Recent content by Mbumbumbu wa mwisho

  1. Mbumbumbu wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Kufichwa kwa mwanafunzi wa DUCE kwa muda wa siku 20

    Bora ushamgundua.... anacheza na akili za watu huyu.
  2. Mbumbumbu wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Kufichwa kwa mwanafunzi wa DUCE kwa muda wa siku 20

    Huyu hakufelishwa, bali alifeli kwa sababu muda ambao wenzake wapo darasani wanapiga MT, yeye yupo kujitolea.. gues what.!! Kadondokea pua kaenda wizarani kushtaki et wamemsaishia vibaya.
  3. Mbumbumbu wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Avengers: Infinity War itakuwa na sehemu ya pili?

    Movie tamu kinoma... hapo namkubali sana Doctor Strange..... Ila nimesikitika alivotolewa. Ile korabo ya Tony Stark, Spiderman, Doctor Strange, Star lord na wenzake ilikuwa imemzidi nguvu Thanos.... Pia Thor kanifurahisha sana na mzuka na miguvu aliyokuja nayo hadi kafanikiwa kumjeruhi...
  4. Mbumbumbu wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] CCM wanahaha....
  5. Mbumbumbu wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Watanzania na safari ya utumwani

    RIP...
  6. Mbumbumbu wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoijua DUCE, Tufahamisheni Vizuri

    Heee!!! syllabus tena???? Ingia kwenye website ya DUCE au UDSM kisha download undergraduate prospectus, huko ndio utakuta mambo ya BAED...... XAVIER PETER[XP]
  7. Mbumbumbu wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma wekeni akiba ya maneno kwani neema inakuja kwenu

    Mleta post ni Pamputi kabisa!!!
  8. Mbumbumbu wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    Haaaaa.......!!!!!?!????????????????????????????????!????!!!!!!!???!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  9. Mbumbumbu wa mwisho

    JamiiForums Tanzania UNONA NINI??

    UKUTA
  10. Mbumbumbu wa mwisho

    JamiiForums Tanzania UDOM Mbona hamna Prospectus kwenye Website yenu?

    Atakuwa kavaa pichu yenye upupu!!
  11. Mbumbumbu wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    Mkuu fanya hima darasa lianze..
  12. Mbumbumbu wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa OS za Linux

    hahahahaaaaa!
  13. Mbumbumbu wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Walimu karibu wote uwezo mdogo

    Rafiki zako walifeli harafu wakaenda chuo??? Duuuuh!! kweli elimu imeshuka hadhi!!
  14. Mbumbumbu wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Walimu karibu wote uwezo mdogo

    Bora umemwambia!
  15. Mbumbumbu wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Walimu karibu wote uwezo mdogo

    We jamaa Muongo na unaongea kwa uhakika hadi shetani kama yupo atakuwa anakushangaa!!
Back
Top Bottom