumchafua mgombea yeyote katika kampeni.Naiweka hii very clear kwamba hata mgombea mwenzangu nikiona anachafuliwa basi moja kwa moja itanihusu na nitakemea hilo.
Hizi ni siasa za kizazi kipya.Nataka tukachukue dola tukiwa United.Pia,nimekusamehe bure kwa hizo speculation ulizofanya lakini kwa kuwa mimi ni mzoefu wa JF kwa miaka Mitano hainipi Shida.
Thanks for your concern though!
wakati wengine wanatupiana madongo uchaguzi wa bavicha deogratius kisandu ndo mgombea pekee wa nafasi ya mwenyekiti anayestahili kutunukiwa nafasi hiyo kwani hana skendo kabisa ...........huyu ndo wa kweli...........mimi mpiganaji toka mtwara
Huyu mkuu siyo wa kumwamini sana kwani anaonekana anakiherehere sana.
WAKATI WENGINE WANATUPIANA MADONGO UCHAGUZI WA BAVICHA Deogratius Kisandu NDO MGOMBEA PEKEE WA NAFASI YA MWENYEKITI ANAYESTAHILI KUTUNUKIWA NAFASI HIYO KWANI HANA SKENDO KABISA ...........HUYU NDO WA KWELI...........mimi mpiganaji toka MTWARA
Bado unaendelea tu, nilishakushauri mkuu lakini naona sasa hii ni tabia yako. Kweli tabia huwa haibadiliki kabisa.