Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 903
Una mahaba na CCM kama TBC1 na magamba mwisho wenu umekaribia.
Kaka mimi taanza kufunguka saa 12 jioni saizi uwanja wenu.
Una mahaba na CCM kama TBC1 na magamba mwisho wenu umekaribia.
Tuhabarishe zoezi lakupiga kura litahitimishwa sangapi!
Na Siku ya kupiga kura kampeni haziruhusiwi!!!Mkuu kuna jamaa mmoja amekaa karibu na kituo chakupigia kura Usa river anawatisha vijana kuwa wote walikipigia kura CDM watakiona cha motto!
Mytake:kura ni siri ya mtu na haki ya msingi hivi vitisho vinatoka wapi?
Komba Jr, endelea kutujuza kinachoendelea huko, Usultani una Mwisho! Leo tuone kipi cha kwanza katika hivi: kutooa au kusali?
endelea na moyo huo huo ndugu yangu, usikatishwe tamaa na hawa wafuasi wa magamba!
ukombozi wa tz ni lazima, tuanzie E Arumeru!
Inakuwaje mtu anatishia wapiga kura halafu anaachwa hivi hivi? Huo ni uvunjifu wa sheria. Ccm hii ya Kikwete wako tayari kuua au kuona wananchi wanakufa ili mradi wapate ushindi. Roho kama hiyo alikuwa nayo pia Iddi Amin Dada na Mobutu Sese Sseko hapa Afrika. CCM wameishafika huko kwa tamaa ya madaraka waliyonayo
endelea na moyo huo huo ndugu yangu, usikatishwe tamaa na hawa wafuasi wa magamba!
ukombozi wa tz ni lazima, tuanzie E Arumeru!
Hakuna kurudi nyuma kamanda tumetukanwa sana,tumedharauliwa sana, tumebezwa sana kisa ni Ubunge wa Arumeru mashariki
ni kweli mkuu wapo tayari kuua ili washinde ni wauaji hawa!
Hiki ni kituko cha mwaka, unagombea katika jimbo ambalo huwezi kujipigia kura!! Hapo nina uhakika hata wizi wa kura utaDONT ili kulinda heshima ya wana MeruKamanda Nassari ameshatimiza haki yake ya msingi kapiga kura katika kata ya songoro kijiji cha kilinga.wakati Sioyi akapiga yupo kura mbezi beach.
Kunya anye kuku bata kaharisha!