Walimu karibu wote uwezo mdogo

Walimu karibu wote uwezo mdogo

Takataka,unaongea pumba tu hapa,hata tunaokusikiliza tunaonekana pumba vilevile
Ukirusha jiwe gizani ukisikia "Yalaah" ujue limempata mtu...bila Shaka wewe ni mwalimu na ukweli unaujua, angalia matokeo yako kisha pinga kwa hoja
 
Hivi wale walojazana pale COET na CONAS wote wana division 1 eh..?? mbona cut off point ya ualimu ni kubwa kuliko ya hizo course zingine za "science'? which means kama cut off point ya ualimu ni 5, halafu ya science ni mpaka 3.5/3.0..basi kwenda ualimu lazima uwe umefaulu vizuri.. Tunajua watu wanaenda engeneering na three za aibu.
Usisahau pia ile pre-entry program (PEP) Pale udsm designed kwa females ambao walisoma science subjects A level halafu hawajafika cut-off-points so wananolewa na kupewa matriculation exams halafu wanaingia chuo...
Basically, wanaokuja chuo kwa course zisizo za ualimu kama engeneering ndio wana ufaulu mdogo wa kubebwabebwa ila baadhi yao hasa toka private schools ndio wenye ufaulu mkubwa..

shida ya mleta mada ni kwamba haufikiri clearly..your Ego dominates you..hauna tofauti na mtoto wa miaka 3 alivyo egocentric.
Ushauri..kimbia haraka katafute Undergraduate admission GUIDEBOOK ya TCU usome uelewe halafu usije tena kuleta viutafiti uchwara humu jukwaani.
 
Wewe mbeba bahasha sijui bado unatafuta nini mjini baada ya kutangaziwa kiama leo na Rais. Naona hasira zote unazileta kwa walimu, sijui wamekukosea nini. Nenda kijijin kwenu ndugu ukalime, siku hizi hata 3G ipo ndo maana unaona na sisi tunaweza kukujibu kwenye mtandao. Usidhani tupo mjini, karbu sana Biharamulo
 
Ukirusha jiwe gizani ukisikia "Yalaah" ujue limempata mtu...bila Shaka wewe ni mwalimu na ukweli unaujua, angalia matokeo yako kisha pinga kwa hoja
Weka matokeo yako hapa wewe tuone uchafu uliopata
 
Wewe mbeba bahasha sijui bado unatafuta nini mjini baada ya kutangaziwa kiama leo na Rais. Naona hasira zote unazileta kwa walimu, sijui wamekukosea nini. Nenda kijijin kwenu ndugu ukalime, siku hizi hata 3G ipo ndo maana unaona na sisi tunaweza kukujibu kwenye mtandao. Usidhani tupo mjini, karbu sana Biharamulo
Asante sana ila pole sana sijawahi kubeba bahasha...ila nashukuru nitakaribia Biharamulo huko
 
Weka matokeo yako hapa wewe tuone uchafu uliopata
Ndugu mbona unajibu kwa jazba..nimeshakwambia sikusoma ualimu na pili sijafananisha matokeo yangu na ya mtu yeyote bali nimeongea generally ila naona umepanic Ndugu...hahahhaa pole sana
 
Tazama picha hizi..

Hii yaonesha pass grade na weight yake
732a6e1235130c34a38990f1ec20e877.jpg

Focus kwenye minimum admission point ya huyo wa Bachelor of education na huyo wa Bachelor of Sc. In Engineering.

c93e0a5f0e0948794aa85b5442c7fce0.jpg

2be73b738ca4e2805c28c69c2c59858b.jpg

Kisha..Kama ubongo uko sawasawa utakuwa umeelewa.
Usisite kuomba msaada wa kueleweshwa.
 
Acha ufala we mi kuanzia form 4 six na chuo kikuu ufaulu Wangu in daraja la kwanza na ni high score. Fala wewe
 
Tazama picha hizi..

Hii yaonesha pass grade na weight yake
732a6e1235130c34a38990f1ec20e877.jpg

Focus kwenye minimum admission point ya huyo wa Bachelor of education na huyo wa Bachelor of Sc. In Engineering.

c93e0a5f0e0948794aa85b5442c7fce0.jpg

2be73b738ca4e2805c28c69c2c59858b.jpg

Kisha..Kama ubongo uko sawasawa utakuwa umeelewa.
Usisite kuomba msaada wa kueleweshwa.
Unajua wapi umeshindwa kunielewa?? Hivi unaanza vipi kufananisha mtu anayesoma ualimu wa biashara na arts kwa anayesoma engineering??? Ningekuona wa maana ungeweka points za anayesoma ualimu wa science kwa engineering au ualimu wa arts kwa anayesoma arts courses au ualimu wa biashara kwa courses za biashara badala yake unanichanganyia eti bachelor of arts in education points 5 out of 3 subjects kulinganisha na bachelor of engineering points 2 out of 3 subjects...Ukiangalia unaona yana mshabihiano????
 
Kila Siku waalimu na polisi je
wengi form 4 na ndio ajira inayokimbiliwa na feilures wengi yaani upolisi hawahitaji wataalam we ni miguvu yako na kujua kiingereza kidogo tu cha kumhoji mzungu
where is ur driving licence baasi
 
Sasa wewe wakati unawazungumzia kwa kusema hawajiwezi kichwani ulikuwa unawalinganisha wao kwa wao au wako kwa nani? We si umewasema 'hawanazo' Na kwamba ukiwacompare na WENGINE, waalimu hawajiwezi kiuchumi na kitaaluma.. Sasa hao WENGINE ni wakina nani Kama sio akina mjomba engineer na watoto wa Biashara!?
 
We ni sample ya watu wenye ufinyu wa kupembua maisha. Kwako wewe kufaulu ni kupata div.1 basi!? Rudi kafanye utafiti wanafunzi wengi waliokuwa vichwa darasani huwakosi namba moja hadi tatu na walipata one kali huishia kuwa walimu. Uwezo wa mtu darasani sio determinant ya future yake. Watu walio na position nzuri za ajira na tabaka la juu ni wale waliokuwa wanachechemea darasani au hata walitoka na div. 4. Hoja kubwa uliyotoa ni kwamba wengi wamesomea ualimu kwa sababu ya uwezo wao kiuchumi haukuwapa alternative ya kusomea fani nyingine nzuri. Huu ndio ukweli na si suala la uwezo kiakili.
 
Habari wanajamvi?

Ashakum sio matusi ila leo nimeamua kuleta mada hii baada ya kufanyia utafiti binafsi kwa muda hivi.Kwanza nilianza kuambiwa na rafiki yangu enzi hizo 2012 pale UDBS kwamba asilimia kubwa kama sio wote waalimu uwezo wao ni mdogo upstairs nikakataa akanitaka nifanye utafiti binafsi.

- Walimu wengi kama sio wote hawakupenda kuwa waalimu ila ufaulu wao ndio ulipelekea wakose option na kujikuta kwa shingo upande wanadumbukia kwenye fani ya ualimu bila kupenda.

-Asilimia kubwa ya walimu hawakupenda kwenda ualimu ila ukiachilia mbali ufaulu kuwa hafifu pia urahisi wa kuajiriwa, hii inatokana na ajira kuwa ngumu hivyo wengi kukimbilia ualimu ili kutatua matatizo yao ya ajira.

-Uchumi mbovu umepelekea wengi kuishia kuwa waalimu, hapa nina maana zile familia ambazo hazina uwezo wa kumlipia mwanafunzi kusoma kitu anachokipenda hivyo kujikuta akisoma ualimu ili apate ufadhili wa serikali.

Naomba nisieleweke vibaya ila jaribu kufuatilia kwa umakini uje unaimbie mwanafunzi aliyepata division one nzuri kabisa akawa mwalimu, asilimia kubwa ya waalimu ni waliosoma arts au biashara kwakuwa wengi matokeo yao hayakuridhisha hatimaye option pekee ikawa ualimu.

Waalimu wengi wa science walifeli hapa naomba uniletee mwalimu ambaye ama alisoma PCM, PCB, PGM n.k akapata divion one au two akaenda kusoma ualimu? Wanaokuwa waalimu wengi huangukia kwenye point ya ufaulu mbovu darasani na ni wachache sana huangukia kuwa waalimu sababu ya uchumi wa familia ila wengi saaana walifeli.

Hata kama walijiendeleza na kuwa na masters still ukirudi nyuma utakuwa wengi walifeli, ndio maana nikasema asilimia kubwa kama sio wote uwezo wao ni mdogo.
Kwani mtu akipata division three kafeli?
 
Kila Siku waalimu na polisi je
wengi form 4 na ndio ajira inayokimbiliwa na feilures wengi yaani upolisi hawahitaji wataalam we ni miguvu yako na kujua kiingereza kidogo tu cha kumhoji mzungu
where is ur driving licence baasi
Ualimu ni kazi nzuri lkn si kwa inji hii. Ahsante baba kwa kunilea kwa kazi ya ualimu.
 
Hahah mtoa mada kiazi tuu
Hiyo ya walimu kuwa failure ni walimu wa primary sio sekondari.. afu ilikuwa zamani sio sahizi
 
daaah nikiona mtu anawadharau walimu roho inaniuma sana tena sana,uelewa wa mtu upo kichwani kwake na ata mtu akipata div 1:7 anaweza kuwa amekalili lakini kichwan kwake uelewa ni mdogo.
na mtu akifeli sio kwamba ana uelewa mdogo.kuna sababu nyingi zinazofanya watu wafeli.
nawapenda sana walimu nawapenda sana ata kama mwalimu amekuwa chizi nitampenda ata kama ana uelewa mdogo nitampenda tu.
kutoka shule ya msingi mpka sasa nimekuwa dokta hiyo yote ni kazi ya mwalimu,tuwaheshimu walimu tusianze kuwabeza,kuwadharau na kuwatukana.
 
Kwahiyo hata walimu wako waliokufundisha huko chuo ni miongoni mwa waliofeli sasa were utakuaje na akili wakati waliokufundisha walifeli? Kuku wewe
 
Habari wanajamvi?

Ashakum sio matusi ila leo nimeamua kuleta mada hii baada ya kufanyia utafiti binafsi kwa muda hivi.Kwanza nilianza kuambiwa na rafiki yangu enzi hizo 2012 pale UDBS kwamba asilimia kubwa kama sio wote waalimu uwezo wao ni mdogo upstairs nikakataa akanitaka nifanye utafiti binafsi.

- Walimu wengi kama sio wote hawakupenda kuwa waalimu ila ufaulu wao ndio ulipelekea wakose option na kujikuta kwa shingo upande wanadumbukia kwenye fani ya ualimu bila kupenda.

-Asilimia kubwa ya walimu hawakupenda kwenda ualimu ila ukiachilia mbali ufaulu kuwa hafifu pia urahisi wa kuajiriwa, hii inatokana na ajira kuwa ngumu hivyo wengi kukimbilia ualimu ili kutatua matatizo yao ya ajira.

-Uchumi mbovu umepelekea wengi kuishia kuwa waalimu, hapa nina maana zile familia ambazo hazina uwezo wa kumlipia mwanafunzi kusoma kitu anachokipenda hivyo kujikuta akisoma ualimu ili apate ufadhili wa serikali.

Naomba nisieleweke vibaya ila jaribu kufuatilia kwa umakini uje unaimbie mwanafunzi aliyepata division one nzuri kabisa akawa mwalimu, asilimia kubwa ya waalimu ni waliosoma arts au biashara kwakuwa wengi matokeo yao hayakuridhisha hatimaye option pekee ikawa ualimu.

Waalimu wengi wa science walifeli hapa naomba uniletee mwalimu ambaye ama alisoma PCM, PCB, PGM n.k akapata divion one au two akaenda kusoma ualimu? Wanaokuwa waalimu wengi huangukia kwenye point ya ufaulu mbovu darasani na ni wachache sana huangukia kuwa waalimu sababu ya uchumi wa familia ila wengi saaana walifeli.

Hata kama walijiendeleza na kuwa na masters still ukirudi nyuma utakuwa wengi walifeli, ndio maana nikasema asilimia kubwa kama sio wote uwezo wao ni mdogo.
Sasa hata baada ya kuandika hayo lengo kuu ni lipi?
1.chuki kwa walimu
2.hasira za kukosa ajira
3.wivu kwa kuwa walimu wanapata ajira moja kwa moja na wewe upo mtaani huna kazi?
4.kuuambia umma kwamba walimu ni ma failures na wajinga kitaaluma?
5.dharau kwa kada zingine kwa vile wewe upo kada yenye heshima na mshahara mzuri zaid kuliko ualimu? Nk
Lakini haohao wenye marks hizo hizo na failure zao ndio walio kupa kiburi cha wewe ku type hapa na kuwadharau, hakuna msomi yeyote asiye pitia mikononi kwa mwalimu hivyo unacho kifanya wewe nikutukana wazazi wako baada ya kukuzaa na kukukuza, ni sawa na kukata daraja baada ya kuvuka mto ukidhan unaukomoa mto wakati wa kurudi uta hitaji daraja tena,, nadhan hata watoto wako hawata muhitaji mwalimu utawafundisha wewe na ukisha kuwa mfundishaji na wewe pia utakuwa umesha imgia kwenye kundi la walimu hasa tukitafsiri sahihi maana ya neno "MWALIMU"

Naweza sema mimi ni mwalimu na ni failure kama ulivyo sema lakini wanafunzi walio pita mikononi mwangu wengine ni engineer wengine ma Dr. Wengine walimu kama mimi na wengine wako kwenye fani zingine mbalimbali ,na wengine wanadharau kazi hii kama wewe ufanyavyo baada ya kuvuka

lakini wametoka kwenye mikono ya failure mimi kama sema yako.
Lakini pia unatakiwa kujua kuwa ualimu ni kazi inayo hitaji watendaji , na wala sio kazi ya class fulani, niseme ufinyu wako wa mawazo ndio ulio pelekea kufikiri hivyo na kuandika ulicho andika kwa vile ulitumia upande mmoja tu katika hoja yako hiyo

Neno mwalimu nineno lenye upana sana labda ulishindwa ku categorise huo ualimu unao usema ni upi maana hata wanao hubiri injili na kufundisha mafundisho ya mwenyezi mungu pia huitwa walimu

Lakini pia kwa kusema walimu wana uwezo mdogo ni katika lipi?
Maana kwa mfumo wetu wa elimu ulivyo bado haitosh kutambua uwezo katika uhalisia wake maana elimu hii hata mtu akiiiba mtihani au akapewa majibu ya mtihani hata kama hajui kusoma wala kuandika ingawa ana A kwa upande wako huyo ndio mwenye uwezo.ref darasa la saba anaye pata A masomo yote lakin hata kusoma kwa ufasaha kwake ni tatizo.lakini ana ufahuri mzuri kwenye cheti na hii sio huko tuu ipo hata shule za sekondari hadi vyuo.

Uwezo wa kitaaluma umegawanyika katika makundi mengi sana hivyo huwezi kutumia kigezo kimojaa kutoa majibu ya uwezo mdogo au mkubwa kama mtafiti ,maana kwa hoja yako hiyo umesha utia najisi huo utafiti wako

Na kwanini labda umeiona kada ya ualimu pekee ndio imekusanya failures na sio kada zingine? Maana kuna kada zingine hadi wenye ziro wako kazini na wanalipwa mshahara na serikali na ni watendaji wazuri mno kuliko hao wenye 1,2,3 nk. Lengo lako kuu lilikuwa ni lipi hadi ukapata wazo la kuwasakama walimu kwa hoja na kinadharia zaidi kuliko uhalisia?

Lakini hongera pia kwa utafiti wako wa kihisia kuliko uhalisia.
 
Back
Top Bottom