hali tete Arumeru

Polisi wanaanza kutumika ni wajinga sana hao; they are the losers. Wataua watu kwa sababu ya kutaka kumpitisha mbunge ambaye wananchi wamekataa kumchagua hii ni dhambi kubwa.
 
Hawo mafisadi wanataka chakachua inakuaje hvyo mboba arusha mjin yalitokasaa moja jion 2 !!?
 
meona magari yameka huko mwezi mzima bila kazi sasa wameona wayatumie ili yasirudi bila kuharibu
 
mabomu ya machozi yanarindima.
Magari ya polisi yanarusha maji washa wananchi wanalala chini lakini hawaondoki.polisi wanaelekeza mabomu kwa wananchi.
Wasimamizi/mawakala wa chadema wapigwa mabomu.
Kuna mwanaccm amekamatwa ndani ya chumba cha kujumlishia matokeo akijaribu kuchakachua matokeo!
Mpaka sasa matokeo ya kata saba yamefika ingawa msimamizi amekataa kutoa matokeo.
NASARRI ameenda kuwatafuta mawakala wake.

jamanieeeeee! wizi umeanza! masako aache ukada!
 
Mara nyingi mkapa akishiriki kampeni lazima wapigwe chini, nakumbuka enzi za mtiro na mrema alisema anakwenda ziara ya kikazi nje ya nchi akirudi anategemea kuja kupokewa na sisco eapoti matokeo yakawa kinyume na mzee wa kiraracha akachukua temeke, hivyo binafsi sishangai kwa haya matokeo.
 
Polisi wanaanza kutumika ni wajinga sana hao; they are the losers. Wataua watu kwa sababu ya kutaka kumpitisha mbunge ambaye wananchi wamekataa kumchagua hii ni dhambi kubwa.
mkuu kwa mujibu wa Radio Sunrise ni kwamba kulikuwa na watu wamejikusanya kwenye eneo la kujumlishia kura ikawa gari ya kamanda Mngulu inapita basi watu wakanza kuirushia mawe na kuivunja vioo na kuiharibu. Hiyo ikasababisha polisi kutumia mabomu kuwatawanya watu hao. Kwa mujibu wa mtangazaji wa radio hiyo kuna mama mmoja ameparurwa na bomu la machozi amekimbizwa hospitali.
 
hawa jamaa si walisema kuwa watakuwa na computer 8 ili kuwaisha matokeo mapema sana? sasa mabomu ya nini tena, hapa ndipo Polisi wanapotumika vibaya kulinda maslahi ya Chama cha magamba. Nia yao watu waogope wakimbie ili wachakachue. Safari hiii wajue kuwa haitakuwa kama Igunga, wamtangaze tu Nassariwasion aibu NEC
 
1.
Kituo cha Shule ya Msingi Misufini, Kata ya Mbuguni

misufini "A1"CHADEMA 209, CCM 52

misufini "A2" CHADEMA 195, CCM 40

misufini "A3" CHADEMA 208, CCM 45

Makiba Majengo 02, CCM 87, CHADEMA 93,

Ofisi ya Kata Majengo (Makiba) 04, CHADEMA 75, CCM 88, DP 2 jumla 166, iliyoharibika 1.

Kituo cha Shule ya Msingi Ambureni O2, DP 1, AFP 1, CCM 47, CHADEMA 194,

Usa River Shule ya Msingi CHADEMA 111, CCM 37

Enguseni a CHADEMA 114 CCM 62

Leganga CHADEMA 142 CCM 26

Magadirisho1 - CHADEMA 116 CCM 37

Magadirisho2 - CHADEMA 111 ccm 37

s/m leganga - CHADEMA 142 CCM 26

Majiachai A,B,C,D,E CHADEMA 573, CCM 276

Kituo kingine Makiba, CHADEMA 23, CCM 95,

Ofisi ya Kata Makiba CCM 107, CHADEMA 127,

Shule ya Msingi Miembeni namba 01, CCM 103, CHADEMA 96

Kikatiti CHADEMA 104 CCM 62

Tengeru chuoni CHADEMA 114, CCM 24

Tengeru hospt CHADEMA 220, CCM 40

Kikuleto ofisini CHADEMA 104, CCM 84

Makumira A = CHADEMA 118, CCM 42

Makumira B - CHADEMA 100, CCM 42

Makumira C - CHADEMA 92, CCM 50

Makumira D - CHADEMA 68, CCM 40

Ngaresero CHADEMA 116 CCM 51

kisambale "1" CHADEMA 110 CCM 63

kisambale "2" CHADEMA 113, CCM 56


s/m mazoezi(patandi) "1" 120 49


'' '' "2" 128 50

" " "3" 127 50

" " "4" 124 45

Mjimwema A CCM 51 CHADEMA 144

Mji mwema B CCM 33 CHADEMA 141

CHADEMA CCM 35 CHADEMA 125

makunga tym leguruki

Ofisi ya Kata CCM 160 CHADEMA 78

Ofisi ya maruango A CCM 72 CHADEMA 121

Ofisiya Maruango B CCM 63 CHADEMA 120

Ofisi ya Maruango C CCM 80 CHADEMA 106



shiston shule ya amsingi kituo A CCM 100 CHADEMA 59

Shiston shule ya msingi Kituo B CCM 88 CHADEMA 55

Shiston shule ya msingi Kituo C, CCM 79 CHADEMA 44

ofis ya kijiji A CCM 128 CHADEMA 82

kituo mirirm s/m A CCM 105 CHADEMA 58

Kituo mirim s/m B CCM 101 CHADEMA 57

Sinai s/m CCM A 94 CHADEMA 30

Sinai S/M B CCM 188 CHADEMA 96

KWANDUA A - CDM 192 CCM 60, B- CDM 166 CCM 56

0FISI YA KIJIJI MBASENI CCM 58 CDM 84

MWIBARO- - CCM 34 CDM 125

0FISI YA KITUO NGARESANBO CCM 140 CDM 163

KIKWE A- CDM 142 CCM 104 B- CDM 109 CCM 109

MSITU WA TEMBO A CCM 76 CDM 80, B CCM 87 CDM 98

SHULE YA MSINGI MIGUNDANI A CCM 52 CDM 106,

SHULE YA MSINGI MIGUNDANI B-CDM 183 CCM 101

SHULE YA MSINGI NASURA A-CDM 79 CCM 79,

SHULE YA MSINGI NASURA B-CCM 74 CDM 91

MORIVE CCM 28 CDM 128

KISANDA A- CCM 55 CDM 11



Adjusted report:

NO
VITUO
CDM
CCM
1
Chama
192
60
2
Elimu
101
46
3
Embaseni A
104
52
4
Enguseni A
114
62
5
Kata ya Akeri A
192
90
6
Kata ya Akeri B
196
56
7
Kikatiti
104
62
8
Kikuleto Ofisini
104
84
9
Kisalambe 1
110
63
10
Kisalambe 2
113
56
11
Kisambare A
110
63
12
Kisambare B
53
113
13
Kwalisamba
113
140
14
Leganga A
146
20
15
Leganga B
131
27
16
Magadirisho 1
116
37
17
Magadirisho 2
111
37
18
Maji ya Chai A
130
53
19
Maji ya Chai B
105
68
20
Maji ya Chai C
115
42
21
Maji ya Chai D
118
53
22
Maji ya Chai E
105
60
23
Makiba
23
95
24
Makiba Majengo 02
93
87
25
Makumira A
118
42
26
Makumira B
100
42
27
Makumira C
92
50
28
Makumira D
68
40
29
Mawenzi
88
100
30
Mbaseli
84
58
31
Mbuguni
132
72
32
Misufini A1
209
52
33
Misufini A2
195
40
34
Misufini A3
208
45
35
Mjimwema 4
126
37
36
Mjimwema A
144
51
37
Mjimwema B
141
33
38
Mjimwema C
125
35
39
Mwarua
146
34
40
Mwibaru
123
87
41
Ngarasero
116
51
42
Ngaresamvu
163
140
43
Nguruma
94
88
44
Nshatu 3
110
74
45
Ofisi ya Kata Majengo (Makiba)
75
88
46
Ofisi ya Kata Makiba
95
23
47
Ofisi ya Kijiji A
82
128
48
Ofisi ya maruango A
121
72
49
Ofisi ya maruango B
120
63
50
Ofisi ya Maruango C
106
80
51
S/M Magadilisho A
116
37
52
S/M Magadilisho B
111
34
53
S/M Mazoezi 1
120
49
54
S/M Mazoezi 2
158
50
55
S/M Mazoezi 3
127
20
56
S/M Mazoezi 4
124
45
57
S/M Miembeni 1
103
96
58
S/M Shitonye A
59
100
59
S/M Shitonye B
55
88
60
S/M Shitonye C
44
79
61
shule msingi Misufini
132
72
62
Shule ya Msingi Ambureni 02
194
47
63
Shule ya Msingi leganga
142
26
64
Sinai
30
94
65
Sing'isi 1
209
52
66
Sing'isi 2
195
40
67
Sing'isi 3
208
45
68
Tengeru Chuoni
114
24
69
Tengeru Hospitali
220
40
70
Urafiki
56
28
71
Usa River A
142
26
72
USA River Shule ya Msingi
111
37
73
USA River Sokoni 1
103
29
74
USA River Sokoni 2
88
41
75
Ushirika 2
166
59
TOTAL
9,107
4,409


kituo cha nshapu 3 kata ya nkoaranga...Chadema 110,ccm 74
Kituo cha ngarasero A4..chadema 116, ccm 51
Kituo AFP - CHADEMA - 141 CCM - 32 Mbovu
Kituo cha Shule ya Msingi Misufini, Kata ya Mbuguni CDM 132 CCM 72,
Makiba Majengo 02, CHADEMA 93 CCM 87, ,
Ofisi ya Kata Majengo (Makiba) 04, CHADEMA 75, CCM 88, DP 2
MJI MWEMA KUNA VITUO VINNE A-CCM 51 CDM 144, B-CDM 141 CCM 3, C-CDM 125 CCM 35, D-CDM 126 CCM 37
MAJI YA CHAI VITUO 5> A- CCM 53 CDM 130, B- CCM 68 CDM 105, C-CCM 42 CDM 115, D- CCM 58 CDM 118 E- CDM 105 CCM 60,
USA RIVER CCM 32 CDM 110
Atandi kata ya Akeri.A- CCM 49 CDM 120, B CCM 50 CDM 128, C-CCM 50 CDM 127, D- CCM 45 CDM 124

LEGANGA- CDM 142 CCM 26
MAKUMIRA VITUO 4- A-CDM 118 CCM 42, B-CDM 100 CCM 42, C- CDM 92 CCM 50, D- CDM 98 CCM 40
KIJIJI NGURUMA CDM 94 CCM 68
KWANDUA A- CDM 192 CCM 60, B- CDM 166 CCM 56
0FISI YA KIJIJI MBASENI CCM 58 CDM 84
MWIBARO- - CCM 34 CDM 125
0FISI YA KITUO NGARESANBO CCM 140 CDM 163
Magadirisho1 - CDM 116 CCM 37 B - CDM 111 CCM 37
MARUANGO A -CCM 72 CDM 121, B- CDM 120 CCM 63, C- CDM 160 CCM 80
KIKWE A- CDM 142 CCM 104 B- CDM 109 CCM 109
MSITU WA TEMBO A CCM 76 CDM 80, B CCM 87 CDM 98
SHULE YA MSINGI MIGUNDANI A CCM 52 CDM 106, B-CDM 183 CCM 101
SHULE YA MSINGI NASURA A-CDM 79 CCM 79, B-CCM 74 CDM 91
MORIVE CCM 28 CDM 128
KISANDA A- CCM 55 CDM 118
 
Niko Arumeru hapa ni mabomu kwa raia wasio na hatia... Raia wanangoja matokeo polisi wanarusha mabomu.... Kaaaaz kwel kwel...
 
Kwani Chadema si wana mawakala kwenye kila kituo? Kuna haja gani wanachama kukaa tena vituoni? Au na mawakala wanaweza kuchakachua?
 
I suggest in the future mbunge akifariki basi chama chake kiweke mtu. Hizi chaguzi za kila mwaka hazina mpango. Ma hospitali hayana madawa sisi bize na chaguzi ndogo!
 
Kaeni macho huko. hapa ubungo mnyika hakulala wiki nzima wakati ule wa uchaguzi. muwe macho wakuu.
 
Wana Arumeru leo hakuna kulala mpaka watutangazie matokeo yetu!
 
msimamizi wa uchaguzi Bw. Kagenzi akihojiwa redio one/itv akiri matokeo yaweza kutangazwa asubuhi
 
Back
Top Bottom