Recent content by Mbeya One

  1. Mbeya One

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

    amu Hivi we ndio Kijana Ema alikuletea fedheha 😁
  2. Mbeya One

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

    Kwani @kijanaEmma na Nyete wanasemaje?
  3. Mbeya One

    JamiiForums Tanzania Msanii Gachi aliyeimba wimbo wa “Samia Tunamkubali, Alalamikia Kuvunjwa kwa Biashara Yake Singida

    What irony, the joke writes itself
  4. Mbeya One

    JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa kuwa makini na kanisa lako acha kukaribisha wanaccm wenzako kushambulia makanisa mengine

    Hilo zee mashavu kama linapuliza puto halijawahi kuwa na akili
  5. Mbeya One

    JamiiForums Tanzania Watanzania wahoji watoto wa vigogo kumiliki diplomatic passport baada ya Teresa kushare passport akiwa airport

    Soma unielewe usikurupuke, usilete physics kwenye sheria. Sheria ya passport ya mwaka 2002 inaruhusu mtoto wa jaji wa mahakama kuu kutumia hiyo passport ikiwa tu ni dependant pia anasafiri naye halafu awe chini ya umri wa miaka 18. Hoja ni kwamba huyo yupo kwenye harakati zake binafsi na over...
  6. Mbeya One

    JamiiForums Tanzania Lissu ni Kiongozi sahihi, lakini kwa nchi isiyo sahihi

    Huu ndio uhalisia, nimechelewa kujua wananchi wa Tz wanapenda CCM ila hawapendi nani anayeongoza. Wanapenda ufisadi ila hawapendi mtu fulani kuwa mnufaika wa ufisadi. Wanapenda mauaji ila hawapendi fulani akiua. Hawapendi watu wenye akili timamu na wasafi, wapenda haki kama Lissu. Lissu yupo...
  7. Mbeya One

    JamiiForums Tanzania Watanzania wahoji watoto wa vigogo kumiliki diplomatic passport baada ya Teresa kushare passport akiwa airport

    Ni sahihi na sio sahihi, kama ni mtoto wa Rais, Makamu, Waziri mkuu na balozi ambaye yupo kikazi nje inaruhusiwa, sharti tu mtoto awe chini ya miaka 18. Kama huyo dogo alikuwa na safari zake binafsi na anamiaka zaidi ya 18, uhuni. Ajabu mbumbumbu hazijui maana ya hiyo passport nyekundu zinakuja...
  8. Mbeya One

    JamiiForums Tanzania Moto mkubwa shule ya Uhuru

    Movie limeanza tu star kauawa 🙌
  9. Mbeya One

    JamiiForums Tanzania Kama hutaki mtoto wako aitwe mtoto Haramu, zaa kwa utaratibu halali. Nje ya hapo haramu itaitwa haramu

    Watu wameamua kutumia hisia baadala ya uhalisia, sishangai sababu familia nyingi Tz msingi wake ndio huo. Tukirudi kwenye uhalisia namna dunia na jamii inawatreat wanaharam, unaona kabisa wamekosa baraka za kimwili na kiroho. Hii ndio hoja pekee huwezi kuta mtu anajificha kwenye hoja ya ngozi...
  10. Mbeya One

    JamiiForums Tanzania Moto mkubwa shule ya Uhuru

    Ofisa wa VAR huna baya 😁
  11. Mbeya One

    JamiiForums Tanzania Moto mkubwa shule ya Uhuru

    😁 Hawashindwi kitu hawa
  12. Mbeya One

    JamiiForums Tanzania Moto mkubwa shule ya Uhuru

    Sure hii sio coincidence, michezo
  13. Mbeya One

    JamiiForums Tanzania Moto mkubwa shule ya Uhuru

    Kuna mtu kaleta hoja juzi shule ivunjwe! Alikuwa anatualert sio? 😁
  14. Mbeya One

    JamiiForums Tanzania Kama hutaki mtoto wako aitwe mtoto Haramu, zaa kwa utaratibu halali. Nje ya hapo haramu itaitwa haramu

    Mbona biology nayenyewe inamuunga mkono mwenye sredi? Kitendo haram kinazaa haram! Huu ni ukweli mchungu
Back
Top Bottom