Wataalamu wa OS za Linux

Wataalamu wa OS za Linux

Nina swali unaezaje kurun implementation ya JAVA-OOP kwenye Linux? Nataka cofiguration ili nifanye execution ya codes.
Kuna oracle jdk na openjdk kuncofgure kirahisi fungua terminal na uninstall openjdk kwa kuandika
Code:
sudo apt-get install open-jdk
hiyo ni kwa Debian based Kama Ubuntu na Linux mint.
 
Nina swali unaezaje kurun implementation ya JAVA-OOP kwenye Linux? Nataka cofiguration ili nifanye execution ya codes.
Unatumia linux-distro gani?

Either way jaribu kuingia kwenye terminal yako na andika java -version uone kama utapata version ya Java kama itagoma,

unaweza pata message inayokuambia packages unazoweza kuipata JAVA, in short unaweza kudownload kwa command kama hii (Kwa the likes of Ubuntu)

sudo apt-get install default-jre

Kama utahitaji ku-compile hizo codes kwenye hiyo hiyo linux unawezatumia

sudo apt-get install default-jdk

Utadownload kama 200-300MB from there unaweza anza kurun hizo codes zako.
 
Watu wanapata root access ndo maana upande wa security bado ni mbovu, kumbuka kuwa android isipokuwa na root access bado ni secure sana mfano mzuri ni Silent OS ambayo ni android based operating system hii ina security nzuri na unaweza usidhani ni android na ndo maana geeks wa android wanazicustomize OS zao wenyewe
yap kwa root umeongea kweli hapo tuko pamoja ila bado android wako kibishara zaid ona jinsi wanavyoruhusu play store yao inajazwa kila aina ya app.
app nyingine ni dangerous lakin zipo mda mrefu na zinafanyiwa updates kibao
 
kuna software nyingine package zake lazima uzipate kwa kuinstall kwa kutumia commandline hasa third party softwares, sasa mtu kwenye windows keshazoe next, next, next halafu finish unapomleta kwenye masuala ya sudo au yum lazima akate tamaa na ndo maana watu wengi wanaotumia Linux ni madeveloper kwa sababu distro nyingi za Linux zinakuja na environment nzuri za development, mfano compiler framework n.k
Umesema ukweli, hizi commandline kwa mtu asiyependa kuumiza kichwa anaona ni kero, pia kwa upande wa protection ya virus linux pia ni wazuri.
 
Back
Top Bottom