Jee Aachwe Aseme Tuu, By "Taking The Bitter With The Sweet", Or Atumie Busara?!.Mku hata kama hana kumbuka ile ni tasisi uwezi ukatoka na jambo lako tuu kutoka kichwani.
Kama ndio hivyo hii ni shida ambayo haina mwanga huko aendako
Ashinde mara ngapi? Ingia ofisi ya uma leo kisha toa rushwa kienyeji kama zamani uone kama utampata mtu
Vp Raisi akisema?Ulivyo kiazi unafikiri kwamba maaskofu wakisema tu basi waumini wanafuatisha
Mkuu Dr. Mwakabanje, hapa tuko kwenye two different schools of though on the same issue, wewe unamzungumzia mtu, kuwa na busara, mimi sizungumzii mtu, nazungumzia kitu kinachoitwa busara.Mkuu Pascal eleza tu kwa ufupi bila kung'ata maneno kuwa hana busara!
Yaani mimi nimeshangaa halafu kesho ataomba viongozi wa kiroho waliombee taifa wakati leo unawapiga vijembe huku ni kujichanganya
kweli huu ni muda wa kusikiliza wauwaji kwa risasi za motoAcha ujinga wewe, maaskofu wako tumbo tu hao, ni waongo na wanafiki na wazandiki. Tena wanastahili kufungwa maana huu si muda wa kusikiliza wasaliti wa maendeleo ya kweli
Ungekuwa unadhulumiwa ungepata hata muda wa kuandika unachoandika humu..hali zenu zimewashinda mnatafuta pa kutokea..unaijua dhulma wewe au umekaririshwa na da mange?Au jitokeze hadharani kusema dhuruma ya serikali hii uone kama hupotei
Mmmh lugha ni kali ijapo umesema sawaAlaaniwe aliyelisukumiza hili jiwe mpaka likaingia white house.
Kwani Maaskofu wamemwambia nani?je hao maaskofu wamekosa nao busara ya kuomba kikao naye na kuyazungumza kuliko kila siku kutunishiana misuli kwenye majukwaa ya kanisa na majukwaa ya siasa??
Na wewe ni JIWE dogo.hawa maaskofu ambao wengi ni mafisadi bora niwe mpagani tu,nakumbuka jinsi gani viongozi wa dini walivyochochea mauaji ya kimbari Rwanda.Binadamu ni binadamu tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hyo kaliAshinde mara ngapi? Ingia ofisi ya uma leo kisha toa rushwa kienyeji kama zamani uone kama utampata mtu
Pascal unataka kumaanisha hana busara?Ili busara iweze kutumika, hatua ya kwanza ni kwa hiyo busara yenyewe, kwanza iwepo, ikiishakuwepo, ndipo sasa itumike!. Ikitokea busara yenyewe haipo, atumie busara gani, kutoka wapi?'
Jee Aachwe Aseme Tuu, By "Taking The Bitter With The Sweet", Or Atumie Busara?!.
Paskali
Sina hakika lakina dhamira yangu inanituma niseme haya; unaweza ukawa ni "jiwe", pamoja na nguvu zote za kimamlaka lakini kuna wakati busara lazima kiongozi ikuongoze.
Nchi yetu haina dini, lakini watu wake wana dini zao na ndo maana wanapoapishwa wanashika vitabu vya dini kubwa mbili nchini....kutumia nafasi tulizonazo kuanza kuwapiga vijembe viongozi wetu wa kiroho haijakaa sawa na haiwezi kukuacha salama. Waraka wao haukumtaja mtu wala siamini kama ulilenga kumkomoa mtu bali ni sauti ya kiroho inayotaka kuponya taifa.
Unawatu hao watu ni waumini wao...yaani akisema mwanasiasa jambo fulani na kiongozi wa kiroho akasema jambo hilo kwa kinyume chake basi muumini atafuata ya kiongozi wa kiroho... tusicheze na IMANI za watu tunaweza jibu hoja zao bila kuleta mvutano na mfarakano na tukaeleweka.....kubishana na viongozi wetu wa kiroho ni kumkosea mungu!
Mbona unajichanganya? Unajua mfalme Sauli alipatikanaje? Mungu alimtuma nabii wake ampake mafuta akawa mfalme huyohuyo Sauli alipokosolewa akatafuta kumuua hiyo nabii. Lakini baada ya muda akakengeuka. Unashangaaje mtu aliyeombewa baadaye akakengeuka? Alafu unajiita mkristo mwisho wa maandishi yako Unasema JAH RASTAFARI Mbona hueleweki? Kama hujui kitu si unyamaze?Watu mnaodhani mkuu atapata shida eti kwa kudharau habari ya maaskofu mnajidanganya bule.maaskofu ni watu na si lazima waaminike kama MUNGU.wanaweza kutumika pia kuharibu amani ya nchi.mmesahau pia kabla ya uchaguzi walisema tuombe MUNGU.hawa hawa.so ina maana yale maombi yao hayakua na nguvu?ya kwamba aliyekuja siyo kwa matokeo ya maombi yao?mimi ni mkristo tena mkristo sahihi..nasema hawa maaskofu wawe wanasiasa badala ya kuponya kiroho.wanaodhani nchi itayumba kwa sababu ya maaskofu wetu wa namna hii naamini haitatokea hivyo na Rais huyu tutamuona anakatiza mpaka mwisho wake.jambo la wakati tu.
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Wewe ni mburula kubwa kabisa huna unalojua.huko mwisho wa maandishi yangu hiyo slogan yangu na imani yangu.we vipi bana.pita hivi[emoji117]Mbona unajichanganya? Unajua mfalme Sauli alipatikanaje? Mungu alimtuma nabii wake ampake mafuta akawa mfalme huyohuyo Sauli alipokosolewa akatafuta kumuua hiyo nabii. Lakini baada ya muda akakengeuka. Unashangaaje mtu aliyeombewa baadaye akakengeuka? Alafu unajiita mkristo mwisho wa maandishi yako Unasema JAH RASTAFARI Mbona hueleweki? Kama hujui kitu si unyamaze?
Ukituliza akili vizuri, utaona kilichojificha nyuma ya waraka, halafu tambua serikali inayajua vizuri makanisa na viongozi wake wote nje ndani.Sina hakika lakina dhamira yangu inanituma niseme haya; unaweza ukawa ni "jiwe", pamoja na nguvu zote za kimamlaka lakini kuna wakati busara lazima kiongozi ikuongoze.
Nchi yetu haina dini, lakini watu wake wana dini zao na ndo maana wanapoapishwa wanashika vitabu vya dini kubwa mbili nchini....kutumia nafasi tulizonazo kuanza kuwapiga vijembe viongozi wetu wa kiroho haijakaa sawa na haiwezi kukuacha salama. Waraka wao haukumtaja mtu wala siamini kama ulilenga kumkomoa mtu bali ni sauti ya kiroho inayotaka kuponya taifa.
Unawatu hao watu ni waumini wao...yaani akisema mwanasiasa jambo fulani na kiongozi wa kiroho akasema jambo hilo kwa kinyume chake basi muumini atafuata ya kiongozi wa kiroho... tusicheze na IMANI za watu tunaweza jibu hoja zao bila kuleta mvutano na mfarakano na tukaeleweka.....kubishana na viongozi wetu wa kiroho ni kumkosea mungu!