mkuu kwa UDSM umezngua mbona iko fresh sana inavutia na ina kila kitu ase,Juzi kati niliipita kwenye websites za vyuo vya bongo Udom na UDSM, ni websites mbaya kana kwamba zimetengenezwa na watoto wanaojifunza web designing.
Ndio ila ni muhimu sana... mu nlitaka nijue baadhi ya modules za course ya masters pale ila nmekwama.... hii ni aibu kwa institution kubwa kama ileProspectus ni muhimu lakini isiwe sababu ya kuanza kushusha chuo hadhi yake kila kitu kinaenda kwa mipango so mm sioni cha ajabu kuona hakuna prospectus kwenye web yao
Shahidi namba moja [emoji121] [emoji121] [emoji121]asiye uliza hana ajifunzalo! hivi tcu wanaweza kukusajiri kusoma vyuo viwili at the same time?
Shahidi namba moja [emoji121] [emoji121] [emoji121]
Watu wengine Wana chuki za wazi kabisaSiku hizi kila jambo linafanyika kwa ushahidi.Angalieni mchango wa huyu dada na ile comment yake aliyoitoa asubuhi''
hapa uliiponda UDOM(Hii ni comment yako ya leo)
Hapa ulikuwa unaaombea uchaguliwe UDOM(Hii comment yako ya jana)
View attachment 399661
pia hii ni Thread yake aliyoianzisha baada ya waliofaulu kuchagulia Katemwa TCU first Round, Tumshauri wadau .Wenyewe wanasema huu mchezo hauhitaji hasira,akaweka thread nyingine hii Waliokosa first selection ya TCU
Dada hifadhi maneno ya badae.
ukichunguza thread zake utagundua hajapangwa popote,anazuga rafiki yake kakosa round ya kwanza eti anaomba ushauriWatu wengine Wana chuki za wazi kabisa
Mimi kwenye thread yangu kasemaje
"DUCE nacho chuo, kama shule ya msingi "
Atakuwa kavaa pichu yenye upupu!!ukichunguza thread zake utagundua hajapangwa popote,anazuga rafiki yake kakosa round ya kwanza eti anaomba ushauri