Kalapina ampondea Sugu

Kalapina ampondea Sugu

Wewe choko kumbe hujielewi
Unakunyakunya uharo tu mothefucker
Wewe si ndio umesema alikuwa gate man sasa ndo kazi gani hiyo
Guluguja wee
Wewe unatuharibia uzi na hii inadhihirisha huna unachokijua kwenye industry!

Uzi ulikuwa unashuka vizuri watu tunapata elimu lakini wewe kwa kushindwa kwako kutambua kwamba hauwezi ukajua kila kitu kuna ambavyo unavijua na kuna ambavyo huvijui unaishia kutukana hovyo kwa kukosa hoja.
 
Mshamba ni KalaPina anayelazimika kufuata uelekeo wa upepo kama Bendera. Kuna wakati alikuwa anajinasbiisha na akina Ruge "clouds tv". Mwishowe si walimtosa!
Clouds walimpa shavu ia show yake pale msasani club ili kuzima anti virus, mwisho wa show lawama Kwa Wana Block 41 waliojitoa siku hy pale msasani club
 
Sasa swali gani unaniuliza we wakuja?
Hoja ni kuwa Sugu kamtaja kwenye mistari yake,hilo la ushamba au sio mshamba mm halinihusu
Mie wakuja ila kalapina maskani,tukiwa tunafanya hip hop enzi hizo yeye anatulia, Maskani anatusikiliza, Indianapolis,Block 41, Maskani kwa Bango, software copy ya FL na Cube base nimewapa mwenyewe na wakuja wangu
 
Halafu huyo Sugu wenu ndiyo mjue naye ana matatizo.
kwenye hiyo dili ya malaria aliunda Anti Virus project halafu alivyovuta mpunga kwa kina Ruge akawazunguka wenzake kimyakimya
Naye snitch tu kama nyinyi
Yeye Kalapina aliwahi kudhulumiwa na Sugu kitu gani mpaka aingilie huu mchongo!? Kama unajua tujulishe jukwaani hapa. By the way wewe si ndio umedai Sugu anamkubali mwanae Kalapina mpaka anampaisha _paisha kwenye ngoma zake! Kwa nini asingewaachia hao unaodai walidhulumiwa na Sugu kama unavyodai watapike nyongo!?

Au Sugu hamkubali tena "mwanae" Kalapina!?
 
Moms boy unarukia na kudandia vitu usivyovijuwa, Ruge ampe nini Sugu?

Emanuel Nchimbi ndiye alikuwa mediator na Sugu alikuwa na mbinyo kwenye Chama chake kwa hadhi yake ya Kibunge na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema.

Elewa kwanza wewe tutusa Sugu kaingizwa Chadema kwa ushawishi wa Mbowe, na Mbowe ndio anatumiwa kumshawishi Sugu amalize hizo bifu wakijikite kwenye big Agenda kama chama wewe ungefanyaje?

Show ya Sugu Serena hotel mgeni rasmi Mama Samia hivi huwa mnadhani hivi vinatokea tu vyenyewe bila ya watu nyuma ya Camera?
Sasa Sugu ana Backup ya watu kama Willy Mungai hao ndio mihimili yake na sivyo mnavyofikiri. Idiot.
 
Kwa muziki wa bongo ulivyo na njaa kali za wasanii wetu Sugu angewaacha wenzio wapige hizo show za Chaka to Chaka tu..!!

Kuna wasanii ukiwaona wanatia huruma walivyopigika. Hizo show huenda zikawapunguzia ukali wa maisha..!!
 
Tatizo sio show, vipi we upo tayari hapo kkoo mtu aje afungue biashara kwa jina lako na anauza unachouza?
 
Sugu sikiliza, hao wasanii ni sehemu ya industry ya entertainment na hakuna aliyetumia jina la Sugu..!!

Hapo unataka kusema kwakua mimi nauza vijora kkoo basi haitakiwi mwingine naye afungue auze vijora kama mimi.. uko seriously kweli??

Clouds walikuwa na fiesta na wasafi wakaja na wasafi festival mbona zilibamba tu kila mmoja kwa uwezo wake..!!

Yeye sugu mbona kafungua bureau. Je, na yeye hatakiwi kufungua sababu kuna wengine wapo kwenye hiyo business?
Acheni upuuzii..!!

Hii nchi kubwa kila mmoja afanye anachopenda na kile kinachomuungizia ugali..!!
 
What do you mean unaposema fan? What has he achieved? Numbers zake zikoje kwenye digital platforms? Ana hit song yoyote ambayo leo nikiwasha channels za TZ iwe TV au Radio kwamba randomly nitaisikia?
Let me be honest, nyimbo(hip hop) za TZ na artists wa hip hop wa TZ nawafahamu sana lakini hapo hizo zote ulizozitaja za huyo Kala Pina hakuna hata mmoja ninaoufahamu, huyo huwa anasikika kwenye matukio tu tena ni kwenye matukio yenye controversies peke yake.
Weka challenge hapa fungua uzi watu waorodheshe all time top 100 hip hop hits za Kibongo tuone ni wangapi wataweka tracks za huyo Kala Pina.
Nakujibu kwa kirefu, twende taratibu utanielewa. Kwanza huwez kusema unawajua artists weng wa hip hop bongo na usiijue 'Mstari wa mbele' kama huijui basi maana yake huwajui artists wengi wa hip hop kama ulivyodai. Mstari wa mbele ilipishana miezi michache kutoka na 'Fid Q.com ya Fid Q hivyo top 10 miaka hiyo zilikuwa zinashindanishwa kama hardcore rap pekee za bongo. Twende kwenye hoja Yako sasa... Kuwa fan wa kitu haimaanishi lazma uzingatie namba au huyo artist awe ameachieve ktu fulani, mambo hayaendi hivyo. Kuna nyimbo Zina namba kubwa sana huko digital platforms lakini nikikutajia amini itakuwa ndio first time kuiskia sabab sio shabiki. Mwaka 2012 kule USA kuna wimbo ulitoka ambao hauna verse hata moja ila una kionjo tu na sehem kubwa ya wimbo inapiga beats tu. Huo wimbo ulitengeneza challenge nyingi san za kuucheza. Wimbo uliitwa "Harlem shake" kutoka kwa jamaa anaitwa Baauer. Huu wimbo mauzo yake yalihit double platnum worldwide, je wewe mzingatia 'numbers' umewahi kuujua huo wimbo be honest! Nina uhakika 100% hujawah kuuskia popote. Kwanini? Ni kwa sabab kuujua wimbo mkali haimaanishi lazma uwe hit, 'Nini dhambi kwa mwenye dhiki' by Faza Nelly(RIP) haukuwa hit ila ndio wimbo wa kwanza wa hip hop bongo kufikisha views milioni moja mwaka 2013 kule YouTube, wewe huujui huo wimbo lakin una hiyo record ya kipekee na wale fans OG tunaujua ila wewe fan feki huujui. Ukiweka top 100 ya hip hop bongo amini Kuna Mcs kibao wakali watakosa kuingia hiyo chart sio Pina peke ake, Prof Jay pekee ataingiza Ngoma kama 10, Sugu 10, Fid 5 labda, Afande 5, Nature 5, FA 5, AY 5 labda pia, Roma 5. Kwa kifupi top 100 itaishia kizazi Cha pili na cha tatu cha hip hop ya bongo, je kizaz kilichofata hakuna hits? Weka top 200 Kalapina hatakosa humo ndani. Hujui Mstari wa mbele, wewe sio hip hop bro no offense.
 
Attachments

  • IMG_20260809_012146.jpg
    IMG_20260809_012146.jpg
    93.5 KB · Views: 2
Kwenye maisha nilichojifunza ni kuishi kuendana na zama. Zama za kua shule jitahidi uwe shule. Ukifika umri wa kua na familia na ukapata mwenza sahihi anzisha familia. Zama za kipaji chako kukupa PESA jitahidi kipaji kikupe PESA. Zama za utafutaji jitahidi utafute bila kuchoka adi upate na ukipata wekeza. Na hii sio kwa wasanii tu ni kwa kila mtu adi wasomi/ wafanyakazi walio kwenye ajira. Mathalani unaamua kurudi Darasani at the age of 40+ baada mishe zingine kufeli, unaweza kua na uwezo mzuri kitaaluma but at that age zama za kua shule zinakua zishapita na hata kushindana kwenye soko la ajira itakua ngumu kwako coz mwajiri ataprefer zaidi vijana wa mid 20s up to early 30s akijua wana umri mrefu zaidi kutoa service. Turudi kwa jamaa zetu sasa. Nimewatazama vizuri % kubwa age imesogea sana na wengine wanaonekana hawana mishe zaidi ya kuona hiyo nafasi kama ni ya dhahabu kwao. Nawaelewa sana lakini nyakati zinakataa, hiyo pension walitakiwa kula kutoka kwenye uwekezaji wa muziki wao toka zamani na hii ya sasa ingekua ni kwa ajili ya ziada tu na kukumbushia heshima waloiweka kwenye industry kwasababu nje ya hiyo show na jumla kwa wote ni ngumu kwa mmoja mmoja kupata show ya peke yake kwa % kubwa kwasababu ya zama. Hakuna namna ya kuwalaumu acha wapate hata hicho kidogo kitawasaidia. Niliona juzi adi kwa Mwamposa wanamgombania awaombee. Kwangu Mimi hili nalichukulia kama somo na funzo kwenye maisha. Ipo siku nguvu zitaisha afu hapatakua na mtu wa kukumbuka kwamba wewe ulikua nani. Sugu, mwanaFA, AY na wengine wachache wanaweza kuongea lolote kwasababu wana investments na vyanzo vya uhakika vya mapato na uhakika wa kesho zao.
 
Wewe unatuharibia uzi na hii inadhihirisha huna unachokijua kwenye industry!

Uzi ulikuwa unashuka vizuri watu tunapata elimu lakini wewe kwa kushindwa kwako kutambua kwamba hauwezi ukajua kila kitu kuna ambavyo unavijua na kuna ambavyo huvijui unaishia kutukana hovyo kwa kukosa hoja.
Sasa mnapata elimu kwa missninformation?
Kusema sina nnachojua kwenye industry kwa kuzungumza ambacho hamtaki kukisikia haiwezi kuwa kweli
Nyinyi ni washamba flani wakuja mmekutana
 
Mie wakuja ila kalapina maskani,tukiwa tunafanya hip hop enzi hizo yeye anatulia, Maskani anatusikiliza, Indianapolis,Block 41, Maskani kwa Bango, software copy ya FL na Cube base nimewapa mwenyewe na wakuja wangu
Hata kalapina na ushamba wake,Sugu kamtag kwenye nyimbo zake akakuacha wewe
 
Yeye Kalapina aliwahi kudhulumiwa na Sugu kitu gani mpaka aingilie huu mchongo!? Kama unajua tujulishe jukwaani hapa. By the way wewe si ndio umedai Sugu anamkubali mwanae Kalapina mpaka anampaisha _paisha kwenye ngoma zake! Kwa nini asingewaachia hao unaodai walidhulumiwa na Sugu kama unavyodai watapike nyongo!?

Au Sugu hamkubali tena "mwanae" Kalapina!?
Kalapina kaingiliaje mchongo?
Yeye si kaalikwa tu kushiriki matamsha,sasa kosa lake nn?
Kwani yeye ndio kaandaa tamasha?
 
Nakujibu kwa kirefu, twende taratibu utanielewa. Kwanza huwez kusema unawajua artists weng wa hip hop bongo na usiijue 'Mstari wa mbele' kama huijui basi maana yake huwajui artists wengi wa hip hop kama ulivyodai. Mstari wa mbele ilipishana miezi michache kutoka na 'Fid Q.com ya Fid Q hivyo top 10 miaka hiyo zilikuwa zinashindanishwa kama hardcore rap pekee za bongo. Twende kwenye hoja Yako sasa... Kuwa fan wa kitu haimaanishi lazma uzingatie namba au huyo artist awe ameachieve ktu fulani, mambo hayaendi hivyo. Kuna nyimbo Zina namba kubwa sana huko digital platforms lakini nikikutajia amini itakuwa ndio first time kuiskia sabab sio shabiki. Mwaka 2012 kule USA kuna wimbo ulitoka ambao hauna verse hata moja ila una kionjo tu na sehem kubwa ya wimbo inapiga beats tu. Huo wimbo ulitengeneza challenge nyingi san za kuucheza. Wimbo uliitwa "Harlem shake" kutoka kwa jamaa anaitwa Baauer. Huu wimbo mauzo yake yalihit double platnum worldwide, je wewe mzingatia 'numbers' umewahi kuujua huo wimbo be honest! Nina uhakika 100% hujawah kuuskia popote. Kwanini? Ni kwa sabab kuujua wimbo mkali haimaanishi lazma uwe hit, 'Nini dhambi kwa mwenye dhiki' by Faza Nelly(RIP) haukuwa hit ila ndio wimbo wa kwanza wa hip hop bongo kufikisha views milioni moja mwaka 2013 kule YouTube, wewe huujui huo wimbo lakin una hiyo record ya kipekee na wale fans OG tunaujua ila wewe fan feki huujui. Ukiweka top 100 ya hip hop bongo amini Kuna Mcs kibao wakali watakosa kuingia hiyo chart sio Pina peke ake, Prof Jay pekee ataingiza Ngoma kama 10, Sugu 10, Fid 5 labda, Afande 5, Nature 5, FA 5, AY 5 labda pia, Roma 5. Kwa kifupi top 100 itaishia kizazi Cha pili na cha tatu cha hip hop ya bongo, je kizaz kilichofata hakuna hits? Weka top 200 Kalapina hatakosa humo ndani. Hujui Mstari wa mbele, wewe sio hip hop bro no offense.
With all due respect nimekupa challenge, fungua uzi watu waweke all time big TZ hip hop hits ziwe top ten au top twenty au whatever numbers that suits you tuone hizo za huyo Kala Pina zata rank wapi if at all zitakuwepo kwenye orodha.
Najua hits za hip hop(rap) tangu enzi za Run DMC, KRS One, Kool Moe Dee mpaka enzi wanaingia the then Prince of Rap LL Cool J mpaka hivi vizazi vyenu Gen Z.
Kibongobongo kabla ya kina Sugu kuingia game enzi za kina Kibacha, Pompidou(Pompi) na wengineo so it's obvious any hit napaswa kuifahamu. Pamoja na kuwa niliondoka TZ decades ago lakini with music you don't necessarily need to be physically on the ground to know what's poppin'.
Kala Pina aendelee na kelele za kulazimisha attention lakini kwenye hip hop literally he has never done anything tangible.
 
Case closed
 
Back
Top Bottom