Kalapina ampondea Sugu

Kalapina ampondea Sugu

Hata mimi nimejaribu kusoma, hakuna mahali nimeona Sugu ametajwa. Huyo Kalapina kaandika katika hali ya kawaida kabisa. Bii Dis kwa Sugu itakuwa ni ya kulazimisha bila shaka.
Hata Tupac alivyo mwambia Biggie " You claim to be a player but I fucked your wife" kuna watu hawakujua anamzungumzia nani.. Kwa wanao jua kinacho endelea, hiyo diss ya Pina kwa Sugu ipo wazi kama yambuzi
 
Nabii Koko Kalapina anasema watu wawaache wasanii wakongwe wale pensheni zao na michongo mingine ya kuwaingizia pesa sababu wamesota sana na huu muziki.

Kupitia page yake Kalapina ameandika 👇

"Acheni tule pensheni kidogo huu mziki tumesota nao mno na kama kuna kiumbe ananuna maniga kupata mchongo. Huyo atakuwa mwiba huyo".

Kalapina ni kiongozi wa Kikosi cha mizinga na mwanaharakati matumizi wa dawa za kulevya kwa vijana anajulikana zaidi kwa style yView attachment 3645212ake hii ya kuziba jicho moja.

#EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha.

Credi : East Africa TV Facebook Page

Huyu pina anachekesha kama si ndugu yako. Ukimwona tu choka mbaya afya mgogoro sababu ya unga na bhangi. Eti anamdiss sugu? Hiii dunia hii haiachi kukosa wachekeshaji. Kalapina anashikwa matako na majamaa akiwa bwimbwi hajitambui. Kuna pensheni kweli kwa kalapina? Kwa wimbo mmoja ? Ukikaona kamekoooooooonda kamebaki tu kama mbwa koko aliyenyeshewa.
 
Naunga mkono hoja waache wana waokote ,kalapina mpaka sasa anapanda DALADALA hana hata KABUNJU.

1786112855668.png
 
Huyo Kalapina bila kubebwa na hao vilaza ataalikwa kuperform show ipi?

Usela mavi wa kuziba jicho moja zima ni wa kizamani sana Marekani walishatoka huko miongo kadhaa.
Sio kweli Dr, identification huwa haipitwi na wakati. Pina tulimjua kupitia Ngoma zake na eye patch ikiwa ndio utambulisho wake how come useme imepitwa na wakati!? Leo hii Jack Sparrow wa Pirates of Caribbean akibadilisha zile outfits zake kwenye movie zile tutamkataa why? Sabab ndio ID yake.
Turudi kwenye kualikwa hizo shows, unahisi hastahili? Kati ya wasanii wote kwenye hiyo show Kuna hata mmoja anaweza kualikwa show yoyote ya muziki wa sasa? Acha mafaza wale pensheni Chief😃
 
Huyu pina anachekesha kama si ndugu yako. Ukimwona tu choka mbaya afya mgogoro sababu ya unga na bhangi. Eti anamdiss sugu? Hiii dunia hii haiachi kukosa wachekeshaji. Kalapina anashikwa matako na majamaa akiwa bwimbwi hajitambui. Kuna pensheni kweli kwa kalapina? Kwa wimbo mmoja ? Ukikaona kamekoooooooonda kamebaki tu kama mbwa koko aliyenyeshewa.
Yeye ni mwanaharakati wa kuzuia matumizi ya unga kumbe na yeye anavuta?
 
Back
Top Bottom