Recent content by mbung'i

  1. mbung'i

    Mimi na MB ndo basi tena, nimepata mkombozi

    Sie kitambo tulishaanza.
  2. mbung'i

    Rais wa Syria akimbomoa mwandishi wa Marekani

    Kiboko yao.Acha amchane tu coz America wanajionaga wao ndio kila kitu.Al Assad kamtolea jamaa nje na ripoti zake.Always they talk negatively abt Syria.Km ilivyo kwa Africa tu,vyombo vya Magharib vinatulenga kwenye negative tu as if hakunaga jema huku.Assad anajiamin!!!!!!
  3. mbung'i

    Kwanini Viongozi wa Upinzani hupenda kuandamania Mkoani Dar es Salaam badala ya kila mtu Mkoani kwake?

    Mikoani watu wako buzzy na majukumu mbalimbali ya kulijenga taifa.Hkn mwenye muda mchafu wa kuwafuata hawa wachumia tumbo.Kwa kifupi wanapuuzwa tu.Wana wanaowasikiliza huko dsm ndio sababu ya wao kuanzia huko kwa kila jambo.We trusted them bt they put us down.Wabunge wamekuwa busy kwenye...
  4. mbung'i

    Kakakuona anaitwaje kwa Kiingereza?

    Pangolin
  5. mbung'i

    Vijembe na maaskofu halafu ushinde vita sahau!

    Haya ya maaskofu.Hayakuanza leo hats wkt was kampen za uchaguz mkuu yalikuwapo mambo ya mwelekeo km huo.Nao ama wana interest zao au wanafulfil interest za kundi flan.Bt in reality wangekuwa na busara wangeomba kikao na mkuu na huko wangezungumzia hayo.Kulipuka tuu sio jibu la matatizo.Ikumbukwe...
  6. mbung'i

    Rais Magufuli kupokea magari 181 ya kusambazia dawa nchini

    Hili nalo la muhimu sana tu.Hongera sana Rais wangu.Endelea kuchapa kazi.
  7. mbung'i

    Why Western Media Focuses on Negative Coverage of Africa

    Very correct bro.Was shocked by eruption of Ebola in west Africa where by western countries judged the whole continent as one country. No idea of more than 6000 miles east to west.Somehow bigger than their continents. Africans let's get up and be good ambassadors of ourselves at least we can...
  8. mbung'i

    Wadada mnisamehe kidogo!

    Thanx Mkuu.Umegusa vitals.Wengi hufikiri kuwa watabaki hapo hapo walipo kiumri.They nvr think abt numbering in age.Vzr km watausoma Uzi na kuutilia maanani basi km ni mtihani umewapatia majibu.
  9. mbung'i

    Hizi ndo shule 100 Kongwe na zilizotikisa Tanzania, na asilimia 90 humu tumepitia katika shule hizi

    Yeah!!!Lobs,ghuba nk.Achana na kitu Umbwe bwana.Mti safi kweli.
  10. mbung'i

    Majina ya Wachezaji Hawa Ni Burudani Tosha

    Mbui Yondani,Selestine Sikinde Mbunga.
Back
Top Bottom