HUKO SIO KUPENDA ..HUO NI UJINGA ..UNAANZA VIPI KUPENDA KITU KINACHOKUUMIZA ..YEYE ANAONA SAWA KABISA KUMBE ANAZIDI KUPANUA MISHIPA YA MOYO KWA MAUMIVU ANAYOYAPATA NA MWISHO WA SIKU ATAKUJA KUJIPATIA PRESHA ""Aiseee anakuchit na unajua
Kabsa na Bado unamsamehe
Na c mara moja aiseee
Kweli moyo ukipenda co
Mchezo
Ama kweli kipendacho roho
Hula nyama mbich
Anastahili tuzo ya juu ya UVUMILUVU.Umeona ee mie mwenyewe ke haa hilo varangati lake, kwakweli niwakipee
Limekuingia.Asante kwa neno mkuu
Tatizo wenye navyo wachache au washaoa waliotafuta nao. Wachovu ndio tumejaa mnatukimbia.Unaona bora awe navyo mnaanza wote mkiwa chini mkifanikiwa anatafutwa mrembo zaidi yako hicho kitu kinawakimbiza wengi
Duh unachuna mahali unamletea mtu 'unaempenda' ?!Ndio mkipendwa hamtaki halafu wadada wengi wanachuna mahali wanawaletea nyie ambao hamna .
Halafu nyie mnawapa vimeo ambao hamna mpango nao kero tu ambao mkiishiwa wanawaacha mmtuchosha.
hahaha, naona unashindilia mule muleTatizo wenye navyo wachache au washaoa waliotafuta nao. Wachovu ndio tumejaa mnatukimbia.
mkuu kinacho nifanya mpaka sasa nibaki naye jambo la 1. Huwa nikimpa hata elfu 1 ya vocha kama kesho yake napata michongo hata ya zaidi ya 50 elfu kwa siku. Jambo la 2. Mimi ninania ya kuoa kweli sasa nikikaa kuwa labda huyo amenifanyia hiki niachane naye kesho nichukue mwingine nimkute akonatabia hizi tuachane unadhani nitaoa kweli halafu hakuna msichana malakia ambaye utampata humu duniani inabaki tu kufumba macho wakati wa kuoa ili uwe katika familia na upate heshima ya kuitwa baba. Over....hiii jamaaa una roho ngumu ..yaani umegongewa mpka unashuhudia mwenyew na bado unasamehe tena Mara 3 ...huyo mwanamke amekulisha Nyama ya kalio au ??
nililo likataa maishani mwangu ni leo kuwa na huyu kesho nipo na mwingine hiyo inakupunguzia heshima halafu kitu kingine hakuna mtu humu duniani asiyependa kupata heshima ya kuwa baba au mama katika familia.Aise huyo mchumba au mke ! Watu wanabahati kupata wanaume wavumilivu duu hongera
Upendwe ww au ipendwe fedha yakoUjumbe mzuri wamekusikia.
Na wanaume pesa itafutwe sio kulia lia wanawake wanapenda wanaume wenye pesa. Very Simple Tafuta na wewe upendwe.
Duuuu we jamaa unafaa kuwa kwenye kundi la malaika watakaoongozwa na baba bashite hukooomkuu ni mara nyingi tu ila kwa kushuhudia mwenyewe ni mara tatu
bab "" ndoa sio kama mahusiano ya bf/gf ""halafu sikatai kuwa sio kwamba hzo sio tabia za. baadhi ya wanawake lakini sio kwakiwango hcho ndugu ..mwanamke umemfuamania zaidi ya Mara 3 kisha wataka kumuoa ..jiandae kuletewa watoto ambao sio damu yako ..mkuu kinacho nifanya mpaka sasa nibaki naye jambo la 1. Huwa nikimpa hata elfu 1 ya vocha kama kesho yake napata michongo hata ya zaidi ya 50 elfu kwa siku. Jambo la 2. Mimi ninania ya kuoa kweli sasa nikikaa kuwa labda huyo amenifanyia hiki niachane naye kesho nichukue mwingine nimkute akonatabia hizi tuachane unadhani nitaoa kweli halafu hakuna msichana malakia ambaye utampata humu duniani inabaki tu kufumba macho wakati wa kuoa ili uwe katika familia na upate heshima ya kuitwa baba. Over....
acha kumfanisha bashite na mambo ya kijinga ya kiwango hcho mkuu"" ujinga wa Jamaa umevuka mipaka ya ubashiteDuuuu we jamaa unafaa kuwa kwenye kundi la malaika watakaoongozwa na baba bashite hukooo
Hapo huna mke, nakushauri ishia katika uchumba nae.Mawazo kama haya jana nimemwambia mchumba wangu kuwa kama ataendelea na tabia ya kunichit kila muda itafika pahara nisimsamehe tena na moyo wangu ukisha geuka haurudi nyuma. Mimi napenda msichana mwenye kutambua thamani yake na mwenye mawazo ya kimaendeleo hata kwa mtaji wa 10000. Sio kila mda ninunulie gauni lile mara nipeleke kwenye chips.