Bakari Shime,inatosha jiuzilu.

Bakari Shime,inatosha jiuzilu.

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
6,553
Reaction score
9,033
Umekuwa kocha wa timu za miguu za wanawake kwa miaka mingi sana.Umefanya mengi mazuri,lakini uwezo wako na ujuzi wako umefika upeo,inatosha.Jiuzulu aje mwingine ajaribu na yeye,huna jipya,angalia tulivyotolewa wafcon,timu ilikuwa inajichezea tu bila plan yoyote
 
Nimeangalia games zote tatu, naweza sema bora Egypt aliyepigwa goli 6 game 2 kuliko Twiga stars, tusipotengeneza falsafa ya mpira wetu tutaendelea kuteseka sana hizi timu za taifa. Yani game dk ya 1 mpaka ya 90 we unabutua tu, nimehuzunika sana ukizingatia Twiga stars ina wachezaji wazuri tu
 
Umeongea kweli
 
Ifikie wakati sasa awaachie akina Edna Lema! Kukaa na wadada miaka yote hii siyo jambo la kujivunia hata kidogo kwa mwanaume. I wish angerudi kwenye mpira wa wanaume wenzake ili aendeleze mapambano. Aache uoga na kupenda kitonga.
 
Unajua yeye pia ni kocha wa timu ya taifa ya vijana,serengeti boys,abaki huko
 
Umekuwa kocha wa timu za miguu za wanawake kwa miaka mingi sana.Umefanya mengi mazuri,lakini uwezo wako na ujuzi wako umefika upeo,inatosha.Jiuzulu aje mwingine ajaribu na yeye,huna jipya,angalia tulivyotolewa wafcon,timu ilikuwa inajichezea tu bila plan yoyote
Bakari shime hang'oki hadi selemani matola atoke Simba
 
Naunga mkono hoja ...Bakari Shime uwezo wake umeonekana kwenye mashindano haya....uwezo ni mdogo....ameshindwa kutengeneza mifumo ya kitimu....mfumo wa kushambulia hauko vizuri ...mfumo wa kijulinda pia hauko vizuri....kila...mchezaji anacheza anavyojua....nimeanganila mechi na Ivory cost...timu ilkuwa inatumia sana mipira ya juu ilihali wachezaji wetu wengi ni wafupi...mm nashuri wamtumie pia kocha Gamondi kuwatengenezea mifumo ya uchezaji....Gamondi ana mifumo mizuri sana ya kukaba na kushambulia hata kama ancheza na timu ngumu....tumemuona kipindi cha yanga na Mamerodi pia Taifa star na Morocco au Nigeria kipindi cha Afcon....
 
Back
Top Bottom