Recent content by Mbwayuwayu

  1. M

    Guest/hotel salama kwa wezi wa wake/waume za watu Dsm

    Kuna kiboko yao KILIMANJARO PARK SINZA MAKABURINI ni bar ya gorofa1,ukiingia bar unaenda chooni ni karibu na mapokezi unnajifannya unaenda kujisaidia unalipa kisha unapanda ngazi ya ghorofa kama unaenda bar ya ukumbini juu unapotelea hapo kati unazama chumbani kuna kila kitu na unaagiza kila...
  2. M

    Nampongeza Mbowe kwa kuwa na wafuasi watiifu wasiosikia wala kuona madhambi yake

    Chadema mbele kwa maendeleoo na sio ccm (chukua chako mapema) mpaka leo miaka 52 ya babu yangu hatuna kiwanda cha sindano au stick za meno, umeme mgao kila mara mafisadi kibao ww huoni bado umo tuu nawe mbulula usiye vaa viatu:(:d
  3. M

    Nape Amponda Mbatia Kwa Kusahau Alizawadia Ubunge

    Anataka akae kimya kwakua alimpa ubunge hii nchi ni ya babake Kikwete! Aache upuuzi asiyejua ni mlemavu wa mawazo kama yeye Nape ina maana ampe rushwa ya kuchaguliwa au? Nape huna Elimu yoyote na huenda vyeti vya kuongoza ccm umefoji kama kawa yenu imekula kwako huyu ni mpinzani anajua anachosema
  4. M

    Kesi ya Lema: Nipo tayari kufukuzwa kazini lakini lazima niende mahakamani leo!

    Ukipata update hapa nasi tupate habari namna kesi inaendelea ndg yetu
  5. M

    Kashfa ya ngono UDOM - Dodoma

    UDOM Wanauza kweli hao hapo Chako ni chako wanakatiza wakitafuta zaidi ya jero sasa wanaona soo wanaitaja UDSM kwan ndo wamesema? mmeonekana mnaliuza jero na wanaosema wameokoka na maustadh ndo wauzaji wazuri huku wakijificha na dini mchana usiku wanaegesha kwa jero, aibu ukipita ukisema umesoma...
  6. M

    CRDB wakataa fedha za mteja!

    ipo kila form za benki maana ni sheria hupewi leseni bila hiyo.
  7. M

    CRDB wakataa fedha za mteja!

    Bank yoyote tanzania hairuhusiwi kukataa pesa zozote hata sarafu ya sh. 10 lazima wapokee na bank yoyote ikikataa kupokea hela labda iwe imeharibika inatakiwa kufutiwa leseni mhusika apeleke lalamiko hilo kama lipo kwa waziri wa fedha, na pesa ikiwa mbovu ipelekwe bot.
  8. M

    Chadema wagomea mwaliko wa Tendwa

    Kamwaga ugali na ss tumemwaga mboga wote tulale njaa huyo kada anatafuta pa kujikosha ndni ya ccm hatumbembelez mjinga dwa aishitiwe!
  9. M

    Unga wa dengu

    ukitaka kutoa chunisi usoni naomba unitafute ktk face book kwa jina la imma kullaya ntakupa njia na utafurahi
  10. M

    Natafuta mwanaume wa kuzaa na ikiwezekana kuishi naye

    MM NINA MIAKA 31 JE UKO TAYARI KUZAA NA MIMI MANA NAM NAMTAKA MTOTO PIA CJAOA KAMA UKO OK NIANDIKIE. Wa Kinondoni.
  11. M

    Zitto amkaribisha Kafulila CHADEMA

    Kama mm naona chadema wakutane atakapotaka kurudi wamjadil pia asimame tena ktk nafasi yake agombee atapita cuz ana sera nzuri sema alisalit2
  12. M

    Zitto amkaribisha Kafulila CHADEMA

    Alisaliti cdm anaweza akawa tena sumu mbaya labda masharti na vigezo vizingatiwe.
  13. M

    'Tangu lini CCM ikawa msemaji wa vyama vingne?'-ZITTO

    Wamezoea kutuburuza nw Cdm 2na nguvu ya uma wao wana ngvu ya madaraka,pia msisahau vyama vingne vimekua kama matawi ya ccm kujishikiza kama bi mdogo cuf, ss vidume tumetaka kuonana na presdaa msemaji wa ccm umetoka wap kuja kusemea upinzan au ndo umbeya 2kupe maji na bakul?
  14. M

    Uko tayari kuoa au kuolewa lini?

    namtafuta wa kuoa mwenye tabia nzuri awe white na figa no8
Back
Top Bottom