Tuendelee kuchunga kura hadi mwisho,tulianza na Mungu tumalize na Mungu. Ushindi ni baada ya kura kuhesabiwa na kujumlishwa. Tumkumbuke dicteta Stalin aliyesema'mpigakura hana kauli ya mwisho ila mhesabu kura'.Tulinde kura zetu, magamba ni wataalamu wa kuchachua!
Hata kama magamba mtakulanyasi, chopa itaendelea kuzungukia vituo,kama hamtaki u can go to hell! gharama za chopa ni vijisent tu! acheni uvivu wa kufikiri! wivu wa kike huu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.