What Does It Mean "The Professional" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

What Does It Mean "The Professional"

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Silicon Valley, Mar 10, 2012.

 1. S

  Silicon Valley JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 554
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 60
  Hi, Members kindly assist me to know the exactly professional of my friend as he has got the following Qualifications;

  1. Diploma in Electronic Engineering.
  2. Bachelar of Commerce in Finance(B.com,fin)
  3. Master of Business Administration (MBA)
  4. Post Graduate Diploma in Entrepreneurship and Enterprise Development (PGDEED)
  5. He is doing Business more than 10 yrs.

  So what is his profession as per that qualifications ? ? ?
   
 2. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  He is a technician electronic engineer (kwa diploma yake ya kwanza)
  He is a finance specialist with expertise in administration and entrepreneurship (kwa shahada yake ya kwanza ya finance and MBA pamoja na PGD).

  Kama unazungumzia taaluma, shahada ya kwanza ndio inampa mtu taaluma, shahada ya pili ni ya kuongeza ujuzi katika mambo mengine zaidi, yanaweza yakahusiana na taaluma husika aliyosoma shahada ya kwanza au isiwe hivyo, mfano ni hiyo ya MBA na PGD. Diploma ya electronic engineering pia inampa taaluma husika katika ngazi ya fundi mchundo.
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Just looking into without knowing his experience, he is more into Finance and Business Expert rather than his electronics Engg.
   
 4. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,515
  Likes Received: 5,650
  Trophy Points: 280
  Mkuu Professional lazima jamii iikubali huduma ya taaluma hiyo kama huduma muhimu na lazima iwe na sheria zinazotambulika rasmi kuiongoza maana misuse ya taaluma hiyo inaweza kuleta adhari ktk jamii! Lazima kuwe na mfumo unaokubalika kutoa Qualifications za hiyo taaluma.ndio maana Professionals ni kwa taaluma zifuatazo,Udaktari,Lawyers,Accountants,mainginia n.k hivyo kwa taaluma nilizotaja lazima utambuliwe na Professional board baada ya kufaulu mitihani ya taaluma hiyo na ukishapata experience ya muda fulani unasajiliwa rasmi.ukiwa professional lazima uishi kwa miiko fulani maisha yote ya professional yako mfano lazima kila mwaka uhudhurie Continue Professional Development (CPD) programs za masaa fulani ili uwe up todate na uendelee kuwa hai kiprofessional otherwise unaweza kufutiwa certificate of practice! Hivyo huyo jamaa hapo juu si professional bali ni Academician tu!
   
 5. d

  dav22 JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  he he he he he he he aisee huyu jamaa nouma anywe sio mbaya wanasema inabidi unakuwa multi-proffesional
   
 6. m

  mbwagison Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shahada yake ya kwanza ndo professional yake,mazagazaga mengine ni nyongeza tu! Angalizo hapa ni kwamba a jack of all is a master of none!
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Dooh unamaanisha hiyo Diploma, not necessary. haiwezi kumsaidia sana maana diploma ni ujuzi mdogo. For me I still believe is jack of trade in Business arena.
   
 8. S

  Speculator Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama biashara yake ni katika nyanja ya uinjinia ina maana amejiimarisha kwa kujiongezea ujuzi katika fani za biashara. Hizo degree no. 2 na 3 na diploma (no.4) ni katika maswala ya kibiashara. Ni mchanganyiko mzuri kwa mfanyabiashara/mjasiriamali.
   
 9. n

  nketi JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nasikia jamaa aliyekuwa anaitwa tuntemeke sanga alikuwa na degree saba....anayejua zilikuwa degree za nini hasa na professional yake in that case ilikuwa nini?
   
Loading...