rashidforeseerer
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 1,000
- 440
voda wahuN tu. ni kama ccm yani kwangu hicho kitu hamna ofa iliyopo ni 500- 300mb siku 7. siwapendi voda. wanaupendeleo
mi mwaka wa pili huu napata gb 5 kwa 2000 wiki nzima, na wameniongezea kama nataka ya 10000 gb 20 mwezi mzima.. ila nakomaa na 2000 tu ndo uwezo wanguKuna watu ni wagumu kuelewa,hii ni offer iko kwa watumiaji wa voda,kila mtu anapewa ya kwake japo sijajua wanatumia vigezo gani,nashangaa mnamponda mwenye uzi kua anapiga promo.Mi karibu mwaka sasa napewa 2 GB dakika 100 voda-voda na 10 mitandao yote siku 3.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] niko kwenye promo pia.
hapana mkuu mm hapa naona wanasema Tsh 200 MB 300 kwa siku,Tsh 500 MB 800 kwa siku Tsh 600 MB 1000 kwa siku..naona kila mtu wanampa kivyake aisee jaribu na ww unawezakuta ofa nono zaidi,*149*03#Kaambiwa na Voda afanye promo ya Voda Zawadi ni MB
Nimekusoma mkuu ngoja nijaribu,nitakupa mrejeshohapana mkuu mm hapa naona wanasema Tsh 200 MB 300 kwa siku,Tsh 500 MB 800 kwa siku Tsh 600 MB 1000 kwa siku..naona kila mtu wanampa kivyake aisee jaribu na ww unawezakuta ofa nono zaidi,*149*03#
Yaaaan mm tokea jana kila nikiweka salio sion chochote, leo ikawa kazi yangu nazima cm nakuwasha kumbe tatizo ni huko???? Simbilisi wakubwaUnajua Hili Tatizo Halijaanza Jion Ni Tangu Juz Binafsi Nikawa Najua Ni Tatizo La Simu Yangu Kumbe Ni Note Duuuuhh
Mana Nikiweka Lain Nyingine Ipo Frsh Tuuu
Mi nmeona bora nife na gb moja ya airtel kwa siku tatu walau hawaibi sana kama halotel na tigo. Inashi ishi kodogo japo ni 1GBSame here. Mteja mpya, hakuna ofa.
HongeraYakwako tu.. Voda si mchezo.. Hata Mimi nafaidi Huduma hiii
Line za TTCL haziSupport simu zenye 2g na kushuka. Zinahitaji uwe na simu ya 3g au 4g kuitumia.Line zao zina support simu zetu?au mpaka tukanunue vile visimu vyao vya UIM CARD
Mkuu hakuna MB wala Shangazi take GBYaaaan mm tokea jana kila nikiweka salio sion chochote, leo ikawa kazi yangu nazima cm nakuwasha kumbe tatizo ni huko???? Simbilisi wakubwa
Mkuu hiyo laini inapatikanaje au ni zari la mentali tu lilikudondokea?mi mwaka wa pili huu napata gb 5 kwa 2000 wiki nzima, na wameniongezea kama nataka ya 10000 gb 20 mwezi mzima.. ila nakomaa na 2000 tu ndo uwezo wangu
sio laini bro, ñi ofa wanakupa kwa wateja wao wa internet kila mara na muda mrefu pia.Mkuu hiyo laini inapatikanaje au ni zari la mentali tu lilikudondokea?