Nampongeza Mbowe kwa kuwa na wafuasi watiifu wasiosikia wala kuona madhambi yake

Status
Not open for further replies.
Here we go again...

Lukosi wewe mmbea sana,njoo Kalenga umkashifu Mbowe,mbegu uliyo ipanda ya chadema imestawi sana,ROMA AMEIVA,GAMARIO USISEME.WATU WENGI WA KALENGA NILIPO WAAMBIA KUWA UMERUDI CCM HAWAKUAMINI,NJOO UWAFAHAMISHE,JF HAWATUMII.
 
Vijana wa Bavicha wanachokatiwa kufanya ni kuunga mkono tu maamuzi ya Mbowe na Mtei.

Wakijifanya nao wana opinions zao wanapata this response:

View attachment 127769
kwani kwa uvccm kupoje? Ukitaka ufukuzwe uvccm au ccm kama mbwa basi tofautiana na riz 1 au jk. Kama hutaki kuamini muulize Hussein bashe analijua hili vizuri, aliambiwa sio raia na akazuiawa kugombea ubunge nzega na nafasi kupewa mshindi wa tatu badala ya wapili. Kweli nyani haoni kundule...
 
Kiongozi yeyote lazima awe na wafuasi, kama unataka kugombea uongozi lakini huna wafuasi wa kukuunga mkono kamwe usigombee!, zinazoitwa kashafa kwa mbowe ni za kuunga unga tu, suala la mbowe kuwa na mahusiana na mbunge mwingine sio issue kwa watanzania, hiyo ni personal issues, yule mbunge(joyce) sio mtoto mdogo kama ilivyo kwa kapuya, kwa hiyo ana uhuru ma kuamua atakavyo, kama aliambiwa aende dubai, na akaenda wa kulaumiwa sio mbowe, aulizwe yeye! Kama ni suala la mahusiano miongoni mwa wabunge yako mengi tu, tukisema tuyafuatilie tutakuwa tunaingilia mambo yao binafsi, mifano ni kama ifuatayo, inasadikika kuna mahusiano ya kimapenzi kati ya waheshimiwa wafuatao, Anne kilango&kaghasheki, kaghashekh&kabati, vick kamata&...., nk. Watanzania tudeal na masuala na vitu na sio watu!
 
Chris lukosi wewe ni muongo mbeya na mzandiki....kuhusu swala la zito kuvuliwa nyadhifa zote za uongozi ndani ya chadema halihusiani na ukaguzi wa pesa za chama...acha kupotosha jamii.... zito amekuwa akitumiwa na magamba aka mizigo...kuihujumu chadema na wamempatia pesa nyingi sana kwa kuihujumu chadema bila mafanikio...kwa hiyo acha upotoshaji...

Haya sasa turudi kwenye swala la rambi rambi za Mrs mwangosi ulizoiba..Jee utarudisha lini pesa za laana ulizoiba???? HILI SWALA LA KULA RAMBI RAMBI ZA MRS MWANGOSI LIMEKUJENGEA VeRY BAD REPUTATION. HATA ITOKEE UGOMBEE UBUNGE WA IRINGA MJINO KAMA UNAVYO OTA NDOTO ZA MCHANA KWEUPEE HUPATI KITU .Laana ya mwangosi inakutafuna tuuu

JITAMBUWE MZEE WA MIKOSI WEWE
 
Chadema mbele kwa maendeleoo na sio ccm (chukua chako mapema) mpaka leo miaka 52 ya babu yangu hatuna kiwanda cha sindano au stick za meno, umeme mgao kila mara mafisadi kibao ww huoni bado umo tuu nawe mbulula usiye vaa viatu:(:d
 
Unakosea kusema mbowe ana wafuasi sema Chadema ina wanachama waaminifu wanaohitaji mabadiliko sio uongo uongo, tambua kuwa nje ya Chadema mbowe au slaa ama kiongozi yeyote hana wanachama labda wafanyakazi wake binafsi Tatizo lenu ccm mnadhani mtu binafsi ni Sawa na chama. Hicho ndicho kinawatesa wengi na mnageuza wanachama wenu kama wafanyakazi wenu wa kuhongwa kanga wali ama fedha Kiduchu ili mpate uongozi yana mwisho wake hayo.. na umekaribia sana mtajuta ikifika wakati huo..
 
Ndugu zanguni,

Juzi hapa jamvini sote tuliona live mwenyekiti wa Chadema mbowe jinsi alivyochanwa live kwa kutumia nafasi yake ya uongozi wa upinzani bungeni KUB kwa kuamuru mbunge wa viti maalum akatize ziara ya kikazi na kumfuata Dubai wajiachie

Sio hilo tu, pia tumeona jinsi walivyochukia mpaka kumvua uongozi zitto kisa eti kasema mahesabu ya chama yachunguzwe

Bila kusahau pale alipokiuzia chama mafuso chakavu kwa bei mbaya sana

Hii ni baadhi tu ya mtiririko wa matukio ya kihuni yanayofanywa na mwenyekiti Mbowe lakini wafuasi wake wambao ni kama vile walikula kiapo cha utii na uaminifu, wakiongozwa na mbeba sumu Ben Saanane wamekuwa wakimtetea na kuporomosha matusi mazito hapa jukwaani wakipinga kila kitu bila aibu

Hii imenifanya nikubali kuwa Mbowe ana ushawishi mkubwa kwa wanachama wake kiasi kwamba hata akitapika watasema kacheua tu

Zamani nilidhani wako kwenye msukule mode, lakini sasa nimeamini kuwa ni watiifu kwa kiongozi wao kimaslahi zaidi

Hongera sana KUB

JITAMBUE!

1005036_647202285321012_1494450703_n.jpg

MORE MONEY MORE TROUBLE, URITHI, ZA MKWE, RUZUKU,SABODO, MICHANGO YA WANANCHI, M4C... BALAA TUPU!

Huna hoja zaidi ya unafiki
 
lakini kuna mambo sometimes ukitumia ubongo wako unaweza ng'amua wala haihitaji degree utajua tuna viongozi wa namna gani "walioko madarakani hatuwataki na tunaowataka hatuwaamini"
 
Unakosea kusema mbowe ana wafuasi sema Chadema ina wanachama waaminifu wanaohitaji mabadiliko sio uongo uongo, tambua kuwa nje ya Chadema mbowe au slaa ama kiongozi yeyote hana wanachama labda wafanyakazi wake binafsi Tatizo lenu ccm mnadhani mtu binafsi ni Sawa na chama. Hicho ndicho kinawatesa wengi na mnageuza wanachama wenu kama wafanyakazi wenu wa kuhongwa kanga wali ama fedha Kiduchu ili mpate uongozi yana mwisho wake hayo.. na umekaribia sana mtajuta ikifika wakati huo..

Hapo unamaanisha ni Ben Saanane na Yericko Nyerere.
 
Last edited by a moderator:
mkuu Chris Lukosi
kamanda Ben Saanane hana ajira ya kueleweka mjini ni mbangaizaji tu; lazima alambe mbwa ------ ili aendelee kuishi mjini; kisomo chenyewe cha kihindi tena chuo cha uchochoroni yaani ni afadhali angesoma VETA hivi sasa angekuwa na shughuli ya kueleweka; hivi kwa akili zile kama tungempa ajira wizara ya mambo nchi za nje ni wazi Tanzania tungekuwa vitani siuji kama asingesoma kabisa angekuwa ni binadamu wa aina gani!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zanguni,

Juzi hapa jamvini sote tuliona live mwenyekiti wa Chadema mbowe jinsi alivyochanwa live kwa kutumia nafasi yake ya uongozi wa upinzani bungeni KUB kwa kuamuru mbunge wa viti maalum akatize ziara ya kikazi na kumfuata Dubai wajiachie

Sio hilo tu, pia tumeona jinsi walivyochukia mpaka kumvua uongozi zitto kisa eti kasema mahesabu ya chama yachunguzwe

Bila kusahau pale alipokiuzia chama mafuso chakavu kwa bei mbaya sana

Hii ni baadhi tu ya mtiririko wa matukio ya kihuni yanayofanywa na mwenyekiti Mbowe lakini wafuasi wake wambao ni kama vile walikula kiapo cha utii na uaminifu, wakiongozwa na mbeba sumu Ben Saanane wamekuwa wakimtetea na kuporomosha matusi mazito hapa jukwaani wakipinga kila kitu bila aibu

Hii imenifanya nikubali kuwa Mbowe ana ushawishi mkubwa kwa wanachama wake kiasi kwamba hata akitapika watasema kacheua tu

Zamani nilidhani wako kwenye msukule mode, lakini sasa nimeamini kuwa ni watiifu kwa kiongozi wao kimaslahi zaidi

Hongera sana KUB

JITAMBUE!

1005036_647202285321012_1494450703_n.jpg

MORE MONEY MORE TROUBLE, URITHI, ZA MKWE, RUZUKU,SABODO, MICHANGO YA WANANCHI, M4C... BALAA TUPU!

Another trash....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom